Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Neno sahihi Ni
"Stupidity"
Mwovu huwaza uovu na hutenda uovu.
Hivi sijui Ndugulile anaona fahari gani watanzania wakiteseka. Hajui kwamba Kuna Dada poa, mama ntilie, madalali, ma MC n.k wanatangaxia biashara zao kwenye mtandao?
Stupidness kabisa hawa
 
Hakuna kwa kukimbilia kote kumebn wakuu
 
Hakuna aliyenipa utajiri.
Hivi mimi ninayetumia 30k kwa mwezi na hao wachambaji wa instagram wanaotumia buku 2 kwa siku × siku 30 nani anatumia pesa kubwa zaidi??
 
halafu ndugulile ameachwa hapohapo wizara hiyohiyo
 
Sio basic need kwako , internet haitumiki kwenye ma siasa yenu tu hayo Kuna watu wanasoma wanaendesha maisha kwa internet

Mpuuzi wewe
😂😂

I didn't know nazungumza na small minded person..

Sijaona tija ya kunishambulia personally hapo..

Masiasa yetu tena, mimi na nani? Umesoma nilichoandika ukaelewa?

Kwa akili hizi ni bora uminywe bando tu.! Unajaza server bure tu!
 
Wajumbe wangempitisha tu bashite, huyu siyo.

Ngoja tukodi wasoma alubadili.
 
Kwa nilivyochunguza asubuhi hii wenye unafuu mpaka sasa ni halotel kwa 1000 unapata MB 650 saa 24....wengine ni majanga makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…