Ni michezo ambayo ili kupata hela inabidi uweke hela na mwisho wa siku inalipa sanaaaaa, huku taifa likibaki na umasikini mkubwa.. π Ndo mataifa ya afrika magharib na kaskazin yalivyo, watu wanapiga hela kwa namna hiyo.. πTunaambiwa baada ya kushindwa mahakamani, waliamua kuharibu nchi na kuondoka!
Yaani ni michezo inayofanyika katika mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI pamoja na AFRIKA YA KASKAZINI.
Hata BURKINA FASO pamoja na SIERRA LEONE, ni mataifa ambayo yalijengwa na WAKONGOMANI lakini baadae walikuja kupinduliwa na kupoteza kila kitu.
Kwahiyo sasa hivi LIBYA inakaliwa na WAJERUMANI, lakini baadae WAARABU watarudi katika taifa lao.
Ni michezo ambayo ili kupata hela inabidi uweke hela na mwisho wa siku inalipa sanaaaaa, huku taifa likibaki na umasikini mkubwa.. π Ndo mataifa ya afrika magharib na kaskazin yalivyo, watu wanapiga hela kwa namna hiyo.. π
View attachment 3549023..had saivi to wa form cix ameshajulikana na wastani atakaopata, 93!!! Old Moshi ni gharama kubwa kuingia pale, saivi tumeanzisha na Old Moshi ya Wasichana, Old Moshi Girls π π
View attachment 3549023..had saivi to wa form cix ameshajulikana na wastani atakaopata, 93!!! Old Moshi ni gharama kubwa kuingia pale, saivi tumeanzisha na Old Moshi ya Wasichana, Old Moshi Girls π π
Una sifa utafikiri muhaya.. πItakuwa ni vizuri, maana kuongoza taifa siyo jambo dogo, ni jambo la kupongeza!
.. π
Elimu ya Tanzania hata Kenya na Uganda zilikuwa zinasubiri, lakini baada ya kupatikana wakina Nyamka na mwenzie wa Zimamoto ndo wakaanza makologesheni hadi leo Tanzania inashika nafasi ya 3..πUnajua elimu ya kidato cha tano [ADVANCED LEVEL] kuna michepuo sitini na tano [65] iliyosajiliwa na BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA].
Bila ya kusahau masomo ya BASIC APPLIED MATHEMATICS [BAM] pamoja na DEVELOPMENT STUDIES [DS] kama masomo ya ziada, lakini yanahesabika katika kutafuta wastani wa alama za ufaulu katika MTIHANI WA DARASANI, MTIHANI WA MOKO pamoja na MTIHANI WA TAIFA.
Sasa TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA katika kila mchepuo, unatumika kupata wanafunzi ambao watakuwa na sifa ya UJASUSI wanaotakiwa kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA na huwa ni lazima kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kutokana na ufaulu wa mwanafunzi husika unaotakiwa kuwa na wastani zaidi ya sabini na tano [>75%].
Kwa LUGHA NYEPESI, kwa upande wa MTIHANI WA KIDATO CHA SITA pekee yake, kila mwaka wanapatikana wanafunzi mia tatu ishirini na tano [325] ambao wanakuwa na sifa ya UJASUSI katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Huwa inafanyika hivyo hivyo kwa upande wa MTIHANI WA KIDATO CHA NNE ~ TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA katika kila mchepuo huwa ni lazima kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kutokana na kukidhi ile sifa ya UJAJUSI na kufikisha alama ya wastani zaidi ya sabini na tano [>75%].
Hata MTIHANI WA KIDATO CHA PILI ~ TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA huwa ni lazima kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Hali hii, ipo hivyo hivyo kwa upande wa MTIHANI WA DARASA LA SABA na MTIHANI WA DARASA LA NNE ~ TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA huwa ni lazima kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kutokana na kukidhi ile sifa ya UJAJUSI.
Maana wanasema, sifa kubwa ya UJAJUSI ni kuwa MUWAJIBIKAJI na UWAJIBIKAJI katika malezi na ukujuaji wa raia huwa unapimwa kupitia masomo na ufualu wa mwanafunzi anapokuwa SHULENI.
Kwahiyo elimu ya msingi na elimu ya sekondari kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ilikuwa imesimama vizuri tangu mwanzo, sema baadae kulitokea "MALICIOUS ACTIVITIES" kama kufanya "ACADEMIC GENOCIDE" ambayo kwa miaka michache itakayofuata itaondolewa na hali italejea kama zamani.
Ndiyo huwa wanafundwisha hayo! Huwa kuna "MALICIOUS ACTIVITIES" pamoja na "MALIWARES" kama ilivyo kwa upande wa vifaa vya kieletroniki kama KOMPYUTA na SIMU ZA MKONONI ambavyo kwa pamoja vinadhoofisha utendaji kazi wa vifaa cha kieletroniki na inatakiwa "ANTI VIRUS" ili kuweza kudhibiti.Una sifa utafikiri muhaya.. π
Elimu ya Tanzania hata Kenya na Uganda zilikuwa zinasubiri, lakini baada ya kupatikana wakina Nyamka na mwenzie wa Zimamoto ndo wakaanza makologesheni hadi leo Tanzania inashika nafasi ya 3..π
Watu wanavaa uhusika wa watu wengine ambao siyo wao, hao pia wanahitaji anti-virus.. π Hii nchi walikuwa wanachezea sanaaaaa wajinga wale.. πNdiyo huwa wanafundwisha hayo! Huwa kuna "MALICIOUS ACTIVITIES" pamoja na "MALIWARES" kama ilivyo kwa upande wa vifaa vya kieletroniki kama KOMPYUTA na SIMU ZA MKONONI ambavyo kwa pamoja vinadhoofisha utendaji kazi wa vifaa cha kieletroniki na inatakiwa "ANTI VIRUS" ili kuweza kudhibiti.
Sasa kwa upande wa MENEJIMENTI NA UTAWALA [MANAGEMENT AND ADMINISTRATION], mfano wa "MALICIOUS ACTIVITIES" ni kama ACADEMIC GENOCIDE, MASS GENOCIDE, BUREAUCRACY, CORRUPTION, RELIGIONALISM, TRIBALISM na TERRORISM.
Halafu mfano wa "MALIWARES" ni kama CIVIL WAR VICTIMS [WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE] wanapokaribishwa kuishi katika taifa fulani huwa wanafanyika "MALIWARES" kwa taifa husika.
Kwahiyo "MALICIOUS ACTIVITIES" pamoja na "MALIWARES" zinadhoofisha jitihada za maendeleo katika jamii, kama ilivyo kwa upande wa vifaa vya kieletroniki.
Afriak ya Kusin walikuja Tanzania kujifunza namna ya kuwa na mfumo wa elimu bora, lakini ile hatua ya matio kuzaa watoto arobain waliikataa kwa kuogoppa watakuwa na watoto wengi wa mitaani.. πWao wanasema kila namba katika ile ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA KITAIFA huwa ina maana yake, iwe katika matokeo ya ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA.
Lakini kwa uchache huwa ni hayo, mengine huwa siyo mazuri kujadili kwenye mitandao ya kijamii!
Halafu pia ikitokea mwanafunzi aliyefanikiwa kuongoza mara tatu mfululizo amefariki, BENDERA YA TAIFA huwa inapepea nusu mlingoti kama ilivyo desturi kwa upande viongozi wa kitaifa.
Hii huwa ni sheria ya JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kupitia shirika la elimu duniani, UNESCO!
Hata misukosuko waliondoa kwa matio, saivi Sauzi ni super kwa upande wa elimuWao wanasema kila namba katika ile ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA KITAIFA huwa ina maana yake, iwe katika matokeo ya ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA.
Lakini kwa uchache huwa ni hayo, mengine huwa siyo mazuri kujadili kwenye mitandao ya kijamii!
Halafu pia ikitokea mwanafunzi aliyefanikiwa kuongoza mara tatu mfululizo amefariki, BENDERA YA TAIFA huwa inapepea nusu mlingoti kama ilivyo desturi kwa upande viongozi wa kitaifa.
Hii huwa ni sheria ya JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kupitia shirika la elimu duniani, UNESCO!
Watu wanavaa uhusika wa watu wengine ambao siyo wao, hao pia wanahitaji anti-virus.. π Hii nchi walikuwa wanachezea sanaaaaa wajinga wale.. π
Afriak ya Kusin walikuja Tanzania kujifunza namna ya kuwa na mfumo wa elimu bora, lakini ile hatua ya matio kuzaa watoto arobain waliikataa kwa kuogoppa watakuwa na watoto wengi wa mitaani.. π
Alitaka kukaa kule Osterbay kwenye zile nyumba za mawaziri, wajamaa wakamtoa nduki.. π Wakamwambia wee sio hata mkuu wa Kaya iweje ukae kwenye nyumba za viongozi.. π Saivi mtoto wake wa kiume ni golikipa wa Tanzania PrisonKuvaa uhusika wa mtu mwingine haikatazwi na mara nyingi huwa inatumiwa kutokana na sababu za kiulinzi, lakini ilishatokea BIRTH SURVIVED kwa KHALFAN halafu mhusika akadai posho, marupurupu na hadhi ya URAIS kwa familia yake!
Sijui waliishia wapi, lakini tunaambiwa yule MZEE aliuwasha moto balaa.. π Baadae walimpoza mpoza baadhi ya watoto wake wakajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA na wanacheza mpira pale TANZANIA PRISONS.. ππ½
Elimu ya msingi na elimu ya sekondari ilikuwa ni mfano wa kuigwa kabla ya kuanza kufanya ACADEMIC GENOCIDE.
Siku Tanzania ikishika namba 5 ndo wataelewa kuwa Samaki ni mnyama au mdudu.. πElimu ya msingi na elimu ya sekondari ilikuwa ni mfano wa kuigwa kabla ya kuanza kufanya ACADEMIC GENOCIDE.
Mwanzoni elimu ya TANZANIA ilikuwa nzuri sana, hawa wote ni walifanikiwa kuwa na sifa ya kuwa MAJENERALI WA JESHI tangu wakiwa SHULE YA MSINGI.Siku Tanzania ikishika namba 5 ndo wataelewa kuwa Samaki ni mnyama au mdudu.. π
Ushetani hawajaanza leo
Imagine πAisee yaani alafu kuna kanisa moja eti lina mchakato wa kumtangaza Nyerere mtakatifu
Zamani town ilikuwa inawika sanaaaaa.. π Nakumbuka miaka hiyo kulikuwa kuna wakina Zeana Hemed na Tereza Justo, tangu walipoanza darasa la kwanza had wanamaliza standard seven walikuwa hawajawahi kutoka top ten. Lakini ikija mitihani ya nje wanaongoza wakina Minan.. π Mwenge ilitoa mwanafunzi wa tatu, yule mtoto wa ng'wani na alikuwa na vitabu vyote vya Jipime na Jiandae kwa ajili ya kufanya mtihani wa darasa la saba.. πMwanzoni elimu ya TANZANIA ilikuwa nzuri sana, hawa wote ni walifanikiwa kuwa na sifa ya kuwa MAJENERALI WA JESHI tangu wakiwa SHULE YA MSINGI.
Mmoja alianza kuingia mwaka 2000 katika MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA NNE kwa kushika nafasi ya tatu [3] na mwingine aliingia mwaka 2003 na 2005 katika MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA SABA na KIDATO CHA PILI kwa kushika nafasi ya tano [5].
Zamani ushindani ulikuwa mkubwa! Ukishindwa kujibu swali moja kwenye mtihani, ujue kuna mwanafunzi mwenzio amelijibu na ameshakuacha.. ππ½
Kikubwa ilikuwa ni muhimu kuingia TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA iwe kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA.
Hivyo kuna wanafunzi walikuwa hawaachi kitu na alama walizokuwa wanapata zilikuwa ni kubwa.
TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA huwa hawatoki nje ya nchi, hata kimasomo huwa hawaruhusiwi kwenda kusoma nje ya nchi kutokana na sababu za kiusalama.
Hata huyu mwanafunzi alifanikiwa kushika nafasi ya tano kitaifa kwa upande wa MTIHANI WA KIDATO CHA PILI [2005] na wengine wanakuwa na sifa za URAIS, UMAKAMU URAIS, UWAZIRI UKUU na hata USPIKA WA BUNGE.
Hawa wote ni SE FAIRE VALOIR, wengine walipata sifa ya kuwa JENERALI WA JESHI na wengine walipata sifa ya URAIS kwa kushika nafasi ya tano [5] kitaifa kwa upande wa masomo yaliyosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA katika MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA PILI.
Kwahiyo wanafunzi kuwachanganya au kuwahusisha na "MALICIOUS ACTIVITIES" au "MALIWARES" inakuwa siyo jambo jema na inakuwa ni vyema kuwaepusha ili kuzuia "MENTAL DISTORTION" isiwapate.
Yale matokeo ya form two yalitakiwa kuwa ya tabora boys au mzumbe, lakini tunashangaa kuona uhuru inatoa mwanafunzi wa kwanza, watano na wasaba kitaifa.. π Eeh midomo walifunga washakunaku.. πMwanzoni elimu ya TANZANIA ilikuwa nzuri sana, hawa wote ni walifanikiwa kuwa na sifa ya kuwa MAJENERALI WA JESHI tangu wakiwa SHULE YA MSINGI.