Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Dah! Kuna typing errors nyingi sana kwenye haya maelezo yako machache.Hapana, ni kama ilivyo sasatuna common kawa ambazo kwa kiasi kikubwa zina cannon law.
Ninkutazama sheriantulizinazo ambazo badala ya kupunguza mmmomonyokonwa maadili zinachichea, hizo ndiyi tubazibadilisha moja moja na kufata sharis inasemaje kwenye hilo.
Mfano ubadhirifu wa mali za umma sharia inasemaje? Tunaitumia.
Shida iko wapi Bi mkubwa! Ni uzee, au ni simu?