Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Wengine wapo WIZARA YA FEDHA, ila VIONGOZI WA KIJESHI ndiyo wanaenda vizuri.Huyu ni mtoto wa nani? Mwenyekiti wa CUF na yey ana watoto Marekani, professor anawadanganya wamatumbi kuwa ni mgumba kumbe ana watoto hiace inajaa.. π Wengine wamo ccm
Sierra leone na Burkina faso ndiyo wanapenda kwenda, ni nchi nzuri kwa kuwekeza sema watu wanaogopa machafuko. Zile ni nchi za watu, zipo kama kongo na wao wanasema mnawajengea mataifa yao tu na watarudi kwao kama waKongo ..Wengine wapo WIZARA YA FEDHA, ila VIONGOZI WA KIJESHI ndiyo wanaenda vizuri.
Sasa hivi soko la wanamichezo lipo katika TAIFA LA SIERRA LEONE, wanamichezo wengi wanapata nafasi ya kuwakilisha TAIFA LA SIERRA LEONE katika michezo mbalimbali na wengi wanakuwa wanatoka TANZANIA.
Wengi wao wanakuwa ni vizazi vya WAKUU NA VIONGOZI WA KIJESHI na sasa hivi SIERRA LEONE ina uwakilishi wa kibalozi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
Zamani watu wengi walikuwa wanasoma sana.. π Huyo Joseph Peter ngoja nimtafute.. π Hizo tuti lazima mzazi awe anajiellewa, ni hela ndogo lakini inatia uvivu kuzitoa..Wenzenu walikuwa wanasoma SHULENI, wanasoma TUITION na wasoma TABLE TEACHING wakiwa nyumbani.
Ukiangalia MAONI YA MWALIMU WA DARASA na MAONI YA MKUU WA SHULE unaweza kuvunjika moyo, lakini baadae kwenye MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA PILI ndiyo akawa MWANAFUNZI BORA [TO].
Baada ya matokeo ya KIDATO CHA PILI, MAONI YA MWALIMU WA DARASA na MAONI YA MWALIMU MKUU yalibadilika ~ "Usiridhike na alama hizi, kazana kujisomea.."βΊοΈ
Wenzenu walianza kusoma hadi TUITION zinazohusu PRACTICALS za PHYSICS, CHEMISTRY na BIOLOGY.
TUITION PRACTICALS za PHYSICS, CHEMISTRY na BIOLOGY zilikuwa zinahusu THEORY, ALTERNATIVE [IDEAL] PRACTICALS pamoja na REAL PRACTICALS.
Wenzenu walijikuta wamemaliza kila kitu walipokuwa wanamaliza KIDATO CHA TATU na walivyofika KIDATO CHA NNE ilikuwa ni marudio..
View attachment 3531071
AIRFORCE ONE ni nzito na haifai kwenye mishe mishe, lakini CONVERSE ni nzuri kwa mazingira yetu. Hata SNICKERS zinafaa.. ππ½Saivi vijana wanavaa Airforce One, All Star hawajui na wanazungusha ile mbaya.. π
Ona na ada za KIDATO CHA TANO na KIDATO CHA SITA, ni gharama nafuu sana kiasi ambacho mtumishi yoyote anaweza kulipa..Zamani watu wengi walikuwa wanasoma sana.. π Huyo Joseph Peter ngoja nimtafute.. π Hizo tuti lazima mzazi awe anajiellewa, ni hela ndogo lakini inatia uvivu kuzitoa..
Wale WANAFUNZI BORA pamoja na WANAFUNZI VINARA huwa wanachelewa kuoa au kuolewa kutokana na sababu za kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.Saiv ukiwa mchikichin na mwenge hamna wanafunz kabisa! Na walimu wengine walishakufa, zamani walikuwa wanasoma sana..
Tunaambiwa wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA NORDIC waliwaambia WATANZANIA kuwa "wasiache mbachao kwa msala upitao" na WAKENYA waliwaambia WATANZANIA kuwa "tamaa mbele, mauti nyuma".Wakina nyamka ndo waliwalleta wakosovo na vurugu zote za wakongo na wahutu. Nyerere aliwakataa kabisa.. π
Hawa watoto wa alfu mbili hawaelewi chochote, kulikuwa kuna DELTA FORCE aina ya kiatu.. πAIRFORCE ONE ni nzito na haifai kwenye mishe mishe, lakini CONVERSE ni nzuri kwa mazingira yetu. Hata SNICKERS zinafaa.. ππ½
Hizo ni Hella za bia tu, sema watu wengi walikuwa hawajielewi.. π Walikuwa ni wajingaOna na ada za KIDATO CHA TANO na KIDATO CHA SITA, ni gharama nafuu sana kiasi ambacho mtumishi yoyote anaweza kulipa..
Wenzenu walikuwa wanapitia SHULE ZA SERIKALI kwenye gharama nafuu na wanafanikiwa kuingia KUMI [10] BORA.
Baada ya kufanikiwa kuingia KUMI [10] BORA huwa wanajiunga na MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.
Haya ndiyo majeshi yanayofuata SE FAIRE VALOIR na ukishafanikiwa kufika cheo cha ACP na kuendelea hadi cheo cha IGP, kizazi cha mhusika kinakuwa kinatambulika katika MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.
Wamefanya hivyo, kwa sababu kuanzia cheo cha SSP ~ askari anakuwa na sifa ya kuwa MWANADIPLOMASIA na anaweza kuteuliwa kuwa BALOZI WA NCHI muda wowote anapokuwa kazini.
Cheo cha IGP na DIGP wanakuwa wanatambulika hadi kizazi cha [...]! Pia cheo cha CP na DCP wanakuwa wanatambulika hadi kizazi cha [...]! Vile vile cheo cha SACP na ACP wanakuwa wanatambulika hadi kizazi cha [...] kwa upande wa SERIKALI.
Kwahiyo wale waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, walisomesha kwa bidii na wengi walipeleka watoto wao kwenye majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.
Tanzania ilikosea sanaaaaa, hizo chenji zilizokuwa zinabak walikuwa wanagawana vigogo wa serikali ndo maana wakina Nyamka walikuwa wana hela sana... π Kila mwisho wa mwezi walikuwa wanapokea mgao kutoka kwenye chenji zinazobaki.. Mkapa alivyoingia madarakani mwaka 1995 akazuia hiyo channel ya hela tena ilikuwa ni kipindi ambacho anatoka madarakani..Lakini wajamaa walikuwa tayari wameshatengeneza hela za kutosha, ni billionaires. Saivi hizo chenji zinabak serikali kuu, ni siasa ya kijeshi na wao walikuwa hawana habari na masuala ya kijamiiTunaambiwa wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA NORDIC waliwaambia WATANZANIA kuwa "wasiache mbachao kwa msala upitao" na WAKENYA waliwaambia WATANZANIA kuwa "tamaa mbele, mauti nyuma".
Kile kitendo cha kuruhusu WAKOSOVO kuishi TANZANIA kilishitua mataifa mengi na wengi walihusisha tukio lile na tamaa ya kupata fedha za bure na haraka haraka, kwa sababu wale wenyeji wa asili wa KOSOVO walianza kulipwa na mataifa yanayounda JUMUIYA YA ULAYA [EU] tangu mwaka 1975 na walikuwa wanalipa kwa US DOLLARS tangu miaka ile hadi leo.
Tena huwa wanatoa US DOLLARS kwa mafungu ya 100USD, kama mfanyakazi analipwa laki saba [700,000Tsh] basi hesabu yake inakuwa ni US300DOLLARS na chenji zinazobaki wanaweka mfukoni.
Kama posho ya mfanyakazi ni elfu themanini [80,000Tsh] basi hesabu yake inakuwa ni US100DOLLARS na chenji zinazobaki wanaweka mfukoni. Hali hii ipo hivyo hivyo kwa upande wa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO wanaoishi TANZANIA.
Pia kuna jamii nyingine ilitoka katika taifa la [...] na walipewa maeneo ya HAYIDOM, pale MKOA WA MANYARA. Ni watu hatari sana, so you have to keep distance.. ππ½
Kwahiyo TANZANIA iliangalia zaidi faida za kiuchumi kuliko athari za kijamii na mwisho wa siku RAIS atabaki kuwa RAIS na MKUU WA JESHI ataendelea kuwa MKUU WA JESHI, kila nafasi ina sehemu yake katika utendaji kazi wa serikali.
Huyo wanasema alikuwa ni mjukuu wa Makwaia na baba yake alikuwa ni mtoto wa Makwaia, aliyekuwa rais wa kwanza wa Togo..π . Alizaliwa pekee yake mwaka 1954 cku chache baada ya baba yake na ukoo mzima kuhamia Togo.. Alitakiwa kuhamia Togo na mkapa alimpa chaka la kwenda Kabinda ili akifika huko Kongo awe mwepesi kwenda Togo, lakini alikataa na cjui ana watoto wangapi saivi maana alikuwa ni mlevi cjawahi ona.. πMzee Maziku
Kile chama kinaitwaje cha wana shirecu?
Hawa watoto wa alfu mbili hawaelewi chochote, kulikuwa kuna DELTA FORCE aina ya kiatu.. π
Huyu ni mtoto wa nani? Mwenyekiti wa CUF na yey ana watoto Marekani, professor anawadanganya wamatumbi kuwa ni mgumba kumbe ana watoto hiace inajaa.. π Wengine wamo ccm
Tunaambiwa alikataa kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa hofu ya kurudishwa kwa baba yake, TOGO!Huyo wanasema alikuwa ni mjukuu wa Makwaia na baba yake alikuwa ni mtoto wa Makwaia, aliyekuwa rais wa kwanza wa Togo..π . Alizaliwa pekee yake mwaka 1954 cku chache baada ya baba yake na ukoo mzima kuhamia Togo.. Alitakiwa kuhamia Togo na mkapa alimpa chaka la kwenda Kabinda ili akifika huko Kongo awe mwepesi kwenda Togo, lakini alikataa na cjui ana watoto wangapi saivi maana alikuwa ni mlevi cjawahi ona.. π
Tunaambiwa wale waliokuwa CGP na CGF, akili zao zilizidi sana hadi wakajikuta wanafanya mambo kinyume na uhalisia.Tanzania ilikosea sanaaaaa, hizo chenji zilizokuwa zinabak walikuwa wanagawana vigogo wa serikali ndo maana wakina Nyamka walikuwa wana hela sana... π
Kila mwisho wa mwezi walikuwa wanapokea mgao kutoka kwenye chenji zinazobaki..
Ilikuwa ni kipindi ambacho tayari CGP MSTAAFU alikuwa ameshafariki na MISTER CLEAN alimudu vizuri kuongea na CGF MSTAAFU na walimalizana vizuri, nadhani kuna sehemu ambayo walimegewa ili waendelee kula.Mkapa alivyoingia madarakani mwaka 1995 akazuia hiyo channel ya hela tena ilikuwa ni kipindi ambacho anatoka madarakani..
Walikuwa tayari wana watoto ambao wanacheza soka la kulipwa barani ulaya, kipindi hicho mtoto wa kiume wa HAYATI MWALIMU alikuwa akiwania UBUNGE WA JIMBO LA ARUSHA MJINI kupitia tiketi ya NCCR - MAGEUZI.Lakini wajamaa walikuwa tayari wameshatengeneza hela za kutosha, ni billionaires.
Saivi hizo chenji zinabak serikali kuu, ni siasa ya kijeshi na wao walikuwa hawana habari na masuala ya kijamii
Wale waliokuwa CGP - MSTAAFU na CGF - MSTAAFU walitaka kufanya TANZANIA kuwa kama KONGO na walitaka kuwafanya WATANZANIA kuwa kama WAHUTU.Tanzania ilikosea sanaaaaa, hizo chenji zilizokuwa zinabak walikuwa wanagawana vigogo wa serikali ndo maana wakina Nyamka walikuwa wana hela sana... π Kila mwisho wa mwezi walikuwa wanapokea mgao kutoka kwenye chenji zinazobaki.. Mkapa alivyoingia madarakani mwaka 1995 akazuia hiyo channel ya hela tena ilikuwa ni kipindi ambacho anatoka madarakani..Lakini wajamaa walikuwa tayari wameshatengeneza hela za kutosha, ni billionaires. Saivi hizo chenji zinabak serikali kuu, ni siasa ya kijeshi na wao walikuwa hawana habari na masuala ya kijamii
Alitakiwa kuwa msemaji wa familia ya nyerere, lakini aligoma na baadae nafasi hiyo ilienda kwa Butiku. Hizo nafasi za Mzee Butiku zilikuwa ni nafasi za Chale wa shireku, tatizo ni ulevi na alikuwa na hofu ya kutiwa sumu kutokana na maisha aliyoishi.. π Maisha aliishi machafu sanaaaaaTunaambiwa alikataa kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa hofu ya kurudishwa kwa baba yake, TOGO!
Pia alikataa kuwa KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM], nafasi ambayo alipendekezwa na MISTER CLEAN!
Pia alikataa kuwa mhadhiri wa CHUO CHA USAFIRISHAJI, NIT! Yaani alikuwa ni mtu wa kufanya mipango yake tu.
Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA walikuwa na bahati sana, sema sijui nini kilikuwa kinatokea baina yao.. ππ½
Wenzenu walikuwa wanaangalia hela, hayo yote wanayajua. Wanafanya kuweka wakosovo na wakongo majeshin ikiwa wanajua kila kitu na wanawatumia kwenye kazi chaf chaf, halafu wanatoa watu wao na kwenda kuishi nje ya nchi.. π Ni wajinga na wamefeli mipango yao. Ss hatuwezi kuwa kama wahutu wala wakosovoWale waliokuwa CGP - MSTAAFU na CGF - MSTAAFU walitaka kufanya TANZANIA kuwa kama KONGO na walitaka kuwafanya WATANZANIA kuwa kama WAHUTU.
Unajua mataifa yote ambayo yalifanikiwa kupata uhuru kutoka kwa UINGEREZA yalikuwa yanafuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], ile kikamilifu.
Lakini baadae, baada ya MAPINDUZI BARIDI yaliyotokea mwaka 1975 yalifanikiwa kubadilisha mfumo mzima wa kiutawala na kijamii kutoka "CIVILIZED SOCIETY" na kuwa "HOSTILE SOCIETY" ~ mfumo ambao ulikuwa unatumika na mataifa yaliyokuwa chini ya UFARANSA na UBELIGIJI.
"CIVILIZED SOCIETY" inafuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], lakini "HOSTILE SOCIETY" haifuati sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] na ina athari hadi upande wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Upande wa "CIVILIZED SOCIETY" ~ kipaumbele cha kwanza cha kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ni wale raia waliozaliwa na kulelewa na wazazi wote wawili!
Lakini ikitokea mzazi mmoja amefariki au wazazi wote wawili wamefariki, inabidi kuwepo na uthibitisho wa vyeti vya vifo na kuonesha raia ni YATIMA.
Wanafanya hivyo wakiamini kuwa raia aliyelelewa na wazazi wote wawili anakuwa na ule upendo kutoka kwa wazazi ambao anaweza kuonesha kwa watu wengine na kufanyika kuwa MZALENDO kwa taifa lake.
"CIVILIZED SOCIETY" huwa ni vigumu kupata nafasi ya kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa raia ambao wameasiliwa au wamelelewa na wazazi ambao siyo wao.
Raia walioasiliwa na kulelewa na wazazi ambao siyo wao, huwa ni vigumu kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA katika "CIVILIZED SOCIETY" ~ wakiamini kuwa raia aliyeasiliwa anakuwa amekosa ule upendo kutoka kwa wazazi wake na inakuwa vigumu kuonesha upendo kwa watu wengine na hatimaye hawezi kuwa MZALENDO kwa taifa lake.
Lakini "HOSTILE SOCIETY" ina ruhusu raia ambao wameasiliwa na kulelewa na wazazi ambao siyo wao, kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
"HOSTILE SOCIETY" haichagui wala haibagui! Wao wanahitaji raia awe na utimamu wa mwili na akili, mfano ni wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA. Majeshi yao yalikuwa ni dhaifu sana, kiasi ambacho yaliweza kuvamiwa na kushindwa katika mapigano ya kivita.
Sasa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ~ MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA hasa JESHI LA ULINZI lilianza kudhohofika kipindi hiki cha kuanzia mwaka 1975 kutokana na kuruhusu wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
View attachment 3532337
Wanasema hivyo kwa sababu hauwezi kupata amani au ufanisi kutoka katika jamii za watu ambazo zilishindwa kuishi kwa kuvumiliana.
Kwahiyo uwepo wa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA nchini TANZANIA tutategemea vurugu, athari za kijamii pamoja na kudhohofika utendaji kazi katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, hasa JESHI LA ULINZI.
Hali hii ikiendelea, tegemea madhaifu makubwa kwa upande wa JESHI LA ULINZI! Ule upande mwingine wa MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO wapo vizuri na waliwaondoa wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA kama tahadhari.
Wakosovo wanalipwa na ulaya na wakongo wanajilipa wao wenyewe. Wakongo wanahela sana na ndo wana serikal ya Qatar pamoja na Ujerumani. Hela walizoweka pale Qatar ni aibu kwa afrika.. πTunaambiwa wale waliokuwa CGP na CGF, akili zao zilizidi sana hadi wakajikuta wanafanya mambo kinyume na uhalisia.
Pia mwaka 1983, kulitokea jaribio la MAPINDUZI ambapo kwa taarifa za ndani zinasema ilikuwa ni taifa jirani kutoka kaskazini ndiyo lililohusika na kutaka kufanya MAPINDUZI kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA na walikuwa upande wa HAYATI MWALIMU.
Baadae HAYATI MWALIMU alikubali yaishe na mwaka 1985 aling'atuka madarakani.
Ndiyo na walifanikiwa kujijenga KIUCHUMI na kuwekeza katika kila SEKTA.
Ilikuwa ni kipindi ambacho tayari CGP MSTAAFU alikuwa ameshafariki na MISTER CLEAN alimudu vizuri kuongea na CGF MSTAAFU na walimalizana vizuri, nadhani kuna sehemu ambayo walimegewa ili waendelee kula.
Walikuwa tayari wana watoto ambao wanacheza soka la kulipwa barani ulaya, kipindi hicho mtoto wa kiume wa HAYATI MWALIMU alikuwa akiwania UBUNGE WA JIMBO LA ARUSHA MJINI kupitia tiketi ya NCCR - MAGEUZI.
Hao CGP MSTAAFU pamoja na CGF MSTAAFU walikuwa mbali sana kiuchumi kuliko hata HAYATI MWALIMU.
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], iliibuka stori iliyokuwa ikisema PATRICK KLUIVERT anamiliki uchumi mkubwa kuliko WAZIRI WA MAMBO YA NJE, ambaye alikuwa ni KHALFAN.. π
Sijui na sina uhakika kama chenji zinazobaki zinaenda SERIKALI KUU, lakini hizo pesa ambazo wanalipwa mishahara pamoja na posho wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA huwa zinaingia HAZINA.