nimefurahishwa sana na magari ya enzi hzo
 
Wakati mwingine, Watanzania tunajirudisha nyuma wenyewe. Azimio la Arusha lilitaifisha majumba yote hayo ya kina Remtula na Patel na kuwafanya kina Dewji waogope kujenga tena nyumba. Bwana Msajili wa Nyumba aliyekabidhiwa nyumba hizo za kina Remtula na Patel, akashindwa kujenga nyumba mpya mijini wala kuzifanyia usafi. Ukweli ni kwamba miaka yote 23 ya Azimio la Arusha (1967-1990), nchi ilisimama kimaendeleo, watu tukagawana umasikini wetu kiujamaa kwa kupanga foleni kutwa nzima kununua kipande cha sabuni kwenye duka la walaji. Watanzania wa leo mnapaswa kumshukuru sana Mzee Mwinyi kwa kulizika Azimio la Arusha pale Kisiwandui, Unguja!
 
Azimio la Arusha hilo ndilo lilitudumaza kimaendeleo baada ya kutaifisha nyumba, shule na viwanda vya kina Patel
 
Lazma utambue kua azimo la arusha ndio mkomboz wa taifa huru la tanzania
Kutaifishwa kwa mali zile ilikua n kuwamilikisha watanzania wenyewe
 
Straddler;
Nimeipenda sana hii clip, kuliko kawaida!

Nashukuru kaka.
Bahati mbaya nyumba inayobeba historia yote ya nchi hii, pale mtaa wa Lumumba, wameibomoa badala ya kuifanya kuwa museum....ovyooo!:A S 13:.....nchi hii kila mtu na akili yake.
 
Hahahaaaaaaaa Du Aise safi sanaaaa mwanaaaaaaaaa!!! Clock tower hapo kuna Shirika la Posta tulikua tunaenda kuchukua hela tukipata TMO school
Enzi hizo bito ndio mtindo. Hivyo vyeupe kama magunia yamepangwa barabarani ni nini?
 


Mwigulu Nchemba alikuwa na umri gani kipindi hiki? Manake nasikia anautaka Upresidaaa.
 
Pamoja na kwamba uzi ni wa mwaka juzi inaelekea jamaa alivyoona clock tower akataka aone clock tower kumbe kwa mtu aliishi Arusha ameshaelewa hayo majeng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…