Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

Watanzania 435 wameingia kwenye orodha ya mamilionea wa dola. Pamoja na watu kulialia vyuma vimekaza,pesa hamna lakini kila mwaka wanaibuka matajiri wapya kuliko awamu zilizopita
Screenshot_20200310-130931.png

Tanzania yapata mamilionea wapya
 
Dah, sema kuna wadau kibao Kariakoo wako kwenye hiyo range sijui nao wamehesabiwa
 
So Kenya millionaires imeshuka kutoka 8500(2013) Hadi 2k (2019?)hii ripoti haimake sense

Sent using Jamii Forums mobile app
Haimeki sense kwako na baadhi ya Kibera dwellers, lakini kwa Knight Frank ambao ni International credible and professional company kwao ina make sense, wewe endelea kulia lakini dunia yote inajua kwamba Tanzania ina mataji mara mbili zaidi ya Kenya

Bwahahaa!!uko desperate hadi unatetea ujinga, maskini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado unatapatapa, nilifikiria utakuja na kitu cha maana..
Heri urudi katika jukwaa la sisa ukamchangishie mbowe na wenzake

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi kwa akina Mbowe kuchangisha hela ina maana wamekubaliana na mashtaka na kwamba wako hatiani. Hii Afrika kwa kweli bado sana, shitholes kila mahali, ila mengine wacha tuyaskie huko kwa majirani maana yakitendeka kwetu hapa sijui kama nchi itakalika, Wakenya huwa hatuvumilii upumbavu wa namna hii.

Juzi tumeona mwanaharakati Kabendera na wengine pia wamekiri mashtaka na kusamehewa kwa kutoa hela, aidha itakua Bongo wanasiasa wa upinzani na wanaharakati ni matapeli watupu na makajanja wa mjini au uongozi wa sasa umeamua kukandamiza upinzani kabisa mpaka asibaki hata mmoja mwenye kuhoji chochote.
 
Tupo kwenye raiti traki, hii ni awamu ya kukusanya hela...
 
Hehehe!! Poleni ila mlijitakia wenyewe kwa kuzuia mkopo wa Benki Kuu hususan kwenye mwaka wa uchaguzi, myakubali kama yalivyo tu.
 
Back
Top Bottom