Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Wale viongozi wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO ni miongoni mwa WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's], hivyo wanajua sana na wanaishi kama VIONGOZI WA KITAIFA wa mataifa mengine.ACP Enoch yupo Tabora.. π Ukiwa magereza jamaa anaonekana kama alivyo Makongoro ndani ya ccm.. π Wale wengine walikuwa wanatumia vibaya vyeo vyao, eti walipeleka watanzania kwenda kujifunza lugha za kienyeji huko afrika ya magharib, kuna watanzania wanaongea kiyoruba na kihausa.. π Na kuna koo za Kitanzania kabisaa
Watu walipiga hela sanaaaaa.. π Hivi inakuaje walituletea watu ambao kwao waliuana halafu sisi huku waonekane wanafaa, pumbafu kabisa hao.. πWenzenu walifanikiwa kutafuta pesa kwa ustadi mkubwa na walifanikiwa kuzipata.
Sasa hivi ni ROYAL FAMILIES na vizazi vyao vinashiriki michezo mbalimbali katika mataifa ya nje.
Wale waliokuwa viongozi wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO walikuwa tayari wameshafanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi.
Wengine ndiyo wanajaribu na vizazi vyao vinacheza soka la kulipwa katika klabu ya mpira ya TP MAZEMBE.
Yaani kwenye kikosi cha kwanza cha TP MAZEMBE kuna mcheza mpira ambaye ni kizazi cha MKUU WA JESHI kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
Ni matajiri sana kuliko hata Nyerere. Pia huyo mwingine ni mtoto wa chifu MilamboWale viongozi wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO ni miongoni mwa WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's], hivyo wanajua sana na wanaishi kama VIONGOZI WA KITAIFA wa mataifa mengine.
Hata aliyewahi kuwa RAIS WA KWANZA WA KONGO, JOSEPH KASAVUBU [the late] bado kizazi chake kipo na kinaendelea kufanya vizuri.
Ukiachana na BENINI! Idadi kubwa ya vizazi vyake vinapatikana TANZANIA, tena vipo katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA! Hivyo ni suala la kujipanga tu..
Kwa upande wa MOBUTU SESE SEKO [the late], alikuwa ni mwenyeji wa asili wa KISUMU kutoka katika kijiji cha BONDO.
Hivyo kizazi chake kilipaswa kurudi KENYA ambayo ni sehemu yao ya asili. Lakini walifanikiwa kusambaa katika mataifa mbalimbali ikiwemo GAMBIA na TANZANIA.
Kwahiyo wale waliokuwa viongozi wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO walikuwa tayari wamefanikiwa kufahamu masuala mbalimbali yanayohusu jamii ya viongozi wa kitaifa pamoja na viongozi wa kijeshi. Hivyo walifanikiwa kujijenga vizuri, iwe ni kijeshi na hata kiuchumi.
Sasa hivi ndiyo wenzenu wanaenda hivyo! Hizo habari za kugombania keki ya taifa wanawaachia wale wengine ambao hawajitambui.Ni matajiri sana kuliko hata Nyerere. Pia huyo mwingine ni mtoto wa chifu Milambo
Watu walipiga hela sanaaaaa.. π Hivi inakuaje walituletea watu ambao kwao waliuana halafu sisi huku waonekane wanafaa, pumbafu kabisa hao.. π
Wakina Bob Makani hao! Wengine walikuwa ni walevi sana, vurugu kila cku na nyumbani kesi zilikuwa haziishi aisee.. πSasa hivi ndiyo wenzenu wanaenda hivyo! Hizo habari za kugombania keki ya taifa wanawaachia wale wengine ambao hawajitambui.
Hata katika kile kikosi cha timu ya taifa ya mpira wa miguu ya SENEGAL kilichotwaa ubingwa wa AFRIKA [2026] kuna kizazi cha aliyewahi kuwa MWANASIASA WA UPINZANI nchini TANZANIA.
Tena mzee wao aliwahi kuwa mfanyakazi wa BENKI KUU YA TANZANIA [BOT] na MAKAMU MWENYEKITI wa CHADEMA BARA.
Wakati mwingine huwa anapewa nafasi ya UNAHODHA badala ya SADIO MANE.
Hivyo amefanyika kuwa heshima kwa upande wa familia yake na taifa la SENEGAL kwa ujumla.
Tunaambiwa beki namba tano [5] na beki namba mbili [2] wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya SENEGAL ni ndugu.
Wote ni WATANZANIA kwa asili na wamefanikiwa kuweka historia katika taifa la SENEGAL.
Yaani mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI wanafanya kama ilivyo kwa upande wa AFRIKA YA KASKAZINI kama MISRI, MOROKO, TUNISIA pamoja na ALGERIA.
Kwani na wao wanajitahidi kutafuta na kuchukua wanamichezo kutoka katika familia za kiafrika zenye ushawishi wa kisiasa, kijeshi na kibiashara ili kupata uungwaji mkono katika masuala yao ya kitaifa.
Kwahiyo wenzenu waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, ndiyo wanaishi hivyo hata mtindo wa maisha umebadilika.
Hiyo shughuli ilishafeli kabla hata steringi hajafa.... π Lakini hiyo ni siasa iliyoletwa na jeshi la magereza, sababu uongozi wa kiraia hauwezi ukafanya hivyoWale watu walikuwa ni WASHENZI sana, kwa sababu hauwezi kufanya hivyo kwa taifa lako! Hao ndiyo walioleta ACADEMIC GENOCIDE na wanataka, kwa sababu bado haijaisha kufanya TANZANIA kuwa kama KONGO-KINSHASA.
Wanaocheza mpira huko duniani ni wale waliotoka familia bora! Ni watu wanaojiweza, hata ile faini aliyotozwa kocha mkuu wa senegal watakaolipa ni wachezaji na vishua wa senegal.. π Hao wakina Mendy cjui Mende ni matajiri wa kufa mtu.. πSie wakina kajamba nani tuendelee kushabikia Yanga na Simba.. πSasa hivi ndiyo wenzenu wanaenda hivyo! Hizo habari za kugombania keki ya taifa wanawaachia wale wengine ambao hawajitambui.
Hata katika kile kikosi cha timu ya taifa ya mpira wa miguu ya SENEGAL kilichotwaa ubingwa wa AFRIKA [2026] kuna kizazi cha aliyewahi kuwa MWANASIASA WA UPINZANI nchini TANZANIA.
Tena mzee wao aliwahi kuwa mfanyakazi wa BENKI KUU YA TANZANIA [BOT] na MAKAMU MWENYEKITI wa CHADEMA BARA.
Wakati mwingine huwa anapewa nafasi ya UNAHODHA badala ya SADIO MANE.
Hivyo amefanyika kuwa heshima kwa upande wa familia yake na taifa la SENEGAL kwa ujumla.
Tunaambiwa beki namba tano [5] na beki namba mbili [2] wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya SENEGAL ni ndugu.
Wote ni WATANZANIA kwa asili na wamefanikiwa kuweka historia katika taifa la SENEGAL.
Yaani mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI wanafanya kama ilivyo kwa upande wa AFRIKA YA KASKAZINI kama MISRI, MOROKO, TUNISIA pamoja na ALGERIA.
Kwani na wao wanajitahidi kutafuta na kuchukua wanamichezo kutoka katika familia za kiafrika zenye ushawishi wa kisiasa, kijeshi na kibiashara ili kupata uungwaji mkono katika masuala yao ya kitaifa.
Kwahiyo wenzenu waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, ndiyo wanaishi hivyo hata mtindo wa maisha umebadilika.
Sasa hivi hizo nyumba zina thamani ya USD20,000,000 na kupangisha ni USD8,000 kwa mwezi.Saivi ukiwa Oysterbay idadi kubwa ya nyumba zinamilikiwa na viongoz wa kitaifa pamoja na matio.. π
Kambona alikuwa rafiki sana wa mzee miaka fulani nyuma tulidhuru kaburi lake na mmj wa mwanafamilia yake hapo kinondoni alipozikwaNeema Kambona alikuwapo mjini.
Nyumba ya Kambona ipo pale pale Msasani anapokaa Nyerere barabarani.
Walikuwa majirani.
TANZANIA ina mambo mengi sana, wakati mwingine ni mazito hata kuyabeba.. πKambona alikuwa rafiki sana wa mzee miaka fulani nyuma tulidhuru kaburi lake na mmj wa mwanafamilia yake hapo kinondoni alipozikwa
Ngj niishie hapa
Imebid niingie maktaba zangu niweke kaburi lake alipozikwa kinondoni
Ova
Ova
Pole sana mwana. Mzee inawezekama alipiga naye ma story ya ndani.Kambona alikuwa rafiki sana wa mzee miaka fulani nyuma tulidhuru kaburi lake na mmj wa mwanafamilia yake hapo kinondoni alipozikwa
Ngj niishie hapa
Imebid niingie maktaba zangu niweke kaburi lake alipozikwa kinondoni
Ova
Ova
Sana mzee yupo na ana mastori mengi sana,age imeenda lkn memory yk iko vzrPole sana mwana. Mzee inawezekama alipiga naye ma story ya ndani.
Bongo mpaka leo hakuna biography comprehensive ya Kambona.
Mwingine Mapalala nilikuwa namuona sana kike kipande vha kitaa cahako anatembea. Mpaka leo story yake haijaandikwa.
Mimi nimekutajia kwa sababu najua kiwanja chako chote kile lazima utakuwa na mafaili tu ππSana mzee yupo na ana mastori mengi sana,age imeenda lkn memory yk iko vzr
Mapalala mwanae yule B mwanangu sana miaka ya 90 ile ukienda kwao bonge la eneo kama shamba,sema mzee mapalal naye alikuw mkax
Watoto wakumshauri hki alikuwa htk kusikia ndomana alingia mkenge na yule rafk yk wakili maarufu(rip)mpk wakj kupoteza eneo lao pale ursino
Namkumbk mapalala sana
Ova
Hizo shule zinafahamika kwa shughuli zinazofanya, lakini kuna shule nyingine zimeharibika kwa makusudi! Pengine tunaweza kusema ni kutokana na tamaa ya fedha, hadi ikapelekea baadhi ya shule kukabidhiwa kwa WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS].Kuna kibosho girls na tinde girls wanauwasha moto vibaya mno.. π
Pia huwa kuna mchakato maalum wa kufanya SHULE YA SEKONDARI kuwa ni SHULE YA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS].Kuna kibosho girls na tinde girls wanauwasha moto vibaya mno.. π
Mambo mengi yule mzee alijitakia mwenyeweMimi nimekutajia kwa sababu najua kiwanja chako chote kile lazima utakuwa na mafaili tu ππ
Kuna siku mid 1990s huko nilimuona Mzee Mapalala anatembea kipande cha hapa Morocco Gogo Hotel upande wa Obay Police, Mzee inaonekana alikuwa na mawazo saana.
Kapigwa tikitaka CUF wakamtoa kama si muanzilishi vile.
Tunapigw baridi tu sahvMimi nimekutajia kwa sababu najua kiwanja chako chote kile lazima utakuwa na mafaili tu ππ
Kuna siku mid 1990s huko nilimuona Mzee Mapalala anatembea kipande cha hapa Morocco Gogo Hotel upande wa Obay Police, Mzee inaonekana alikuwa na mawazo saana.
Kapigwa tikitaka CUF wakamtoa kama si muanzilishi vile.
Kitu kimeanguka kimegoma kuyayuka zaidi ya wiki sasa.Tunapigw baridi tu sahv
Ova
Wakina Bob Nyanga Makan waliona hayo, ndo maana waliamua kujichenga mapema.. π Saivi Mbowe mguu mmoja nje na ndani na watoto walishatangulia chauma.. πMimi nimekutajia kwa sababu najua kiwanja chako chote kile lazima utakuwa na mafaili tu ππ