Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Wakina Nyamka ndo wakaingiza wakosovo katika uchaguzi mkuu ili watambulike kama jumuiya ya ulaya.. 🀣
Wale watu walikuwa wanaiharibu TANZANIA! TANZANIA ilikuwa ni nchi ya mfano, lakini baada ya mwaka 1975 kila kitu kilianza kwenda ndivyo sivyo..

Tunaambiwa hata kwa upande wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ilikuwa ni lazima kusoma na kujifunza sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS]. Lakini baada ya mwaka 1975, waliondoa hiyo programu.

​

Zamani ilikuwa ukitoka depo la kijeshi, askari alikuwa anatafuta mwenza wa kuoa au kuolewa. Lakini sasa hivi askari akitoka depo la kijeshi, anawaza kuzaa tu! Yale mafundisho yaliyokuwepo zamani, hayapo tena.

Zamani ilikuwa ni marufuku kwa raia aliyeasiliwa katika ukuaji na malezi yake kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.


​

Hata askari ilikuwa haruhusiwi kuasili mtoto bila ya kufuata utaratibu, akienda kinyume na utaratibu, anafukuzwa kazi.

Walikuwa wanafanya hivyo ili kupunguza au kuondoa kabisa uwezekano wa kupatikana kwa mapandikizi au mamluki ndani ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.


​

Lakini baada ya TANZANIA kufanyika kuwa SOBER HOUSE kwa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA walipuuza baadhi ya sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].
Kumbe waliokuwa nyuma ni wao na uchaguzi mkuu wa 2005 walijaribu kuwaingiza na wakaonekana ndo waliompitisha JK, kumbe ni wao wakina Nyamka Generation.. πŸ™

​
Walijaribu na walifanikiwa katika UCHAGUZI MKUU WA 2005, lakini haikuweza kufanikiwa tena katika chaguzi zilizofata! WATANZANIA ni hawa [ MAKABILA YA TANZANIA MAKABILA YA TANZANIA] na ndiyo wanaotoa maamuzi ya kitaifa.
 

​
Hilo wameliona! Ndiyo maana sasa hivi wanajitahidi sana kuandaa viongozi wa MAJESHI YA MAGEREZA [CGP] na ZIMAMOTO [CGF] kupitia uraiani na wanajiunga na majeshi wakiwa na miaka kuanzia thelathini na tano [35yrs].

​

Yaani wanakuwa wametumia nusu ya maisha yao uraiani, halafu wanajiunga na majeshi kuanzia cheo cha SUPERINTENDENT kupitia JESHI LA POLISI ambao wote wanakuwa ni WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's].

Kwahiyo ile hali ya kuongoza nchi kijeshi inakuwa inapungua kwa namna ya kupata viongozi wa kijeshi ambao ni WATENDAJI na siyo WAPIGANAJI.
 
Hata kuzaa na kutelekeza watoto hairuhusiw, zamani ilikuwa ni lazima kuhudumia.. πŸ™ Ukitelekeza watoto au mzazi mwenzio kazi huna.. πŸ˜‚ Saivi vijana wanajilia mbususu, hata matunzo hamna.. πŸ™
 
Wale watu walitaka kufanya Tanzania kuwa kama Kongo. Kule shinyanga kuna vijiji kama Bunambiu walipewa wakongo, halafu jamaa wakatembea na hela.. πŸ˜‚ Wale wakuu wa magereza na zimamoto wana hela hadi leo na wengne wana maisha ya kawaida.. πŸ™
 
Hata kuzaa na kutelekeza watoto hairuhusiw, zamani ilikuwa ni lazima kuhudumia.. πŸ™ Ukitelekeza watoto au mzazi mwenzio kazi huna.. πŸ˜‚ Saivi vijana wanajilia mbususu, hata matunzo hamna.. πŸ™

​
Wengine wanahudumia kama kawaida, tena yale mahitaji yote muhimu.. πŸ™πŸ½

​
 
Hata kuzaa na kutelekeza watoto hairuhusiw, zamani ilikuwa ni lazima kuhudumia.. πŸ™ Ukitelekeza watoto au mzazi mwenzio kazi huna.. πŸ˜‚ Saivi vijana wanajilia mbususu, hata matunzo hamna.. πŸ™
Akili zikizidi sana inakuwa ni tatizo! Wale watu ilifika mahala walisambaza WATANZANIA katika kila taifa kwa lengo la kufahamu lugha zote zinazotambulika duniani.

Kuna WATANZANIA waliopelekwa kwenda kuishi katika taifa la SINGAPORE..

​

Baadae walijikuta wameondoa WATANZANIA wengi na idadi yao ilivuka ile idadi inayotakiwa na JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [UN CHARTER] na wataalamu wa lugha walipatikana ambao walikuwa hawana kazi [useless people].
Sasa hivi teknolojia imekuwa na ujuzi umeongezeka wa matumizi ya lugha.

​

Mtumiaji wa lugha anaweza kuwepo TANZANIA na akatumia CHATGPT au GOOGLE TRANSLATE au GERMINI kutafasiri lugha yoyote inayotumika duniani.

​

Kwahiyo wale WATANZANIA waliopelekwa kwenda kuishi sehemu mbalimbali duniani kwa malengo ya kupata wataalamu wa lugha, wanaonekana hawana kazi na gharama ya kuwahudumia huko walipo inaendelea kuwa kubwa.

​

Kwa sababu idadi ya watu wanaoishi nje ya nchi inayotakiwa kuhudumiwa na serikali huwa ni milioni tatu [3,000,000] tu, ikizidi hapo inakuwa ni matumizi mabaya ya fedha za umma!
 
Jamaa walikuwa wanakula hela za WAKONGOMANI, hata MISTER CLEAN alivyoingia madarakani na yeye alifanya hivyo!

Tunaambiwa kuna shule za sekondari walipewa WAKONGOMANI, hata zawadi za wanafunzi bora wa shule zilikuwa zinaenda kwa WAKONGO waliokuwa wakisoma katika hizo shule.

​

Mojawapo wa shule ilikuwa ni hii! Hata idadi kubwa ya watumishi wa umma walikuwa ni WAKONGOMANI.

Lakini tunaambiwa walipewa WAKONGO tangu kipindi cha MZEE RUKSA na viongozi waliopita walipewa RUSHWA KUBWA!

​

Kwahiyo TANZANIA ilikuwa inaenda kwa namna hiyo na hatua za haraka zisipochukuliwa italeta shida kwa siku za mbeleni.
 
Hiyo shule ingekuwa boarding kungekuwepo na migomo hapo.. πŸ™ Hata kibiti ilikuwa chini ya wakongo hadi pale ilipokuja kufungwa, baadae waliondolewa wakongo wote ndo maana saivi imetulia.. πŸ˜‚ Msalato ndo wakongo wanaosoma hapo, hata matokeo yao sio mazuri.. πŸ™ Ni hela tu zinatembea..
 
Wenzenu walikuwa wanataka kupata wakalimani wa lugha zote za kimataifa na lugha za kienyej hadi kilingara, kizulu, kidinka walipeleka walipeleka watu huko... πŸ˜‚ Yaani walikuwa wajinga hadi walipeleka watu kwenda kujifunza kihabeshi, kipokoti na lugha nyingine nyingi.. πŸ™
 

​
TANZANIA ndiyo ipo hivyo! Kuna shule nyingine nyingi ambazo walipewa WAKONGOMANI, shule kama BWIRU BOYS na BWIRU GIRLS zote zimeharibika kutokana na sababu hizo.

Lakini kuna shule nyingine nzuri ambazo hazijawahi kuathirika na kazia hiyo! Kuna shule kama LOLEZA, MACHAME GIRLS, IRINGA GIRLS, WERUWERU, MAWENZI na ASHIRA ni shule ambazo zinafanya vizuri kitaifa.
 
Hawakuwa wajinga, bali walikuwa wanapiga hela. Lugha zote za asili zinazopatikana AFRIKA YA MAGHARIBI, AFRIKA YA KATI na KUSINI walipeleka watu huko!

​

Unajua ukishakuwa MKUU WA JESHI, kizazi kinakuwa kinatambulika hadi cha tano [5].

​

Hivyo inakuwa wamebakiza kusomesha na kutafuta hela! Sasa wenzenu walikuwa wanatafuta hela kwa namna hiyo na walifanikiwa kuzipata.


​
Kwa upande wa MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO ukishafanikiwa kufika cheo cha ACP ~ kizazi cha askari kinakuwa kinatambulika jeshini. Hivyo wanakuwa wamebakiza kusomesha na kutafuta pesa.

​

Vizazi vyao vinakuwa vinatambulika katika MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO, sema huwa wanapitia msoto kama watu wengine ndiyo maana wenzenu huwa wanasomesha kwa bidii na watoto wao wasipofanikiwa kuingia KUMI [10] BORA huwa wanapelekwa nje kwenda kujiunga na VILABU VYA MICHEZO.


​
Kwahiyo wenzenu ni "ROYAL FAMILIES" kuliko hata wanasiasa, maana wanakuwa ni miongoni mwa WANAFUNZI KUMI [10] BORA halafu pia wanakuwa ni askari wenye VYEO VIKUBWA VYA KIJESHI na hela wanakuwa nazo.
 
Huyo jamaa alikuwa kazini hapo, ni pongo na aliongoza moko kwa masomo ya biashara.. πŸ™ Zile hela walizokuwa wamepewa ndo zimejenga ngokolo secondary. Huko ndo kuna watanzania na uhuru kuna wakongo waliopanga hapo na walezi shule watabid kuwa wakongo na wakosovo.. πŸ˜‚
 
Kuna kibosho girls na tinde girls wanauwasha moto vibaya mno.. πŸ™
 
Wale wakuu wa magereza na zimamoto walikuwa wajanja na wengine wajinga, walipiga hela mno na ndo walitaka kufanya Tanzania kuwa kongo... πŸ™ Wameshindwa vibaya
 
Huyo jamaa alikuwa kazini hapo, ni pongo na aliongoza moko kwa masomo ya biashara.. πŸ™

​
Picha zao tunazo! Wengi walifanya vizuri kitaifa na sijui wengine wapo wapi sasa hivi.
Zile hela walizokuwa wamepewa ndo zimejenga ngokolo secondary. Huko ndo kuna watanzania na uhuru kuna wakongo waliopanga hapo na walezi shule watabid kuwa wakongo na wakosovo.. πŸ˜‚
Wenzenu walikuwa wanaangalia hela, mambo mengine yatajipa mbele ya safari. Lakini walikuwa wanaangamiza taifa kwa tamaa ya fedha, maana hauwezi kufanya hivyo kwa taifa lako.
 
Wale wakuu wa magereza na zimamoto walikuwa wajanja na wengine wajinga, walipiga hela mno na ndo walitaka kufanya Tanzania kuwa kongo... πŸ™

​
Baadhi ya kizazi cha wakina MWANGUKU wengi wapo TANZANIA na wanapatikana katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Wameshindwa vibaya
Lakini wale wengine waliokuwa viongozi wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO waliondoa familia zao..


​
Wale wengine waliondoa vizazi vyao na wengi wanaishi nje ya nchi, TANZANIA huwa wanakuja kwa kuchungulia halafu wanarudi ng'ambo.


​
Sijui ni nini kilitokea? Lakini wakifanikiwa kuingia KUMI [10] BORA ndiyo wanaonekana kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.


​
Kwahiyo baada ya HAYATI MWALIMU kung'atuka mwaka 1985, aliwaachia mahafali kuoneshana uwezo wa kuongoza.
 
Hilo bwanga, jamaa anajiona ametokelezea kumbe MSHAMBA tu.. πŸ™
 
ACP Enoch yupo Tabora.. πŸ˜‚ Ukiwa magereza jamaa anaonekana kama alivyo Makongoro ndani ya ccm.. πŸ™ Wale wengine walikuwa wanatumia vibaya vyeo vyao, eti walipeleka watanzania kwenda kujifunza lugha za kienyeji huko afrika ya magharib, kuna watanzania wanaongea kiyoruba na kihausa.. πŸ˜‚ Na kuna koo za Kitanzania kabisaa
 

​
Wenzenu walifanikiwa kutafuta pesa kwa ustadi mkubwa na walifanikiwa kuzipata.


​
Sasa hivi ni ROYAL FAMILIES na vizazi vyao vinashiriki michezo mbalimbali katika mataifa ya nje.


​
Wale waliokuwa viongozi wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO walikuwa tayari wameshafanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi.


​
Wengine ndiyo wanajaribu na vizazi vyao vinacheza soka la kulipwa katika klabu ya mpira ya TP MAZEMBE.


​
Yaani kwenye kikosi cha kwanza cha TP MAZEMBE kuna mcheza mpira ambaye ni kizazi cha MKUU WA JESHI kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…