Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,510
- 6,893
MKUU WAMETOA NA HIIWeka halo pesa 3000 nunua GB3 dakika 30 na sms ngapi sijui, Halotel wana afadhari,achana na Vodacom hawafai hata kidogo
Bora jiwe kwa bi mkubwa hapana kwa kwel mpole sana hana maamuz ya harakaMaza hafai kabisa
Ukali siyo sababu tunataka vitu vikae sawaBora jiwe kwa bi mkubwa hapana kwa kwel mpole sana hana maamuz ya haraka
Unakipatia wapi .... Na hii ndio afadhali kidogo kwa halotelWeka halo pesa 3000 nunua GB3 dakika 30 na sms ngapi sijui, Halotel wana afadhari,achana na Vodacom hawafai hata kidogo
Eeeh hiyo avatar yako sasaHii ndio ilikuwa sera ya Magufuli katik akuhakikisha mitandao ya kijamii watu washindwe kuitumia, maana alishasema anatamani malaika washuke wafungie mitandao.
Wanataka kuitafuna Nchi bila ya kusimangwaSijui ni watu wa aina gani hawa wanaoitwa viongozi .,....
Haya bwanaLeo tar 1/4/2021 makampuni ya simu yamefanya mabadiliko makubwa katika vifurushi vyao.
Wamepunguza vifurushi kwa kias kikubwa hasa vifurushi vya data, sitaweka hapa kifurushi kimoja baada ya kingine lkn kwenye mitandao yetu hilo lipo.
Nenda kwenye menu tu nadhani utakutana na upuuz wote
Nini nataka kusema?
Wakati dunia inakimbia kwa kasi kwenye technolojia sisi tunajirudisha nyuma tena kwa kasi kubwa na wala hapa siyalaumu haya makampun ya simu kwani yenyewe yanapokea tu order toka serikalini.
Kama wananchi wa kawaida kabisa tunaiomba serk iweze badilisha hiv vifurush haraka sn mana wanachokifanya ni kurudisha juhud za maendeleo ya kisayans nyuma.
Na kwa vile tuna serikali mpya nina hakika watashughulikia hili haraka sana na wala hawatasubiri hadi mwezi upite mana kilichofanyika ni zaid ya upuuz wa hali ya juu.
Kama serikali itashindwa rekebisha hili bas tutajua hamna mpango na wananch wa kawaida na mengi mnayoyaongea ni porojo tu
Naomba kuwasilisha
Mama hahusiki na hili hii ni mipango ya mwenda zake na yawezekana mama hana habari hadi villio visikike sanaKwa dalili hiz binafsi nimeanza kumkataa
Mitandao gani hiyo?? Mbona mtandao wangu bado upo gado?Leo tarehe 1/4/2021 makampuni ya simu yamefanya mabadiliko makubwa katika vifurushi vyao.
Wamepunguza vifurushi kwa kiasi kikubwa hasa vifurushi vya data, sitaweka hapa kifurushi kimoja baada ya kingine lkn kwenye mitandao yetu hilo lipo.
Nenda kwenye menu tu nadhani utakutana na upuuzi wote
Nini nataka kusema?
Wakati dunia inakimbia kwa kasi kwenye technolojia sisi tunajirudisha nyuma tena kwa kasi kubwa na wala hapa siyalaumu haya makampuni ya simu kwani yenyewe yanapokea tu order toka Serikalini.
Kama wananchi wa kawaida kabisa tunaiomba Serikali iweze badilisha hiv vifurushi haraka sana maana wanachokifanya ni kurudisha juhudi za maendeleo ya kisayansi nyuma.
Na kwa vile tuna Serikali mpya nina hakika watashughulikia hili haraka sana na wala hawatasubiri hadi mwezi upite maana kilichofanyika ni zaidi ya upuuzi wa hali ya juu.
Kama Serikali itashindwa rekebisha hili basi tutajua hamna mpango na wananchi wa kawaida na mengi mnayoyaongea ni porojo tu
Naomba kuwasilisha.
Kwa sasa halotel gb 1.3 kwa buku 3Weka halo pesa 3000 nunua GB3 dakika 30 na sms ngapi sijui, Halotel wana afadhari,achana na Vodacom hawafai hata kidogo
Kuna watoto na watu waIma wanapata maarifa tele kupitia online classes na lessons ,Mmezidi kuisema sana hasa kupitia mitandao ndiyo maana stone alikuja na hili wazo
Hata mimi nmeshangaa sana jana nmeona vifurushi vimebadilika sana...nimejuta kujiunga nao.1500 dk 30 na 550 mb????Wapuuzi wameununua mtandao wa Zanzibar Telecoms washafanya vituko vyao tayari. Zantel sio mtandao rafiki tena sababu wadhulumati Tigo washauingilia.