11 Juni 2022
Dar es Salaam, Tanzania
Serikali ya Tanzania yasaini mradi wa thamani ya dola za Kimarekani 30 bilioni na mashirika makubwa ya Equinor la Norway na Shell la Uingereza kwa ajili ya ujenzi wa mitambo ya kuchakata gesi asilia yaani LNG (Liquified natural gas) ambao umeshuhudia na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan leo jumamosi tarehe 11 June 2022.
Mradi huo wa kuchakata gesi upo baharini katika kina kirefu mkoani Lindi wenye thamani ya shilingi za kitanzania trilioni 70 (dola za Kimarekani 30 bilioni).
Ujenzi wa mradi huu utatoa ajira ya wafanyakazi 7,000 katika kujenga miundombinu pia mtambo wa kuchakata na utachukua miaka 7 kukamilisha ujenzi wake.
RAIS SAMIA AFICHUA MRADI ULIVYOMSHINDA AKIWA MAKAMU WA RAIS - "MAMBO YALIKUA MENGI"
Rais Samia ameshuhudia utiaji saini makubaliano ya awali ya mkataba wa nchi hodhi (HGA) wa mradi wa kuchakata na kusindika gesi asilia.
DAR ES SALAAM, June 11, 2022

Mradi huu ni wa aina yake unaotaka ujuzi wa hali ya juu kuukamilisha hivyo utajumuisha wataalamu wa ndani na nje kuhakikisha unakamilika kwa wakati na unategemewa kubadilisha kabisa uchumi wa mkoa huu wa kusini mwa Tanzania pia uchumi wa wakaazi wa eneo hili la Tanzania.Equinor started exploration drilling activities in Block 2 Offshore Tanzania in 2011. A total of 15 exploration wells have been drilled, resulting in nine discoveries with estimated volumes of more than 20 Tcf of gas in place...source : Tanzania