Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Wanaoa watu, wana oa watoto wadogo, wanao oa mke zaidi ya mmoja ni watu wenye majina yanayofanania uislamu lakini mwenye dini hawezi fanya tendo kishetani hata siku moja.Hilo ni Neno,vitendo je?
Lazimq utawakingia vifua manaswara wenzioUlongo mtupu,hakuna mtu bara anabaguliwa kwa dini yake,kama siyo taqiya lete ushahidi.
Tuko wachache kwa ushahidi upi?Mko wachache,hata sensa iliyojumuisha kipengele Cha dini iliyonyesha waislamu ni "minority" ukitaka ushahidi ntakupa
Kwa hiyo ww kwako mtu asipo kuwa muislam basi ni mkrisito?Kuna kitu kinaitwa statistics,
Makabila yanayoongoza kwa watu wengi Tanzania yamejaa wakristo >> ni clear evidence kwamba wakristo ni wengi labda uwe ulikuwa unatoroka shuleni huzijui statistics
Wasukuma
Wachaga
Wanyakyusa
wamasai
Wanyaturu
Wangoni
Wagogo
Wahehe
wahaya
MUHIMU: Tanzania ni ya Watanzania bila kujali dini
Uongo,ukweli ni kwamba,wamissionari walijenga shule nyingi ila waarabu wakajenga misikiti na madrasa,waislamu wakakataa kujiunga kwenye shule za 'makafiri' wasije lishwa nguruwe matokeo yake wakristo wakawa wasomi kuliko waislamu.ndio maana hakuna shule iliyojengwa wala chuo chochote na waarabu!Hao jamaa acha , elimu mpaka uwe na jina la kikristo enzi hizo ndio maana wakristo jina ni weng ..Hawa jamaa walikataa waislamu wasisome ..Nyerere alishindwa kabisa kuibadili zenji ndio akaanza majungu .
😀 😀Acha uongo lazima uwe mkristo ndio usome , muulize Baba yake january Makamba ?Uongo,ukweli ni kwamba,wamissionari walijenga shule nyingi ila waarabu wakajenga misikiti na madrasa,waislamu wakakataa kujiunga kwenye shule za 'makafiri' wasije lishwa nguruwe matokeo yake wakristo wakawa wasomi kuliko waislamu.ndio maana hakuna shule iliyojengwa Wala wala chuo chochote na waarabu!
Kati ya makabila ambao watu wake hawana habari na mambo ya dini ni wasukuma acha kuwavisha ukrisito.Tena wasukuma wapo 20milion.
Tuko wachache kwa ushahidi upi?
Asilimia 70 ya watu wanao unda kanda ya ziwa ni wasukuma na asilimia kubwa ya wasukuma sio watu wakuamini kwenye dini .Ww hujatembea mi mikoa ya Kanda ya ziwa,Kule waislamu ni wachache sana
Nani aliwabagua?😀 😀Acha uongo lazima uwe mkristo ndio usome , muulize Baba yake january Makamba ?
Walikuwa wabaguzi kabisa lazima uwe mgalatia ndio usome.
Waarabu ni wapita njia hawana sasa hao wakoloni walikuwa na uongozi wa taifa kabisa .
Basi Tanzania ni nchi ya kiislamu. Umefaidika nini sasa hapo.Tanzania kati ya Wakristo na Waislamu hakuna wakujidai kwamba wao ndiyo wengi kushinda wenzake,wakristo wamekuwa wakitengeneza mazingira ionekane Tanzania ni nchi ya Kikristo, mshindwe.
Unataka uniambie Mikoa ya Kagera na mara Ina watu wachache kuliko wasukuma? Unataka kusema 90% ya wasukuma hawana dini?Asilimia 70 ya watu wanao unda kanda ya ziwa ni wasukuma na asilimia kubwa ya wasukuma sio watu wakuamini kwenye dini .
Au ww mtu asipo kuwa muislam basi ni mkrisito?
Walitaka tuwe wagalatia kwa lazimaNani aliwabagua?
Kuna suala nilitaka kuwaambia ila utaona ni ubaguzi ila ndio ukweli!Nani aliwabagua?
Basi Tanzania ni nchi ya kiislamu. Umefaidika nini sasa hapo.
Azana sijui adhana ni kupigia makelele watu.Mfano vijijini utakaa miaka 1000 ujasikia azana.
Leta ushahidi,ukweli ni kwamba nyinyi mlichagua kusoma kiarabu na kwenda madrasa badala ya kusoma,matokeo yake mnatualamikia Kwa chaguzi yenu. Kwanini hamkumwambia aliyewaletea misikiti pia awaletee elimu Dunia?Walitaka tuwe wagalatia kwa lazima
Liseme hapa sio Afghanistan au Saudi Arabia kwamba utakatwa kichwa jombaaKuna suala nilitaka kuwaambia ila utaona ni ubaguzi ila ndio ukweli!
Kati ya mikoa 5 ya kanda ya ziwa mikoa 3 wanaishi wasukuma, tena na mkoa wa kagera baadhi ya wilaya zake kumejaa wasukuma.Unataka uniambie Mikoa ya Kagera na mara Ina watu wachache kuliko wasukuma? Unataka kusema 90% ya wasukuma hawana dini?
Waislamu mnadhulumiwaje?Mimi ni wa bara lakini humu wengi wenu hamjui kinachoendelea kwenye ofisi za serikali, waislamu tunabaguliwa, tunadhulumika, ni ubaguzi ubaguzi. Na ndio maana yanakufa vifo vibaya.