Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Hapana, ni kama ilivyo sasatuna common kawa ambazo kwa kiasi kikubwa zina cannon law.

Ninkutazama sheriantulizinazo ambazo badala ya kupunguza mmmomonyokonwa maadili zinachichea, hizo ndiyi tubazibadilisha moja moja na kufata sharis inasemaje kwenye hilo.

Mfano ubadhirifu wa mali za umma sharia inasemaje? Tunaitumia.
Dah! Kuna typing errors nyingi sana kwenye haya maelezo yako machache.

Shida iko wapi Bi mkubwa! Ni uzee, au ni simu?
 
Mseveni ni Mwislam?
Sharia haipo kwa ajili ya Waislam tu, ni kwa walimwengu wote.

Kumbuka, Waislam wa leo hii wengi vizazi vyetu vya zamani hawakuwa Waislam.

Uislam, kwa wepesi, maana yake ni kujisalimisha kwa Muumba wako tu.
 
Kujisalimisha kwa Magaidi ni kujisalimisha kwa Muumba wako?
 
Ugaidi ni maneno ya kwenye mitandao tu. Usidanganyike.

Haonwanaokujaza. Ujinga ndiyo wanauunda na wanautekeleza huo ugaidi.

Sharia ni njema sana.
 
Nikupe mfano wa nchi gaidi:_
1.Somalia
2.Burundi
3.Sudan
4.Cyprus
5.Oman
6.Saudi Arabia
7.Mali
8.Eritria
9.Ethiopia
10.Nigeria

Hizo zote Waislam ni wengi kuliko Wakristo.
 
Hadithi za kale, primitive, zisizo na ushahidi
Haya
Na hizi Sasa

Hujasikia watu walivyozuiwa mpaka wa uturuki na Syria kule waliotoka new York
London
Paris
India
Carribean
Brazil
Mpaka
Afrika kuelekea
Kwenye
Khilafa
Au na zenyewe ni primitive talks
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Kwenye hili, wallah ulienda shuleni kusomea ujinga..!!
 
Haya
Na hizi Sasa

Hujasikia watu walivyozuiwa mpaka wa uturuki na Syria kule waliotoka new York
London
Paris
India
Carribean
Brazil
Mpaka
Afrika kuelekea
Kwenye
Khilafa
Au na zenyewe ni primitive talks
Hadithi za vijiwe vya alikasusu na kashata
 
Tutazame nchi kama Malaysia ambayo ilikuwa nasikini kama sisi, kakini walipoamuwa common law itumike sambaba na Sharia law, mambo yakabadilika. sasa hivi ni katika nchi zilizoendelea na hawana maliasili za kutufikia.
Kwa nini Malaysia wasitumie sharia peke yake?
 
Ma shaa Allah

Hujawahi kusikia "uzee ni dawa"?

Museveni jana kasema, ataeharibu watoto wadogo, ni kifo tu.

Kama si sharia hiyo ni nini?

Mkiita, msiite "sharia", mtaikubali tu. 👇🏾

🤣🤣🤣 Mfuasi wa mbakaji muanzilishi wa dini ya magaidi marehemu mudi mbaka mtoto wa miaka9
 
Mradi aliozeshwa na wazazi wa n mtoto tatizo nini? Raha tu, amekilea mwenyewe. Tena kwa unmahiri wake mpaka mkuu wa kanisa la coptic akamzawadia kitoto kingine, unaelewa hilo?

Ma shaa Allah.
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
True
 
Kwamba hata Mkristu aishi kwa kufuata sharia za Kiislamu ?
Wazo bovu kabisa kuwahi kutokea
 
Mwenye akili timamu ukimuuliza kati ya IRAN na CANADA angependa kuishi wapi atakupa jibu zuri tu.
 
Back
Top Bottom