Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwanja wa Ndege wa Biharamuro Mwaka 1958
View attachment 74269
hii picha siya zamani,hizo cruizer ni 98 hivi,defender gari ya 2000+,caldina 1998,baloon 94+,tangazo la picha ya ccm ukutani ni 2000+,mitambo ya simu za mkononi juu ya ghorofa,tangazo la celtel ukutani![]()
nina wasi wasi kama picha hii imepigwa ENZI HIZO, inawezekana imepigwa siku ya siku ambayo watu ni wachache, check hata mlima kilimajnaro barfu ilivyokwisha, enzi hizo kipara chote cheupe, barafu tupu... mmmmh
Kinachonivutia sana kuhusu picha hizi ni usafi wa miji na mazingira enzi hizo. Hebu wekeni picha za sasa kama hamkuona maji ya choo yanavyotiririshwa kwenye mifereji ya barabara za mijini na madampo kibao katikati ya miji. Halafu miji imepambwa kwa mifuko ya plastiki nyeusi. Kunguru wezi weusi ndio wanapamba miji badala ya njiwa ishara ya amani.View attachment 74223
Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947
View attachment 74224
Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front
View attachment 74225
Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s
View attachment 74226
Salender Bridge 1960s
View attachment 74227
Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!!
View attachment 74228
Seaview-Mawingu House 1960
View attachment 74229
Arusha-Clock Tower 1966
View attachment 74230
Dodoma City Center 1974
View attachment 74231
Bukoba City Center 1972
View attachment 74232
Jengo La CCM Likiwa Linajengwa Enzi Hizo
View attachment 74233
Korogwe Hotel
View attachment 74234
Same Hotel
View attachment 74235
Musoma 1960
View attachment 74236
Handeni Bomani Enzi Hizo
View attachment 74237
Shule Ya secondary Kisutu 1975
View attachment 74238
Iyunga Secondary 1966
Tupia Nyingine na wewe kama Unazo za Enzi Hizo za Popote pale ndani ya Tanzania::::Kumbukumbu ya Miaka 51 ya Uhuru::09 Dec 2012
Hapo ni Mnazi mmoja Mji mtulivu na mwanana hata Zebra cross ilikuwa km ya futi sita tu mnavuka kwa raha hapo mtaa wa Lumumba
View attachment 80986