Tanzania na nchi za Afrika zilizojaa wakristo zina uhuru wa imani, Nchi za kiislam zinanyanyasa wakristo, Penye wakristo wengi pana amani ya imani

Hao jamaa acha , elimu mpaka uwe na jina la kikristo enzi hizo ndio maana wakristo jina ni weng ..Hawa jamaa walikataa waislamu wasisome ..Nyerere alishindwa kabisa kuibadili zenji ndio akaanza majungu .
 
Unaongea vinini hivi!.
 
Ulipoitaja Zanzibar, nimekubaliana nawe kabisa. Aisee wale jamaa Wana Roho ya kwanini! Ni wabaguzi hakuna mfano.

Hiki kisiwa washukuru sana huu Muungano. Wangesha mwaga damu ya kutosha.

Ingia maofisi ya serikali, tena ukute wakristo ndio ni wengi, aise muislamu atadhulumika sana. Ila kati ya wakristo 10 basi mmoja ni best.
 
Zanzibar ni sehemu ya Tanzania.

Tanzania ni secular state. Haina dini. Sheria za kidini haziwezi kuingizwa kwenye Sheria za nchi.

Naomba kuwasilisha🙏
 
Ukweli lazima usemwe,ww Pinga Kwa facts kama yy!
 
Hata Tanzania wangekuwa wengi kungekuwa na manyanyaso kama Zanzibar,hakika Yesu akiwepo katika nchi amani inatawala.

Mimi ni wa bara lakini humu wengi wenu hamjui kinachoendelea kwenye ofisi za serikali, waislamu tunabaguliwa, tunadhulumika, ni ubaguzi ubaguzi. Na ndio maana yanakufa vifo vibaya.
 
Nimeishi na kutembelea mikoa mbalimbali hakuna sehemu ina wakristo tu au useme wapo wengi sana kuliko wengine,kweli idadi inapishana sehemu na seheme lakini kwa ujumla huwezi Wakristo ni wengi kuliko Waislamu Tanzania hii.
Ww hujatembea mi mikoa ya Kanda ya ziwa,Kule waislamu ni wachache sana
 
Tushukuru Tanzania wakristo ni wengi,tungekoma kama waislamu wangetuzidi idadi,hata kwenye jamii tu Huwa ni wabaguzi sana.
 
Mimi ni wa bara lakini humu wengi wenu hamjui kinachoendelea kwenye ofisi za serikali, waislamu tunabaguliwa, tunadhulumika, ni ubaguzi ubaguzi. Na ndio maana yanakufa vifo vibaya.
Ulongo mtupu,hakuna mtu bara anabaguliwa kwa dini yake,kama siyo taqiya lete ushahidi.
 
hivi kwanini munapenda kulazimisha kuonekanwa kuwa wakristo ni wengi kukiko waislamu hap nchini? sasa mbona mukiambiwa tuhisabiwe kwenye sensa munagoma?
Mko wachache,hata sensa iliyojumuisha kipengele Cha dini iliyonyesha waislamu ni "minority" ukitaka ushahidi ntakupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…