Nilishatumia miyandao yote, halotel ndiyo ilikua imebaki na vifurushi rafiki... Ila walichofanya leo ni uhuni wa hali ya juu kama wenzao waliopita... Kama lengo lao ni kupunguza ujazo wa kifurushi wapunguze na gharama
Vibaki hivi hivi au viongezeke zaidi. Mitandaoni kumejaa watu wengi wajinga sana
Hahaha unajikuta unahama kila mtandao kabisa,kila mahali ni upuuzi tu...
wao bado hawajabadilisha vifurushi
Ombi pia kwa Moderator na mkuu Maxence Melo na wengine JamiiForums tunaomba uzi huu muupeleke kwenye mitandao yenu ya kijamii wanaweza sikia malalamiko haya.
Ttcl wametuma ujumbe kuanzia keshoTTCL mbona kama hapajabadilika kitu
Nafikiri hili watalionaHuu ndio ulikua muda mzur sana sana kwa wasanii wetu na watu maarufu kupaza saut maana ni rais sana saut zao kusikika na viongoz na kuchukuliwa hatua ila cha ajabu weng wapo kimya utazan hawajui kinachoendelea wanaumia moyon hao hao ndio wanataka kushindana YouTube na insta ,ila ktk kutetea wanaowaangalia wavivu na wabinafs
sikuku ya wajinga kwenye mambo serious acha basiNyie vipi! Kweli wajinga ndiyo waliwao! Halotel wameeleza jioni hii kuwa hizo bei zilizotolewa leo zilikuwa ni kwa siku hii ambayo ni sikukuu ya wajinga! Wameeleza kuwa bei zao watazitoa kesho sambamba na makampuni mengine kama walivyokubaliana na waziri!
Ohoo wengine wanasema voda ndio net yao ipo vizuriAlfu voda net ipo slow Sana Sana
Ah!ila vitu kama video ndo itakuwa kiama kuplay sio?una save freebasic kwa ajili ya kuingia kwenye baadhi ya mitandao bure