Tanzania nchi iliyojaa wanafiki na wanaojali matumbo yao

ICC hii hii inayoshupaza shingo kwa viongozi wa Africa huku ikiwafumbia macho viongozi wa mataifa ya magharibi?kwani mara yao ya kwanza kushitaki ICC?
 
ICC hii hii inayoshupaza shingo kwa viongozi wa Africa huku ikiwafumbia macho viongozi wa mataifa ya magharibi?kwani mara yao ya kwanza kushitaki ICC?
Nonsense .
Una elimu gani??? Kuna kiongozi gani wa Tanzania aliyewai shtakiwa ICC kabla ya huyu Magufuli wenu?
 
Watanzania gani waliompa dhamana??? Kama ni watanzania wamempa dhamana asingefukuza mawakala wa upinzani vituo vya kura, asingezima mitandao, asingetumia polisi na jeshi kuua watu, asingezuia mikutano ya Lissu kurushwa Live na channel za television za ndani
 
Nataka ICC ielekeze zaidi individual, bila ya hivyo tutakao umia wananchi.

Kwenye list ya ICC lazima kwanza wabaniwe kusafiri nje ya nchi kama USA na Europe, pia hata watoto wao kutopata visa za kusoma nje waishie huko huko udom.

Mengine watajua wenyewe vipi adabu iingie
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtalia sana!

Hata baada ya uchaguzi wa 2015 wenzio walikuja na ngonjera kama hizihizi.

Hadi 2025 inafika bado hivi hivi na mtarudi kwenye mtapigwa tena mnarudi kulia kama kawa.
Mkuu vipi ulikua Wala filigisi za tahusi, au? Maana umekuja kwa speed ya 4G ,tulia mkuu tuko kitaifa zaidi sio ccm hapa Tanzania kwanza mkuu , Kama taifa mpaka mda huu hatuko sawa mkuu ,na tz yetu wote ,tulia maana mpo kusifu tu na kutetea ,hebu tuache wazalendo kwanza, simchukii jpm japo sio zaidi ya taifa thanks
 
Ila hatua zichukuliwe au zisichukuliwe image ya nchi imechafuka sana!
 
Hili ni balaa zaidi kuliko hata la ICC
 
Nasikia alisindikizwa na mabalozi watatu,why?
 
Baba yangu mdogo ni mkurugenzi wa Halmashauri mmoja hapa mkoani Arusha, nahofia na yeye wasije wakachoma moto nyumba yake maana raia zina hasira ya kimya kimya.
Mshauri atoke hadharani atubu,naamini atasamehewa tu.Aitishe press conference atubu yote yamkoseshayo amani nafsini mwake,ikibidi kwa machozi.
 
Unajua mimi kuna watu nawashangaa humu, vikiwekwa vikwazo magufuli atakoma au watanzania tutakoma, dont be stupid guys
 
Maneno kuntu ya kizalendo.BIG UP!.Tanzania inakuhitaji sana.
 
Mnajifariji. Poleni MaCHADEMA.

You're completely losers.

#LoserLissu.

#PoleniUpinzani
 
Je, Lissu alishindwa kweli?

Je, wakina Halima Mdee kweli walishindwa?

Chadema ifanye utafiti!

Ni wanachama wangapi wa Chadema katika kila jimbo mpaka Lisu ashindwe kupata million sita nchi nzima?

Nadhani hata Lowassa aliporwa ila kwa heshima kidogo!
 
Umeandika madini tupu yanayogusa ubongo. Atakayekupinga ni genge dhalimu la wachumia tumbo wanaofaidika na utawala huu dhalimu unaoufanya Taifa hili liugue na kupasuka vipande. Magufuli na CCM yake ameiharibu kabisa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…