Yule mzee alijitakia mwenyewe.. π Wakina Lipumba na Makani walihamisha hela zao nyingi kwenda nje ya nchi, tanzania wamebakiza majengo tu! Tangu 2005 walihamisha hela zao na kuhamia Marekani.. πMambo mengi yule mzee alijitakia mwenyewe
Laiti angesikiliza ushauri wa
Mtoto wake kumshirikisha
Asingepapoteza pale!
Ila ngoja tuishie hapa
Tusimfungulie sana ma file
Ova
Hata kibaha walifanya hivyo hivyo.. π Walikuwa wanachukua wale wanafunzi waliongoza mikoani kwa upande wa darasa la saba na kwenye miaka ya alfu mbili ilitangazwa kuwa ni shule ya VIPAJI baada kutoa matio mara tatu mfululizo..lakini zamani kulikuwa kuna MZUMBE, ILBORU na TABORA BOYS, saivi ndo zimeongezeka hizo shule nyinginePia huwa kuna mchakato maalum wa kufanya SHULE YA SEKONDARI kuwa ni SHULE YA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS].
Mwaka 2010, ule ulimwengu wa kitaaluma ulishuhudia SHULE YA MOSHI SEKONDARI ikitangazwa kuwa ni miongoni mwa SHULE YA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOL] baada ya kufanikiwa kuongoza na kutoa MWANAFUNZI BORA [TO's] kwa mara tatu mtawaliwo kuanzia mwaka 2008, 2009 na 2010 kwa upande wa KIDATO CHA SITA.
Kwahiyo SEKTA YA ELIMU ndiyo huwa ipo hivyo! Pia kuna shule nyingine ambazo zilijaribu ule mchakato wa kuwa miongoni mwa SHULE ZA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS] na shule mojawapo ilikuwa ni IYUNGA TECHNICAL SCHOOL inayopatikana MBEYA.
IYUNGA TECHNICAL SCHOOL kwa mwaka 2006 ilitoa DIVISION ONE [96]! Mwaka wa 2007 ilitoa DIVISION ONE [98] na mwaka wa 2008 ilitakiwa kutoa DIVISION ONE [100] kwa upande wa KIDATO CHA NNE, ili itangazwe kuwa miongoni mwa SHULE ZA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS], lakini hawakufikia malengo na kushindwa kuwa miongoni mwa SHULE ZA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS].
Zamani haya masuala yanayohusu ELIMU YA MSINGI pamoja na ELIMU YA SEKONDARI walikuwa wanatangaza kwenye vituo mbalimbali vya habari kama magazeti, radio na televisheni.
Lakini baadae walisitisha, hivyo idadi kubwa ya wananchi wakawa hawana taarifa za uhakika kwa kile kinachoendelea katika SEKTA YA ELIMU na hayo ndiyo madhara ya kuruhusu jamii ya kitanzania kuwa HOSTILE SOCIETY.
Wakina Bob Nyanga Makan waliona hayo, ndo maana waliamua kujichenga mapema.. π Saivi Mbowe mguu mmoja nje na ndani na watoto walishatangulia chauma.. π
Mangi Meli alikuwa anakusanya kodi ya meza tangu enzi ya ukolon ndo maana wana hela hadi leo.. π Hata Mangi Sina nayy cjui walipotelea wapi, lakini walihama pale Moshi na waliobaki hadi leo ni wakina Chif MarealleHata MANGI MELI aliamua kujichenga tangu siku nyingi na tunaambiwa ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA ANGOLA inayoitwa CLUBE DE AGOSTO.
Hata wanamichezo wengi wa timu ya CLUBE DE AGOSTO ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA KILIMANJARO.
Tunaambiwa wamejitahidi kuwekeza mitaji mikubwa ya kibiashara nchini ANGOLA na pale OLD MOSHI waliondoka wote na baadae watarudi wajukuu na vitukuu.
Kwahiyo wale WATANZANIA waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, ndiyo waliamua kuishi kwa namna hiyo na kuishi sehemu moja bila ya kuhama hama itawia vigumu kufikia malengo.
Hata kibaha walifanya hivyo hivyo.. π Walikuwa wanachukua wale wanafunzi waliongoza mikoani kwa upande wa darasa la saba na kwenye miaka ya alfu mbili ilitangazwa kuwa ni shule ya VIPAJI baada kutoa matio mara tatu mfululizo..lakini zamani kulikuwa kuna MZUMBE, ILBORU na TABORA BOYS, saivi ndo zimeongezeka hizo shule nyingine
Pia huwa kuna kundi lingine ambalo huwa ni lazima wahusika kuwa na vyeo vya kijeshi kuanzia cheo LUTENI JENERALI hadi JENERALI katika JESHI LA ULINZI.Hata kibaha walifanya hivyo hivyo.. π Walikuwa wanachukua wale wanafunzi waliongoza mikoani kwa upande wa darasa la saba na kwenye miaka ya alfu mbili ilitangazwa kuwa ni shule ya VIPAJI baada kutoa matio mara tatu mfululizo..lakini zamani kulikuwa kuna MZUMBE, ILBORU na TABORA BOYS, saivi ndo zimeongezeka hizo shule nyingine
Necta kuna mambo pale, hata To huwa anajulikana atatoka shule gan kabla ya miezi mitano ya kufanyika mtihani.. π Huwa kuna wataalam wa kufanya utabiri
Ndiyo WIZARA YA ELIMU ilivyo! Mambo yapo mengi sana, lakini wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO BORA [TOP FIVE] huwa ni lazima kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Pia huwa siyo ruhusa kujihusisha na SIASA, wala kuajiriwa na UTUMISHI WA UMMA! Yaani TANO BORA [TOP FIVE] huwa ipo upande wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA na hao ndiyo huwa ASKARI JESHI ambao wanasifa ya kuwa na cheo cha kuanzia LUTENI JENERALI, JENERALI, BRIGEDIA JENERALI hadi CDF.
Kwahiyo ukiangalia matokeo ya mtihani wa taifa wa DARASA LA NNE [FTNA], 2000 ~ mwanafunzi aliyeshika nafasi ya tano [5] kitaifa ndiyo aliyekuwa na cheo cha urithi cha UWAZIRI UKUU na nafasi yake ilikoma baada ya kufanikiwa kuingia TANO BORA [TOP FIVE], 2000 katika mtihani wa taifa wa DARASA LA NNE.
Hivyo nafasi ya cheo cha urithi cha UWAZIRI UKUU inaendelea kwa kizazi kinachofuata kwa kuzingatia sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kupitia SHIRIKA LA ELIMU LA TAIFA [UNESCO].
Kipindi town inawika.. Utackia wakina Alfayo Harun, Sharifa na Irene Calist wanakimbiza tatu bora hawakosekani.. π.

Saivi mnasema kweli, ingekuwa familia zenye uwezo ungekuta Butelezi ameanza kuzaa tangu 2003.. π

Ukaja mtihani wa darasa la 4, akaongoza mwingine ambae hata kumi bora haingiagi... π
Kambin tunashangaa kuona town imeingiza mwanafunzi bora kitaifa.. Maafande wakasema watoto wa mjini watakuwa wamepewa majibu na tusubiri moko.. π
Mara paap kitu cha moko kata jamaa kaongoza.. π Ikabid wakuu waanzishe kampeni ya wanafunzi kwenda kusoma kwao, wakakuta Bute anafundishwa nyumbani kwao.. π
Tukasema ngoja tusubiri moko wilaya, imekuja jamaa ameongoza tena had utaifa ni hvyo hvyo..
Tangu cku hiyo Maafande hawaamini tena matokeo ya darasani na wakina Alfayo, Irene, Castro Chuwa na Sharifa tuliwaita jeshinmkndu.. π Halaf baadae watarudisha nguo mapema tu..π Allah Akbaruh
Wale walikuwa ni wakongo na wakosovo, hata Walimu wengi wa Town walikuwa ni wakongo. Ule mkoa wa shinyanga walipewa wakongo na makubaliano yapo na wakongo wakishika vitengo huwa wanapitisha watu wao tu, hata darasani wapo hivyo hivyo... π
Kipindi hicho old moshi ilikuwa inaongoza moko hata ilboru, gallanos, tanga tech, kisimiri na karatu secondary ilikuwa zinasubiri.. π Tunashangaa kijana kutoka shy anaongoza kanda ya kaskazin.. π Kijana alilewa sifa vibaya mnoTena huwa ikifika mwezi wa nane [8] baada ya matokeo ya MOCK, huwa wanajua hadi majina ya WANAFUNZI BORA [TO's] wa DARASA LA NNE, DARASA LA SABA, KIDATO CHA PILI, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA.
Baada ya matokeo ya MOKO KANDA YA KASKAZINI [2009], wenzenu walifanikiwa kujua MWANAFUNZI BORA [TO] wa kidato cha sita [2010] na walikuwa wanasubiri kutangaza kwenye vyombo vya habari tu.
Hata hali ya hewa huwa inabadilika, ile "ATMOSPHERIC PRESSURE" inakuwa ya tofauti na iliyozoeleka pale shuleni.
Wenzenu walikuwa wanatengeneza pesa kwa namna hiyo, sababu WAKONGO na WAKOSOVO huwa wanalipwa mishahara na SERIKALI zao na mishahara huwa inaingia kwa mafungu ya USD100 tu.Wale walikuwa ni wakongo na wakosovo, hata Walimu wengi wa Town walikuwa ni wakongo. Ule mkoa wa shinyanga walipewa wakongo na makubaliano yapo na wakongo wakishika vitengo huwa wanapitisha watu wao tu, hata darasani wapo hivyo hivyo... π
Watu walikuwa wanasomesha na ushindani ulikuwa mkubwa! Hata WHITEY HAIR ilikuwa ni hivyo hivyo na yeye alifanikiwa kuasili watoto wenye asili ya KONGO na alifanikiwa kuchukua hela nyingi sana kutoka kwao.Kipindi hicho old moshi ilikuwa inaongoza moko hata ilboru, gallanos, tanga tech, kisimiri na karatu secondary ilikuwa zinasubiri.. π Tunashangaa kijana kutoka shy anaongoza kanda ya kaskazin.. π Kijana alilewa sifa vibaya mno
Hao watu ni wajinga sna, bora warudi kwao.. πWenzenu walikuwa wanatengeneza pesa kwa namna hiyo, sababu WAKONGO na WAKOSOVO huwa wanalipwa mishahara na SERIKALI zao na mishahara huwa inaingia kwa mafungu ya USD100 tu.
Kwahiyo ukiwa na idadi kubwa ya watumishi ambao ni WAKOSOVO na WAKONGO, ina maana pesa za kigeni zinakuwa nyingi na chenji zinazobaki zilikuwa zinaenda kwa wakuu.
Kulikuwa kuna mgao wa pesa za bure! Wale waliokuwa WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] wa MAGEREZA na ZIMAMOTO walitengeneza mifereji ya kuchota pesa za bure kutoka kwa WAKONGO na WAKOSOVO.
Magufuli alikuwa ni mtu wa kijijin.. πWenzie walitengeneza hela nyingi kutoka kwa wakongo..πWatu walikuwa wanasomesha na ushindani ulikuwa mkubwa! Hata WHITEY HAIR ilikuwa ni hivyo hivyo na yeye alifanikiwa kuasili watoto wenye asili ya KONGO na alifanikiwa kuchukua hela nyingi sana kutoka kwao.
Lakini tunaambiwa watoto wake wa kuwazaa wapo TABORA tangu miaka ya tisini [1990's] na wengi ni SE FAIRE VALOIR! Hao tunaowaona na kuwasikia kwenye SIASA ZA TANZANIA, ni watoto ambao aliwaasili kutoka kwa WAKONGO.
VIONGOZI WA KITAIFA wengi wana watoto nje ya nchi, hasa wale ambao hawakufanikiwa kuingia KUMI [10] BORA kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA.
MZEE RUKSA aliwahi kuwa na kijana aliyekuwa anaitwa AL HASSAN [ILLIASU SHILLA] katika timu ya taifa ya mpira wa miguu ya GHANA na alikuwa akicheza namba saba [7] katika KOMBE LA DUNIA [2006].
Kwahiyo wenzenu waliamua kufuata mfumo na mtindo wa maisha ya aina hiyo tangu siku nyingi.
Hii nchi ipo cku watalushiana ngumi.. π Watoto wao wanacheza nje ya nchi lakin Tanzania viwanja ni vibovu.. πWatu walikuwa wanasomesha na ushindani ulikuwa mkubwa! Hata WHITEY HAIR ilikuwa ni hivyo hivyo na yeye alifanikiwa kuasili watoto wenye asili ya KONGO na alifanikiwa kuchukua hela nyingi sana kutoka kwao.
Lakini tunaambiwa watoto wake wa kuwazaa wapo TABORA tangu miaka ya tisini [1990's] na wengi ni SE FAIRE VALOIR! Hao tunaowaona na kuwasikia kwenye SIASA ZA TANZANIA, ni watoto ambao aliwaasili kutoka kwa WAKONGO.
VIONGOZI WA KITAIFA wengi wana watoto nje ya nchi, hasa wale ambao hawakufanikiwa kuingia KUMI [10] BORA kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA.
MZEE RUKSA aliwahi kuwa na kijana aliyekuwa anaitwa AL HASSAN [ILLIASU SHILLA] katika timu ya taifa ya mpira wa miguu ya GHANA na alikuwa akicheza namba saba [7] katika KOMBE LA DUNIA [2006].
Kwahiyo wenzenu waliamua kufuata mfumo na mtindo wa maisha ya aina hiyo tangu siku nyingi.
Kipindi hicho old moshi ilikuwa inaongoza moko hata ilboru, gallanos, tanga tech, kisimiri na karatu secondary ilikuwa zinasubiri.. π Tunashangaa kijana kutoka shy anaongoza kanda ya kaskazin.. π Kijana alilewa sifa vibaya mno
Hii nchi ipo cku watalushiana ngumi.. π Watoto wao wanacheza nje ya nchi lakin Tanzania viwanja ni vibovu.. π