Amechelewa, now 3,000 ni 1.3 gbWeka halo pesa 3000 nunua GB3 dakika 30 na sms ngapi sijui, Halotel wana afadhari,achana na Vodacom hawafai hata kidogo
Sijui tuwatumbueHuyu waziri na naibu wake wamefeli,wametuangusha!kama kweli walishauriana wakaona iwe hivi hawatufai kabisa
Mama yetu tunaekupenda kwa mioyo yetu tunaomba uangalie hili suala la vifurushi
Wengine kazi hatuna,unajipiga upate hata kabando kakupitishia siku huku mitandaoni au hata kucheki movie leo hii wanatupandishia kweli?
Tutatobozaje jamani?
Ee mheshimiwa mama yetu tusaidie kwa hili,upweke utatumaliza!
Ndo aliye tuachia huu mzigo, muache apumzike tu.Kiukweli na mmiss sana anko magu.
Watolewe tusijui tuwatumbue
Nazipataje hizo!!?? Nilisajili line ya airtel lkn hiyo offer sikupata na sim yangu inasupport 4g[emoji3][emoji3] nimejipooza na free 7gb kwa siku 14 yani 500 kila siku ndani ya siku 14 airtel, simu ya 4g kama hujawahi kutumia hizi gb7 zao za bure nazani ni wakati wake nimeanza nanzo leo wakati nasubiri waziri husika asikie kilio cha wanyonge
Iwe hivyo tuWatolewe tu
Sawa, "Jifungue"Wacha kwanza nijifungue ndani nimporomoshee mbunge wetu wa kigamboni matusi yote ninayoyajua kwa upuuzi wake huu ili nipunguze hasira zangu halafu nitarudi.
Athari zake bado tunaishi nazo.Mkuu, JPM kafariki. Endelea na maisha.
Uyu aelewi kitu usibishane na chiziRelax stupid man [emoji16]
Et internet sio basic need walichofanya ni sahihi
USA dola 50 nlkua napata unlimited data by Us cellular sijui unaongea Nini hapa
Mimi hili nilianza kuliona huku voda tangu waliposhusha kifurushi cha jimwage cha wiki kutoka kupewa 4gb kwa 5,000 mpaka 2gb. Namimi katika kujibu mapigo nilichofanya ni ku uninstall instagram with immediate effect!
Sasa hiyo 2gb naitumia jf na whatsapp tu na inabaki! Sasa nasikia hata hiyo ya 2gb kwa 5,000 nayo wanaiona nyingi, wanaifuta sijajua wataleta nini ila niwahakikishie tu na mimi sitakubali, lazima nile nao sahani moja. Kama vipi tunarudi kwenye sms tuu kwani nini bana?
Achana na hilo taahiraUyu aelewi kitu usibishane na chizi
Yaani we acha tu, ila MBs ndo tatizo zaidi kwa sie wengine si watumiaji wazuri wa dakikaMkuu hapa tunazungumzia upande wa Mb tu ila hata Dakika za maongezi nako hawajaacha salama pia.
Haya endelea kulalamika bei ya vifurushi.Tajiri huwa anaokoteshwa Kuni mtaroni?
Kuna watu hawaelewi hili.Hii ni moja wapo ya maajabu ya bongo, watu wanaishi kwa kujikaza kisabuni
Hapo kinacho-komolewa ni watu kupunguza kuingia social media basi