We Bibi lazima utakuwa mchawi, si kwa roho mbaya hiyo. Yaani unataka mwijukuu wako nisipande daraja, Sasa hela ya kukununulia madela na vijola nitaitoa wapu?. Au unataka unilaani kwa kutotimiza matakwa yako?!.Wewe unaonesha ni katika wale wazembe kazini.
Kibibi leo umeibuka kama kawaida yako kuunga mkono mwenzio wa dini ya mnyaazi........wewe tukikwambia hapo uje upime hiyo performance utaweza kuipima au unarukia maneno kama kasuku tu hapa.Tanzania tuachane kabisa na mfumo wa kuwapandishia watu mishahara au vyeo bila kuwa na vigezo na vipimo vya "performance" zao.
Nashauri kwanza viwekwe vigezo na vipimo vya "performance" kazini ndivyo vitumike kuwapandisha watu vyeo na mishahara.
Ni wepesi sana kupanga vigezo vya ubora wa utendaji kwa kila kazi katika kila sehemu ya kazi. Tena siku hizi kila kitu kinakuwa kwenye data base kidigitali ni wepesi sana. Wale watendaji bora (best performers) watapanda mishahara na vyeo haraka na wale wazembe (kama ilivyo kwa Watanzania wengi) watasota hapo hapo na mshahara wa "entry level" mpaka wabadilike au wajiachishe wenyewe kazi.
Mfumo huu wa "performance based" upo na unatumika sana ulimwenguni, hususan kwenye kazi zisizo za Serikali, pia serikali nyingi zimeanza kutumia mfumo huo, bila kuoneana aibu wala huruma za kijinga.
Uzoefu wangu wa kufanya kazi za kuajiriwa kwa muda mrefu sana katika nchi zilizoendelea umenifundisha hayo.
Nakubaliana na hoja yako, bajeti yetu sehemu kubwa inatumika ku cover recurrent expenditure badala ya uendelezaji miradi ambayo ingetoa ajira kwa watu. Hoja ya Faiza ina mashiko, KPI (Key Performance Indicators) ndizo zitumike kwa watumishi wa umma kwenye kuwapandishia madaraja na mishahara, badala ya kutumia kigezo cha kukaa mrefu ktk utumishi. Hio italeta tija sana kwa nchiNa hayo ndiyo yanachangiza pia africa maendeleo kuchelewa,sehemu kubwa ya bajeti zetu zinatumika kwa matumizi ya hovyo na mambo ambayo hayana msingi wowote
Dah....Shangazi leo umejichanganya sana....utatuharibia nchi.....tunachoiga kutoka nchi zilizoendelea ni demokrasia na Haki za binadamu tu....hayo ya uchapaji kazi yaache hukohuko 🤣🤣🤣Tanzania tuachane kabisa na mfumo wa kuwapandishia watu mishahara au vyeo bila kuwa na vigezo na vipimo vya "performance" zao.
Nashauri kwanza viwekwe vigezo na vipimo vya "performance" kazini ndivyo vitumike kuwapandisha watu vyeo na mishahara.
Ni wepesi sana kupanga vigezo vya ubora wa utendaji kwa kila kazi katika kila sehemu ya kazi. Tena siku hizi kila kitu kinakuwa kwenye data base kidigitali ni wepesi sana. Wale watendaji bora (best performers) watapanda mishahara na vyeo haraka na wale wazembe (kama ilivyo kwa Watanzania wengi) watasota hapo hapo na mshahara wa "entry level" mpaka wabadilike au wajiachishe wenyewe kazi.
Mfumo huu wa "performance based" upo na unatumika sana ulimwenguni, hususan kwenye kazi zisizo za Serikali, pia serikali nyingi zimeanza kutumia mfumo huo, bila kuoneana aibu wala huruma za kijinga.
Uzoefu wangu wa kufanya kazi za kuajiriwa kwa muda mrefu sana katika nchi zilizoendelea umenifundisha hayo.
Hizo peanuts mnazolipa watumishi ndo muwapimie performance, lipeni kwanza mishahara inayoeleweka ndo mlete ishu ya performance....Nakubaliana na hoja yako, bajeti yetu sehemu kubwa inatumika ku cover recurrent expenditure badala ya uendelezaji miradi ambayo ingetoa ajira kwa watu. Hoja ya Faiza ina mashiko, KPI (Key Performance Indicators) ndizo zitumike kwa watumishi wa umma kwenye kuwapandishia madaraja na mishahara, badala ya kutumia kigezo cha kukaa mrefu ktk utumishi. Hio italeta tija sana kwa nchi
Hapa umepigapo penyewe, nakuunga mkono kwa % nyingi tu.Kweli kabisa. Ni mfumo ambao hata tuhangaike vipi na takwimu hautotupandishia uchumi kwa haraka. Ukichukulia kuwa Serikali ndio moja ya waajiri wakubwa sana Tanzania na nnauhakaika over 90% ya waajiriwa serikalini ni underperformers.
Wengi wanaokimbilia kazi za serikalini ni wazembe na wabadhirifu.
Naunga mkono hoja. Hivyo ndivyo inavyotakiwa. Maoni yangu yanaambatana na uzoefu wangu wa kufanya kazi kwa miaka 45 katika nchi tatu tofauti na kila nilipofanya kazi, hivyo ndivyo inavyotokea.Tanzania tuachane kabisa na mfumo wa kuwapandishia watu mishahara au vyeo bila kuwa na vigezo na vipimo vya "performance" zao.
Nashauri kwanza viwekwe vigezo na vipimo vya "performance" kazini ndivyo vitumike kuwapandisha watu vyeo na mishahara.
Ni wepesi sana kupanga vigezo vya ubora wa utendaji kwa kila kazi katika kila sehemu ya kazi. Tena siku hizi kila kitu kinakuwa kwenye data base kidigitali ni wepesi sana. Wale watendaji bora (best performers) watapanda mishahara na vyeo haraka na wale wazembe (kama ilivyo kwa Watanzania wengi) watasota hapo hapo na mshahara wa "entry level" mpaka wabadilike au wajiachishe wenyewe kazi.
Mfumo huu wa "performance based" upo na unatumika sana ulimwenguni, hususan kwenye kazi zisizo za Serikali, pia serikali nyingi zimeanza kutumia mfumo huo, bila kuoneana aibu wala huruma za kijinga.
Uzoefu wangu wa kufanya kazi za kuajiriwa kwa muda mrefu sana katika nchi zilizoendelea umenifundisha hayo.
Huyu karukia tu alichosema hangaya jana maana yeye yupo kuunga mkono chochote kinachosemwa ili mradi aliyesema ni wa dini yake, ukimuuliza unataka kupima performance kwa viwango vipi vya mishahara na kwa bajeti ipi hawezi kukupa jibu.........Ndugu mtoa mada. Noamba nikuulize maswali mawili:
1) Je wajua mshahara anao anza nao mwajiriwa wa Serikali wa kawaida mwenye elimu ya shahada ya kwanza? Achana na wale wanaofanya kazi kwenye Taasisi au Mashirika ya Serikali. Nazungumzia wafanyakazi wa kawaida kama vile waofanya kazi kwenye Halmashauri n.k.
2) Je, unafahamu gharama za maisha ya mtu wa kawaida katika kugharamia mahitaji ya msingi kama vile rent, chakula, usafiri na mavazi? Assume unaishi nyumba ya kupanga isiyozidi 250K kwa mwezi.
Tuanzie hapo kwanza. Ukinijibu maswali haya nitakuuliza maswali mengine.
Wewe utakua ujamuelewa vizuri mtoa mada bila Shaka mtoa mada kamanisha tuachane na vima vya chini vya mishahara kwa madaraja ya elimu tu Bali mishahara iendane na ufanisi pia.Sio kutwa washinda kupiga soga na kuchati ofsini tu kazi kuongeza urasimu kazini wataka uongezewe mshaharaNdugu mtoa mada. Noamba nikuulize maswali mawili:
1) Je wajua mshahara anao anza nao mwajiriwa wa Serikali wa kawaida mwenye elimu ya shahada ya kwanza? Achana na wale wanaofanya kazi kwenye Taasisi au Mashirika ya Serikali. Nazungumzia wafanyakazi wa kawaida kama vile waofanya kazi kwenye Halmashauri n.k.
2) Je, unafahamu gharama za maisha ya mtu wa kawaida katika kugharamia mahitaji ya msingi kama vile rent, chakula, usafiri na mavazi? Assume unaishi nyumba ya kupanga isiyozidi 250K kwa mwezi.
Tuanzie hapo kwanza. Ukinijibu maswali haya nitakuuliza maswali mengine.
Onesha werevu wako kwa kuleta hoja kinzani naya kujenga ili kulisaidia taifa lasivyo wewe utakua mnufaika na huu mfumo uliopo.Mtoa mada ni mpumbavu.
WATUMISHI WAKIPANDISHIWA MISHAHARA NA WAFANYA BIASHARA WARUHUSIWE KUPANDISHA BIDHAATanzania tuachane kabisa na mfumo wa kuwapandishia watu mishahara au vyeo bila kuwa na vigezo na vipimo vya "performance" zao.
Nashauri kwanza viwekwe vigezo na vipimo vya "performance" kazini ndivyo vitumike kuwapandisha watu vyeo na mishahara.
Ni wepesi sana kupanga vigezo vya ubora wa utendaji kwa kila kazi katika kila sehemu ya kazi. Tena siku hizi kila kitu kinakuwa kwenye data base kidigitali ni wepesi sana. Wale watendaji bora (best performers) watapanda mishahara na vyeo haraka na wale wazembe (kama ilivyo kwa Watanzania wengi) watasota hapo hapo na mshahara wa "entry level" mpaka wabadilike au wajiachishe wenyewe kazi.
Mfumo huu wa "performance based" upo na unatumika sana ulimwenguni, hususan kwenye kazi zisizo za Serikali, pia serikali nyingi zimeanza kutumia mfumo huo, bila kuoneana aibu wala huruma za kijinga.
Uzoefu wangu wa kufanya kazi za kuajiriwa kwa muda mrefu sana katika nchi zilizoendelea umenifundisha hayo.
Sijajua Kama unazungumzia hili ukiwa na maslahi nalo, Kama mdau au unajaribu tu kumtetea Rais Samia. Nauliza hili kwasababu Kuna watu ambao siyo Watumishi ( just a bunch of stupid ashholes) ambao kwao mtumishi akiteseka au kudhalilishwa ndio Furaha yao.Tanzania tuachane kabisa na mfumo wa kuwapandishia watu mishahara au vyeo bila kuwa na vigezo na vipimo vya "performance" zao.
Nashauri kwanza viwekwe vigezo na vipimo vya "performance" kazini ndivyo vitumike kuwapandisha watu vyeo na mishahara.
Ni wepesi sana kupanga vigezo vya ubora wa utendaji kwa kila kazi katika kila sehemu ya kazi. Tena siku hizi kila kitu kinakuwa kwenye data base kidigitali ni wepesi sana. Wale watendaji bora (best performers) watapanda mishahara na vyeo haraka na wale wazembe (kama ilivyo kwa Watanzania wengi) watasota hapo hapo na mshahara wa "entry level" mpaka wabadilike au wajiachishe wenyewe kazi.
Mfumo huu wa "performance based" upo na unatumika sana ulimwenguni, hususan kwenye kazi zisizo za Serikali, pia serikali nyingi zimeanza kutumia mfumo huo, bila kuoneana aibu wala huruma za kijinga.
Uzoefu wangu wa kufanya kazi za kuajiriwa kwa muda mrefu sana katika nchi zilizoendelea umenifundisha hayo.
Tukicopy ya Saud Arabia itapendenzaKatiba mpya au ya zamani haijalishi. Kuna nchi hazina katiba na zinafanya vizuri. Ni kujipanga tu.
Unategemea katiba mpya ikupe lipi jipya? Nani wa kuitunga hiyo katiba mpya? Au tu "copy amd paste" katiba ipi duniani?
Well. Unasema mishahara iendane na ufanisi. Mie nataka kwanza tuanzie kwenye huo mshahara wa kwanza kabisa anao anza nao mwajiriwa kabla hata huo ufanisi wake wa kazi haujajulikana. Tuanzie hapo kwanza. Je, unaufahamu huo mashahara anaolipwa huyo mwajiriwa? Je, unalingana na gharama za maisha ya kuishi haya maisha ya kawaida? Siyo ya kifahari. Haya haya maisha ya kawaida kabisa.Wewe utakua ujamuelewa vizuri mtoa mada bila Shaka mtoa mada kamanisha tuachane na vima vya chini vya mishahara kwa madaraja ya elimu tu Bali mishahara iendane na ufanisi pia.Sio kutwa washinda kupiga soga na kuchati ofsini tu kazi kuongeza urasimu kazini wataka uongezewe mshahara
Sidhani kama unajua namna kazi za serikali zinavyofanya ( hasa Watumishi wa chini Kama Halmashauri ambako ndio Kuna Watumishi wengi ).Hayo yafungulie uzi wa mada yake.. Hapa mada ni namna ya kuongeza mishahara na vyeo.
Hakuna aliyelaumiwa hapa. Kusema watu wana underperform siyo kulaumu bali vigezo vyao vikiainishwa halafu hujawapa vitendea kazi watakuwa na haki ya kuachana na hiyo kazi, kwanini ufanye kazi sehemu ambayo haikupi vitendea kazi? utakuwa juha au haufahamu "fundamentals" za kazi yako.
Mfano wewe fundi mekanika uambiwe tengeneza magari bila spana? Ukikubali si wewe ndiye juha au mzembe, hakuna zaidi.