Shukuru muyobhozi
Senior Member
- Mar 12, 2023
- 151
- 175
Mtaji Mkubwa anaoutumia CCM ni Ujinga na ndie adui uliemueleza hapa, kwasababu wachangiaji wengi ni wa jinga wanakushambulia kijinga kumpa Ushindi adui UjingaNimefurahi kuwa hujapingana na hoja yangu ya kuwa adui wetu ni ujinga tu.
Hongera.
Nimekuonyesha namna Udini ulituletea elimu hapa kwetu Tanganyika MzeeKwani sahivi kuna ukoloni mkuu?
Na wajinga zaidi ni CHADEMA ambao wakihongwa na karamagi wa tics wanashirikiana na maaskofu wa kihaya kukataa uwekezaji wenye tija kubwa sana na taifa.Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.
Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.
Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.
Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?
Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.
Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.
Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.
Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?
Nasubiri majibu ya kijinga.
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu.Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Asa huyu ajuza analeta elimu gani?Nimekuonyesha namna Udini ulituletea elimu hapa kwetu Tanganyika Mzee
Naunga mkono hojaCCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu.
Kumbe na wewe ni mjinga!😂Kwani miaka yoyote ipo kwa nani? Imeleta faida gani? Zaidi ya watu kuiba kiholela tu.
Na mmemalizia ujinga wenu kwa kuuza Bandari..Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.
Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.
Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.
Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?
Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.
Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.
Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.
Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?
Nasubiri majibu ya kijinga.
Uko sahihi mkuu, hata wajinga wanadhani wanaweza kuongoza, wanatumia wizi wa kura ili waongoze, matokeo yake tunayona sasa
Ni vyema kuwa umeunga mkono hoja yangu, adui yetu mkuu na wa pekee ni ujinga.Ujinga ni adui Kwa Watanzania wanaojitambua, lakini ujinga ni rafiki mkubwa wa CCM.
Majaji wanaoteuliwa na wajinga utawaamini?Nimefurahi mpaka sasa hoja yangu hujaipinga, adui yetu ni ujinga.
Huo wa "kuibiwa" kura chaguzi zote na mahakama zipo, za kitaifa na kimataifa, na wanasheria unao huzitumii. Au huwaamini wanasheria wako kwa ujinga wako au wao?
Ccm ndio baba na mlezi wa huo ujinga.Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.
Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.
Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.
Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?
Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.
Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.
Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.
Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?
Nasubiri majibu ya kijinga.
Mfumo wa kutoa watu ujinga umekuwa chanzo cha kuongeza kiwango cha ujinga, mtu akiwa na Elimu kubwa anazidi kuwa mjinga zaidi, basi tuu ni ujinga ujinga, ndomana uzi huu ni wa kijinga na mawazo yangu ni yakijinga pia, ili mradi tuu ujingaHili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.
Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.
Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.
Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?
Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.
Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.
Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.
Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?
Nasubiri majibu ya kijinga.
Wale wanauza nchi ni ndio wajingaTutabaki kuwa wajinga mpaka kaburini.