Wanatuzidi ujanja na akili bwana wanajua fursa zilipo ulimwenguni koteKwa taarifa yako Kenya haijapata Uhuru.
Ni kweli ardhi yetu ni kubwa na ni ya kwetu.
Kenya hata ardhi iliyopo siyo ya kwao. Kwenye suala ardhi Kenya haina tifauti na nchi za Kusini mwa Afrika.
Tuna watu wengi ndio.
Hii siyo kweli.
Kenya ina madini yote yakiyopo TZ isipokiwa Tanzanite, na ina mafuta. Ina mbuga za wayama, massai Mara, amboseli, na siyo landlocked (ina bandari, ya Mombasa na fukwe za Diani beaches)
Kenya haina chochote cha maana inachoizidi TZ
NdiooPesa yako ikiwa na thamani kubwa wewe inakusaidia nini??
Thamani ya pesa ni ukubwa wa manunuzi unayoweza kufanya siyo NAMBA.
View attachment 3437708
Sekta ya viwanda,,utalii ,elimu Kenya ni onother level anafukuzana na akina Morroco sie tupo tu!!Ni habari nyingine kwenye nini?
Toa hoja, unabweka tu.
Sarafu ya Lemya ina thamani kubwa kuliko sarafu ya Japan. Kwahiyo Kenya na uchumi mkubwa kuliko Japan??
Sekta ya viwanda Kenya ilikuwa kubwa enzi za sera yao ya ubepari na sisi tukajaribu ujamaa.Nikuulize wewe!! Uchumi wa Japan utaujua kutokana na sekta zake za uzalishaji mfn viwanda nk. Sasa je! Katika sekta kama viwanda Tz inalingana na Kenya!?
Sarafu inayoaminika ni Dola ya Marekani.Je,sarafu ipi inaaminika na wafanyabiashara kati ya Kenya na Tz!?
Hapo ni sawa na kusema kwanini kilomita moja ni sawa na mita 100...
Hata siku uchumi wa Tanzania ukiwa mkubwa kuliko nchi yeyote Africa bado Tshs itaingia mara kadhaa kwa pesa ya Kenya...
Hizo ni rates..
Hata USD inaingia mara kadhaa kwenye pesa za waarabu.. mfano KWD, Kuwait Dinar 1 ni sawa na 3.27 USD... lakini US ina uchumi mkubwa zaidi..
Shilingi ya Kenya imeimarika dhidi ya Shilingi ya Tz kwa karibia mara mbili ya thamaniHapo ni sawa na kusema kwanini kilomita moja ni sawa na mita 100...
Hata siku uchumi wa Tanzania ukiwa mkubwa kuliko nchi yeyote Africa bado Tshs itaingia mara kadhaa kwa pesa ya Kenya...
Hizo ni rates..
Hata USD inaingia mara kadhaa kwenye pesa za waarabu.. mfano KWD, Kuwait Dinar 1 ni sawa na 3.27 USD... lakini US ina uchumi mkubwa zaidi..
Sekta ya viwanda tunaelekea kuwazidi.Sekta ya viwanda,,
Utalii wa TZ unakuwa.utalii
Elimu labda useme Kiingereza.,elimu Kenya ni onother level anafukuzana na akina Morroco sie tupo tu!!
Tz tulikuwa na viwanda kipindi cha Nyerere je,vilikufaje!? ni akili ndogo ya wabongo,,, kuhusu sarafu nimekuuliza kuhusu tsh vs ksh ipi inaaminika zaidi ukiachilia mbali dolaSekta ya viwanda Kenya ilikuwa kubwa enzi za sera yao ya ubepari na sisi tukajaribu ujamaa.
Ila tangu tumefungua soko huria, sekta yetu ya viwanda inakuwa kuliko Kenya.
Hata Kenya kwasasa una bidhaa nyingi tu mpka za Azam zinaenda Kenya.
Moja ya faida ya thamani ya sarau yako kuwa chini ni kuvutia wawekezaji wa viwanda.
TZ tuna umeme mwingi wa gharama ndogo kuliko Kenya. Watu wa viwanda ndio wanapenda.
Sarafu inayoaminika ni Dola ya Marekani.
Hata mikopo wanayokopa nje inalipwa kwa Dola.
We kweli Uvccm wakati Kenya mtoto anasoma Tehama kwa vitendo kuanzia primary school bingo unakutana nayo University tena kwa mbaaali!Sekta ya viwanda tunaelekea kuwazidi.
Utalii wa TZ unakuwa.
Namba za watalii unazoziona ni kwasababu Wakenya wanatapeli watalii kuwa watawaleta Ngorongoro, Kilimanjaro, Zanzibar na Serengeti kupitia KENYA AIRWAYS.
Wakishukia Kenya wanawahesabu. Ila mostly wanakuja TZ.
Elimu labda useme Kiingereza.
Hata Kenya hakuna viwanda vya umma.Tz tulikuwa na viwanda kipindi cha Nyerere je,vilikufaje!? ni akili ndogo ya wabongo,,,
Kuaminikaje, maana ninachojua mfanyabiashara haachi pesa.kuhusu sarafu nimekuuliza kuhusu tsh vs ksh ipi inaaminika zaidi ukiachilia mbali dola
Nani kakudanganya thamani ya shilingi fulani ikizidiwa na nchi fulani ndo marndeleo? Rudi darasani kasome tenaUhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?
Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Huijui Kenya kijana.We kweli Uvccm wakati Kenya mtoto anasoma Tehama kwa vitendo kuanzia primary school bingo unakutana nayo University tena kwa mbaaali!
Wanatuzidi kitu gani? Sisi tuna mchumi wa madesa 1st class aka mgulu wa chembaUhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?
Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Ng'ombe wa chama unasemaje!? Utwambie uchumi upi mnono kati ya Kenya na Tz alafu uje na mambo ya sarafu.Nani kakudanganya thamani ya shilingi fulani ikizidiwa na nchi fulani ndo marndeleo? Rudi darasani kasome tena
Ajira hamna hata kwa wenye hela yenye nguvu mara 2400 zaidi yetu..Anza na kushangaa kwamba ni haohao wakenya wanaandamana kwa kukosa ajira na maisha magumu, mpaka wanalalamika tukitunga sheria za kuzuia vinyozi na watu wanaofanya biashara za mpesa
Naona sias zimekukaa sana kichwani, halafu siasa uchwara. Sasa kama huna taaifa hizo siasa utazielewa kweli?Ng'ombe wa chama unasemaje!? Utwambie uchumi upi mnono kati ya Kenya na Tz alafu uje na mambo ya sarafu.
Ukitokq hapo eleza sekta zinazojenga thamani ya sarafu hizo unatokana na nini!?
Hao hapo Lenya wanatangaza Ngorongoro,.unadhani hao watu wanakuja Kenya au watashukia Kenya tu??Kama ni viwanda je,tz tunaizidi Kenya!?
Kama ni utalii je,bongo tunaizidi Kenya!?
Kenya kuna ubunifu gani??Kama ni ubunifu je,bongo tunaizidi Kenya!? Elimu yetu nk.
Hivi hata TEHAMA unajua maana yake au majanga,, Kenya inasomwa kwa vitendo katika shule za umma wakati bongo labda private school za bei ghari sana,,tofauti na hapo mpaka ufike chuo kikuuu napo hawafundishi ni maajabu unakutana na graduate wa bongo hajui kutumia kompyuta na hajawahi kumiliki passport( ushamba)Huijui Kenya kijana.
Hata TZ unaweza kupeleka mtoto shule wa hizo TEHAMA.
Ungekuwa umeona vi-clip kama hivi Kenya, ungekuwa unabweka hapa kama MWEHU.Hivi hata TEHAMA unajua maana yake au majanga,, Kenya inasomwa kwa vitendo katika shule za umma wakati bongo labda private school za bei ghari sana,,tofauti na hapo mpaka ufike chuo kikuuu napo hawafundishi ni maajabu unakutana na graduate wa bongo hajui kutumia kompyuta na hajawahi kumiliki passport( ushamba)