Ukishafanikiwa kuwa to na op, hakuna haja ya kujiunga na vyama vya siasa. Subiri mda ujiunge na majeshWaliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, walijikita katika ELIMU YA MSINGI na ELIMU YA SEKONDARI.
Ukifanikiwa kushika nafasi ya tano [5] kitaifa kwa upande wa SHULE YA MSINGI au SHULE YA SEKONDARI, iwe katika matokeo ya ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA, ndiyo inapendeza kujiunga na SIASA ZA TANZANIA.
Lakini kama mhusika ni miongoni mwa WANAFUNZI BORA au WANAFUNZI VINARA, ni vyema kujiunga na MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO ~ sababu CGP, IGP na CGF lazima awe ni MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's].
Wale CGP - MSTAAFU na CGF - MSTAAFU walifanikiwa kujijenga KIUCHUMI na vizazi vyao wengi wapo nje ya nchi, waliobaki TANZANIA ni wale waliofanikiwa kuingia KUMI [10] BORA kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA kwa upande wa SHULE YA MSINGI au SHULE YA SEKONDARI.Kuna Ashok Leyland inayotumika na police.. π Hao Wastaafu walipiga hela nyingi sanaa na mkataba wa kutumia Toyota ulikuwa unaisha 2014 lakin wakaongeza tena kwa miaka 10. Magufuli ameingia madarakani amekuta watu tayari walishafanya mambo.. π Pale kuna commission wanapata kwenye manunuzi ya Toyota
Hao wote ni watanzania, wakina Joseline na ndo walitaka kuwafanya watanzania kuwa kama wahutu.. π Saivi hata kama kizazi chao kinatambulika serikalin, kama hawapo top ten ni kaz bure.. π Wataishia kuvaa ngao labda waende huko machafuchafu.. πWale CGP - MSTAAFU na CGF - MSTAAFU walifanikiwa kujijenga KIUCHUMI na vizazi vyao wengi wapo nje ya nchi, waliobaki TANZANIA ni wale waliofanikiwa kuingia KUMI [10] BORA kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA kwa upande wa SHULE YA MSINGI au SHULE YA SEKONDARI.
Huyo dada anayeonekana kwenye video akiwa amevaa kofia ni kizazi cha CGF - MSTAAFU na huyo kijana anayeonekana kwenye video akiwa anabebwa juu juu ni kizazi cha CGP - MSTAAFU.
Wenzenu walifanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi na walijikita katika uchumi na kusomesha watoto wao!
Yaani watoto waliofanikiwa kuingia KUMI [10] BORA ndiyo waliobaki TANZANIA, wengine wote wapo nje ya nchi ~ kwa sababu wale askari ambao ni KUMI [10] BORA ndiyo wanaodumu hadi kustaafu kwenye MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.
Kuna Ashok Leyland inayotumika na police.. π Hao Wastaafu walipiga hela nyingi sanaa na mkataba wa kutumia Toyota ulikuwa unaisha 2014 lakin wakaongeza tena kwa miaka 10. Magufuli ameingia madarakani amekuta watu tayari walishafanya mambo.. π Pale kuna commission wanapata kwenye manunuzi ya Toyota
Hao wenzenu walianza kufanya vizuri kitaifa tangu AWAMU YA TATU [1995-2005] na wanamiliki majengo yao kama zawadi ya DARASA LA SABA [2003] na KIDATO CHA PILI [2005].Ukishafanikiwa kuwa to na op, hakuna haja ya kujiunga na vyama vya siasa. Subiri mda ujiunge na majesh
Ina maana afcon tunaweza tusiandae kwa namna hiyo. Wakaandaa Kenya na Uganda, sio Tanzania.. πTANZANIA ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya kutengeneza magari ya TATA na simu za HONOR, lakini kampuni kama NISSAN na HYUNDAI waliambiwa hawana vigezo vya kununua kampuni za kimataifa.
Vigezo vyenyewe ni kutofuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], ile kikamilifu.
Hii nchi ipo cku watarushiana ngumi.. π Wakati wengine wanarisit kijanja kijanja form4 ili waingie top ten, wengine wanapata yote.. π€£Hao wenzenu walianza kufanya vizuri kitaifa tangu AWAMU YA TATU [1995-2005] na wanamiliki majengo yao kama zawadi ya DARASA LA SABA [2003] na KIDATO CHA PILI [2005].
Jengo la tatu [3] na jengo la tano [5] kutoka SURRENDER BRIDGE, zawadi ambayo alipata tangu AWAMU YA TATU iliyoongozwa na MISTER CLEAN.
Majengo ambayo yalikuwa yamepangwa kutolewa kama zawadi kwa WANAFUNZI BORA pamoja na WANAFUNZI VINARA yapo zaidi ya mia nne [>400], yanayopatikana kwa upande wa TANZANIA BARA na TANZANIA VISIWANI.
Majengo hayo ni yale yaliyokuwepo tangu kipindi cha UKOLONI WA KIJERUMANI na KIINGEREZA ambayo yalikuwa na yanaendelea kutumika na serikali.
AWAMU YA NNE [2005-2015] ilivyoingia madarakani ilikuwa inatoa zawadi ya magari aina ya TOYOTA LANDCRUISER kwa upande wa WANAFUNZI BORA pamoja na WANAFUNZI VINARA.
Wenzenu walifanikiwa kupata zawadi nyingine za magari mawili aina ya TOYOTA LANDCRUISER kwa upande wa KIDATO CHA NNE [2007] na KIDATO CHA SITA [2010].
Sasa hivi wenzenu wametulia kama hawapo na wanaendelea kufanya mazoezi ya viungo mdogomdogo.
CHUO KIKUU alikuwa RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI, hivyo hakuna haja ya kujihusisha na siasa za kitaifa. Ijapokuwa bado kile cheo cha urithi kitakuwa kinaendelea.
Kwahiyo wenzenu huwa wanajiunga na MAJESHI wanapofikisha miaka thelathini na tano [35].
Ndiyo maana sasa hivi vijana wamenyooka, wanajianda kuongoza MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.
Saivi ukiwa Oysterbay idadi kubwa ya nyumba zinamilikiwa na viongoz wa kitaifa pamoja na matio.. πHao wenzenu walianza kufanya vizuri kitaifa tangu AWAMU YA TATU [1995-2005] na wanamiliki majengo yao kama zawadi ya DARASA LA SABA [2003] na KIDATO CHA PILI [2005].
Jengo la tatu [3] na jengo la tano [5] kutoka SURRENDER BRIDGE, zawadi ambayo alipata tangu AWAMU YA TATU iliyoongozwa na MISTER CLEAN.
Majengo ambayo yalikuwa yamepangwa kutolewa kama zawadi kwa WANAFUNZI BORA pamoja na WANAFUNZI VINARA yapo zaidi ya mia nne [>400], yanayopatikana kwa upande wa TANZANIA BARA na TANZANIA VISIWANI.
Majengo hayo ni yale yaliyokuwepo tangu kipindi cha UKOLONI WA KIJERUMANI na KIINGEREZA ambayo yalikuwa na yanaendelea kutumika na serikali.
AWAMU YA NNE [2005-2015] ilivyoingia madarakani ilikuwa inatoa zawadi ya magari aina ya TOYOTA LANDCRUISER kwa upande wa WANAFUNZI BORA pamoja na WANAFUNZI VINARA.
Wenzenu walifanikiwa kupata zawadi nyingine za magari mawili aina ya TOYOTA LANDCRUISER kwa upande wa KIDATO CHA NNE [2007] na KIDATO CHA SITA [2010].
Sasa hivi wenzenu wametulia kama hawapo na wanaendelea kufanya mazoezi ya viungo mdogomdogo.
CHUO KIKUU alikuwa RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI, hivyo hakuna haja ya kujihusisha na siasa za kitaifa. Ijapokuwa bado kile cheo cha urithi kitakuwa kinaendelea.
Kwahiyo wenzenu huwa wanajiunga na MAJESHI wanapofikisha miaka thelathini na tano [35].
Ndiyo maana sasa hivi vijana wamenyooka, wanajianda kuongoza MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.
Hii nchi ipo cku watarushiana ngumi.. π Wakati wengine wanarisit kijanja kijanja form4 ili waingie top ten, wengine wanapata yote.. π€£
Kipindi cha AWAMU YA TATU [1995-2005], zoezi la ugawaji wa nyumba za serikali kwa WANAFUNZI BORA pamoja na WANAFUNZI VINARA lilikuwa linasimamiwa na JPM.Saivi ukiwa Oysterbay idadi kubwa ya nyumba zinamilikiwa na viongoz wa kitaifa pamoja na matio.. π
Ina maana afcon tunaweza tusiandae kwa namna hiyo. Wakaandaa Kenya na Uganda, sio Tanzania.. π
Miaka ile ya tisini [1990's] alivyoingia CGP MWANGUKU alibadilisha mambo mengi sana, ikiwa na kuanzisha mfumo wa vyama vingi, 1992's.Kuna Ashok Leyland inayotumika na police.. π Hao Wastaafu walipiga hela nyingi sanaa na mkataba wa kutumia Toyota ulikuwa unaisha 2014 lakin wakaongeza tena kwa miaka 10. Magufuli ameingia madarakani amekuta watu tayari walishafanya mambo.. π Pale kuna commission wanapata kwenye manunuzi ya Toyota
Kuna wake za viongozi walikuwa wanazitolea macho hzo nyumba... π Hadi wakaunda umoja wa wake za viongozi wa kitaifa, lakini walikula nguzo.. π Kuna wanafunzi walipata hizo nyumba wakiwa na wazazi wao wanaishi katika nyumba za kupangisha.. π Had watoto wa darasa la nne walipata hzo nyumbaKipindi cha AWAMU YA TATU [1995-2005], zoezi la ugawaji wa nyumba za serikali kwa WANAFUNZI BORA pamoja na WANAFUNZI VINARA lilikuwa linasimamiwa na JPM.
Kwahiyo kuna watu walitoka kwa namna hiyo! Yaani walikuwa hawana kitu kabisa na baada ya matokeo ya DARASA LA SABA au KIDATO CHA PILI au KIDATO CHA NNE au KIDATO CHA SITA yalivyotoka, maisha yalibadilika "from zero to hero".. ππ½
AWAMU YA NNE [2005-2015], zoezi la ugawaji wa nyumba za serikali kwa WANAFUNZI BORA pamoja na WANAFUNZI VINARA lilikoma na kuanza kugawa magari aina ya TOYOTA LANDCRUISER kwa upande wa WANAFUNZI BORA pamoja na WANAFUNZI VINARA.
Tuombe ifanyike Tanzania, lakini watupe mda wa kujirekebisha... πKuandaa michuano ya kimataifa huwa kuna vigezo ambavyo vinatumika! Tofauti na ubora wa viwanja na mahala pakufikia kama migahawa na nyumba za kulala wageni.
Michuano ya kimataifa ina hadhi yake na mara nyingi huwa inatumiwa na UMOJA WA MATAIFA [UN] kupitia shirikisho la mpira wa miguu duniani, FIFA.
Wakina Nyamka ndo wakaingiza wakosovo katika uchaguzi mkuu ili watambulike kama jumuiya ya ulaya.. π€£ Kumbe waliokuwa nyuma ni wao na uchaguzi mkuu wa 2005 walijaribu kuwaingiza na wakaonekana ndo waliompitisha JK, kumbe ni wao wakina Nyamka Generation.. πMiaka ile ya tisini [1990's] alivyoingia CGP MWANGUKU alibadilisha mambo mengi sana, ikiwa na kuanzisha mfumo wa vyama vingi, 1992's.
Lakini pia alihoji manunuzi ya magari kama TOYOTA, NISSAN, IVECO na SCANIA katika matumizi ya serikali, ilhali kuna kampuni kama ISUZU ambayo baadae ilizaa CATIK, FIAT, TATA, FAW [JIEFANG] na sasa hivi kuna YUTONG na BHARATBENZ.
Majibu aliyopewa na watangulizi wake, aliambiwa kuwa atakufa masikini na wenzie walihofu kuwa alikuwa upande wa HAYATI MWALIMU na angeliweza kuleta mabadiliko ya kisiasa katika UCHAGUZI MKUU WA 1995.
Halafu kwa wale waliokuwa watangulizi wa CGP MWANGUKU, walimwambia kuwa ana chembechembe za upinzani hivyo katika vizazi vyake atakuja kupatikana WAZIRI MKUU ambaye ndiye atakuwa KIONGOZI WA UPINZANI wa kweli nchini TANZANIA.
Miongoni mwa vizazi vyake, ni huyu ADC! Lakini wale waliokuwa CGP - MSTAAFU na CGF - MSTAAFU walishakuwa na wanaendelea kujijenga KIUCHUMI tangu miaka ya sabini na tano [1975's] hadi leo.
Nyerere uongozi wake uliishia mwaka 1975, baada ya hapo ni jeshi la magereza na zimamoto ndo wanaongoza nchi.. π Mwenyekiti wa ccm taifa anaripot kwa mkuu wa magereza taifa, hata wenyeviti wa mikoa wa ccm huwa wanaripot kwa wakuu wa magereza waliopoo karibu.. π Nchi hii inaendeshwa kijeshi, ndo maana wakati mwingine huwa wanapata wakati mgumu kufanya maamuzi ya kiraia.. πMwalimu alikuwa na falsafa za ujamaa wa vitabuni - wapi na wapi ujamaa Africa ndugu yangu? Hapa penyewe tuna KATIBA as if hatuna - kila kukicha tunakurupuka tu kama Kasongo kwenye mishe zake msituni.
Yaani hata kuchaguana wenyewe kwa ustaarabu hatuwezi, huo ujamaa ndiyo tuuweze.
Kula mbususu then ukalime au ukalale.. πHuu Uzi comment ni za ajabu ajabu hazieleweki
Ilikuwa ni aibu! Kipindi kile BARAZA LA MAWAZIRI lote lilikuwa linaishi OYSTERBAY, DAR ES SALAAM. Sasa kuhama na kuachia nyumba kwa WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] ilikuwa siyo jambo dogo.. πKuna wake za viongozi walikuwa wanazitolea macho hzo nyumba... π Hadi wakaunda umoja wa wake za viongozi wa kitaifa, lakini walikula nguzo.. π
Ndiyo! TANZANIA ina mitihani mitano [5] kwa idadi yake! Mitihani hiyo ni MTIHANI WA DARASA LA NNE [FTNA], DARASA LA SABA [PSLE], KIDATO CHA PILI [FTNA], KIDATO CHA NNE [CSEE] pamoja na KIDATO CHA SITA [ACSEE].Kuna wanafunzi walipata hizo nyumba wakiwa na wazazi wao wanaishi katika nyumba za kupangisha.. π Had watoto wa darasa la nne walipata hzo nyumba