Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Kuna watoto na watu waIma wanapata maarifa tele kupitia online classes na lessons ,
Internet ni uwanja mpana sana
Sasa hilo ndiyo wakubwa hawakupenda.
Wanataka tubakie gizani ili watuongopee na watutawale wapendavyo.
 
Hatari sana jamaa ni jinga kweli yani wengine shughuli zinategemea internet halafu wanafanya hivi kweli? kulikua na sababu gani ya kubadilisha ujinga huu
 
Kuna shirika moja pale uganda lina itwa EdTech jamaa wanasema internetn sasa iv sio bidhaa ya kununua bali ni OPEN MARKET yaan sawa na ww unavyoenda pale soko la kariakoo.

Ila kama Tz tume amua internet iwe expensive hivi bac inshalaah
 
Mimi huwa najiunga line ya kwenye modem bando la buku 3 napata gb3 voda... Sasa juzi naweka line nimenunua na vocha la buku3 naona icho kifurushi hakipo wamenipa kifurushi cha gb3 kwa elfu5...

Na sio siku sa7 tena ni masaa 48 aisee nilimind ila sina namna ilibidi niongeze vocha niendelee mambo mengine... Ila kama waziri husika unaona hii kero rekebisheni huu upuuzi aise
 
Ila basi nisiseme kitu muhimu kifo kipo kama jiwe hayupo hata wao wanaweza kupotea tu au nasema uongo ndugu zangu.
 
Sawa sawa kabisa mm natumia browser Instagram
Insta na VIDEO zao sio watu wazuri aisee

Unajua bwana video za insta ni nzuri tena wanakuletea VIDEO zile unazopenda km mtu wa mpira baba utaletewa video nzuri tu km wa kupenda magari nk
Na ukianza moja hasa ukipelekwa IGTV au Reels baba uchomoki unashangaa unaendelea tu na utamu wa video bira kujijua unakuja shtuliwa na Pop up ya sms
" mpendwa mteja kifurushi...........

Ukishaona hiyo mpendwa mteja
ujue vishaumana huko
Unajilaumu kwann uliangalia VIDEO insta
Ha ha ha hali ngumu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…