Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

Ikoje mi nachojua MD wa Kenya anayeanza kazi anapokea milion 5.1 ya bongo ,,,huku bongo MD ameongezwa juzi anapokea 1.6m
Una uupumbavu sana kijana.

Daktari wa Kemya mshahara wake huo, hapo Ksh 49,000 ambayo haizidi milioni 1.

KAma kunaongezeko leo, 2025 bado linacheza kwenye milioni hapo hapo.

Mnapotaka kukaza mafuvu, tafuteni taarifa.

 
Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, Phwatu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?

Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
PhD za wachumi wetu ni wizi mtupu
 
Kwani Kenya hela inapatikanaje nA Bongo inapatikanaje!? Fafanua hapa kama Tz hela inaokotwa na Kenya inahangaikiwa.

Nyumba za mabati za kupanga, kodi Kesh 37, 000 ambayo nin sawa na shilingi Tsh 75,000.

TZ hakuna mtu anaishi nyumba ya mabati, tena ya kupanga.

Kwa shilingi 50,000 unaweza kupata hata self nzuri tu, TZ.


 
Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?

Ina maana wanatuzidi akili ama nini?

Ufisadi = economic sabotage.

Tusipoweza kujifunza na kuachana na hili janga la wizi wa kupindukia na wanasiasa na watumishi wa umma kuanza kuweka maslahi ya nchi mbele ya kwao binafsi we will always remain stagnant hapa hapa na uongezeko mdogo mdogo sana wa GDP per capita kila mwaka tunaouona sasa hivi which means we will remain behind..

Ufiisadi upo nchi zingine nyingi tu lakini naamini wa kwetu is at a crippling level na hiyo ndio hasa hasa shida yetu iliko.
 
Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?

Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Inabidi ujue sarafu vizuri.
 
Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?

Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Ngoja nikupe comparison nyingine, milioni moja ya kenya ni sawa na million 1 na laki moja ya japan, je hao watu uchumi uko sawa?
 

Ni Tanzania gani hiyo kupata million 20 ni nyepesi?
 
Ngoja nikupe comparison nyingine, milioni moja ya kenya ni sawa na million 1 na laki moja ya japan, je hao watu uchumi uko sawa?

Heshima kwa Kenya kwa kulinda thamani ya pesa yao.
 
Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?

Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
viongozi wa sisiemu wanaotutawala vichwa vyao vina kutu wanawaza tu ufisadi hawana mpango na watanzania
 
Kenyan currency ina thamani kubwa kuliko Japanese Yen pia. Kumbuka hilo
Na wajapani hawaandamani kisa bei ya unga

Kutokuandamana haimaanishi mambo ni mabaya. Sema Kenya wamekosa viongozi wenye vision.
 

Ila tuwe wakweli, 1:20 milioni ni ndefu Sana
 
Anza na kushangaa kwamba ni haohao wakenya wanaandamana kwa kukosa ajira na maisha magumu, mpaka wanalalamika tukitunga sheria za kuzuia vinyozi na watu wanaofanya biashara za mpesa
Kwani Tanzania Kuna ajira?.kingine Kenya walichotuzidi Cha muhimu ni kujitambua ndiyo maana huchukua hatua kudai Kwa nguvu haki zao tofauti na Tanzania ambayo hata uwakamue vipi wataendelea kutulia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…