Tanzania tunawazidi Kenya katika mambo mengi, jambo la msingi tuendelee kuheshimiana

Sheria inasemaje juu ya hayo matukio uliyoyasema? Walionewa? Au we nae unapuyanga tu pasipo kujua!
 
Umenena vyema. After all they don't deserve that name. Kampuni za Kenya ndio investors wakubwa hapa Tanzania. Huo ndio ukweli.. Tunawahitaji Kenya kuliko wanavyotuhitaji. Hata kama hatuwahitaji tunatakiwa kumaintain uhusiano mzuri na majirani zetu hao soon kuwatukana for no any good reason.
 
Rafiki yako amesali wapi, mbona hatujamskia kutupa madongo kanisani.
Au umeufyata kwa Maaskofu.
Manake tokea abebe tofali na kuumia mkono mjini haonekani .
 
Kwa nini unatumia lugha ngumu na za matusi?!!,huwezi kutoa mchango wako kwa kutumia lugha ya kawaida tu na ukaeleweka?!,
 
Dunia ya leo ni kijiji, tunaishi kwa kutegemeana na diplomasia ni muhimu kuliko kuleta ushabiki wa Simba Vs Yanga kwenye mambo ya msingi. Mambo ya sijui, kutunishiana misuli, mara mimi ni bora kuliko wale yalishapita na wakati...
[emoji106][emoji106]
 
Mjinga ni yule asie jua kanuni na mbinu za medani ktk vita za kiuchumi,ni km wewe unapayuka mambo ya hovyo,utafikiri upo ktk kampeni za chadema na ccm, kwa sasa tupo ktk kampeini za kiuchumi Kati ya kenya na tanzania,wewe endelea kuota jua
 
Rafiki yako amesali wapi, mbona hatujamskia kutupa madongo kanisani.
Au umeufyata kwa Maaskofu.
Manake tokea abebe tofali na kuumia mkono mjini haonekani .
Dr Mollel ameshamalizana na maaskofu kisayansi ndio maana leo hujaona barakoa nyingi Kanisani!
 
Mjinga ni yule asie jua kanuni na mbinu za medani ktk vita za kiuchumi,ni km wewe unapayuka mambo ya hovyo,utafikiri upo ktk kampeni za chadema na ccm, kwa sasa tupo ktk kampeini za kiuchumi Kati ya kenya na tanzania,wewe endelea kuota jua
Chadema tangu Tundu Lisu atibiwe Nairobi wanajifanya na wao ni wakenya!
 
Mkuu, wewe unewahi kutembelea vijiji vya Kenya na kuona raia wa kawaida wanavyo ishi? Aibu tupu, majisifu ndio mengi kuliko uhalisia.
Acha kujilisha matango. Uchumi wa Kenya according to GDP ni mara mbili ya Tanzania. Wakati sisi ni usd 50b wao wanacheza above usd 100b. Halikadhalika,bajeti yao ni mara mbili ya Tz,ilihali population yao ni chini ya Tz kwa 10m. Mshahara wa mwalimu wa Kenya ni mara mbili ya ule wa Tz. Kwa data hizo chache hebu acheni kujifariji kwa vitu ambavyo havipo!
 
Sheria inasemaje juu ya hayo matukio uliyoyasema? Walionewa? Au we nae unapuyanga tu pasipo kujua!
Mimi usifikiri ni wa kiwango chako katika masuala ya biashara za kimataifa.

Unapoongelea uchomaji wa vifaranga toka Kenya kwa vile tu unasema havikuwa na kibali cha ukaguzi, ilitakiwa kuangalia kwanza sheria za biashara ziluxipitishwa na EAC. Pili unaangalia sheria za ndani. Tatu unaangalia diplomasia ya uchumi na biashara.

Bahati mbaya awamu hii, wengi waliopo katika madaraka, hekima hamna, akili kidogo sana. Wamekuwa watu wa kuzalisha matatizo badala ya kuwa watu wa kutatua matatizo.
 
Mjinga ni yule asie jua kanuni na mbinu za medani ktk vita za kiuchumi,ni km wewe unapayuka mambo ya hovyo,utafikiri upo ktk kampeni za chadema na ccm, kwa sasa tupo ktk kampeini za kiuchumi Kati ya kenya na tanzania,wewe endelea kuota jua

Soma comment #21 alafu toa majibu!!

Elimu ya nadharia ndio tatizo lilipoanzia!
 
Tusujidanganye
 
Mnawazidi kwa kuwa na watu wasiojulikana wengi labda
 
Tumewazidi kuwa na raisi msomi mwenye PhD lakini lugha aliochukulia hiyo Phd imamtesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…