Kuna mtu somewhere amekula rushwa ndefu mzigo wanabebeshwa wanyonge.Bei za vifushi kufikia 1st April na 2nd April hazishikiki. Kwa mujibu wa ISP's inadaiwa hiyo moderation iliyofanywa na TCRA. Kiufupi ninahitaji kujua ni nin chanzo cha kupanda kwa gharama izo. Kiasi ambacho sisi wengi hatuwezi afford?.
wewe unaroho ya kwanini 😡Bora maana Sasa hivi hata internet traffic imekuwa smooth kuliko zamani.
aisee
Ni changamoto kwa kweli.aisee
Haya yote ni Maelekezo ya yule takataka...!! Yani jamaa ovyoo sanaa nilijuaga lina akili kumbe mafii yamejaa kichwaniKama kweli Dr Ndungulile alipambana ili kuleta huu upuuzi, Basi itoshe kusema hastahili kuwa waziri, afutwe Mara moja!!
Hii mitandao inatuchuliaje Watanzania?
Hivi dunia ya leo unaweza kuishi bila simu?Acha kutumia simu Sanaa hizi kero itaisha mm nimehamia sehemu isiyo na network ya internet
Biashara yangu katika mauzo ni 90% mtandaoni natakiwa niwepo mda wote pia kujifunza nyenzo mpya ...kwa kauli yako hio unategemea nikueleweje mkuuAcha kutumia simu Sanaa hizi kero itaisha mm nimehamia sehemu isiyo na network ya internet
Mkuu umehamia wapi huko kusiko na network hebu nitafutie na mimi nyumba maeneo hayo maana naona haya maisha yameshakua magumu sasa 😀Acha kutumia simu Sanaa hizi kero itaisha mm nimehamia sehemu isiyo na network ya internet