Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana


​
Wenzenu ndiyo huwa wanapitia huko! Baada ya hapo inakuwa ni mteremko, kwa sababu inakuwa ni lazima na siyo hiari kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.


​
Wakuu wote wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA huwa wanatokea shule ya msingi pamoja na shule ya sekondari, pale BALAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA].
 
Afriak ya Kusin walikuja Tanzania kujifunza namna ya kuwa na mfumo wa elimu bora, lakini ile hatua ya matio kuzaa watoto arobain waliikataa kwa kuogoppa watakuwa na watoto wengi wa mitaani.. πŸ™

​
Sasa hivi wenzenu wanajitahidi kuhakikisha kuwa wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA wanaanzia JESHI LA POLISI wote!

Wakishindwa sana, wanaingia MAJESHI YA MAGEREZA, ZIMAMOTO na UHAMIAJI ili wakifikisha miaka arobaini [40], ndiyo wanajiunga katika CHUO CHA NDC kwa kuanzia cheo cha MEJA au LUTENI KANALI.

​

Baadae hao ndiyo wanakuwa ni MAJENERALI WA JESHI LA ULINZI, hata CDF ndiyo atakuwa anapatikana kutoka hapo!

Halafu wale askari wengine walioanzia na kupitia mafunzo ya awali kutoka JESHI LA ULINZI watakuwa wanaishia cheo cha KANALI.


​
Kwahiyo kama mambo yakienda kama yalivyopangwa hadi kufikia 2030, JESHI LA ULINZI litakuwa linaongozwa na askari kutoka MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI, ZIMAMOTO na UHAMIAJI.
 
Hata misukosuko waliondoa kwa matio, saivi Sauzi ni super kwa upande wa elimu
​

Mataifa mengine kama GHANA walifanikiwa kuwa na KAMANDI YA JESHI LA POLISI ndani ya JESHI LA ULINZI.


​
Wao wanaita ni MILITARY POLICE COMMAND [MPC] au MILITARY POLICE BRIGADE [MPB] na inakuwa na kiongozi wa kijeshi ambaye ni JENERALI aliyeanza na kusoma mafunzo ya awali ya JESHI LA POLISI.


​
Tangu wameanzisha hiyo MPC au MPB ni miaka imepita na wanaendelea kufanya vizuri katika masuala yanayohusu ULINZI NA USALAMA.


​
MPC au MPB wanakuwa ni askari jeshi waliopitia mafunzo ya awali ya JESHI LA POLISI.

​

Yaani wanakuwa wanafanya kazi ya JESHI LA POLISI ndani ya JESHI LA ULINZI.

​

Kwahiyo wenzenu pamoja na kufuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ile kikamilifu..


​
Bado wameenda mbali zaidi katika kuboresha majeshi yao.
 
Kajamaa kanajua had kanakera!! Wenzio wanasema mlikuwa mnaficha materials ya kujisomea, ukija kuangalia matokeo unaona Buthelezi anaongoza.... πŸ˜‚
 
Ndo huwa ipo hivyo na cku za mbeleni majeshi yote yataongozwa na matio, had jesh la uhifadhi na wanyamapori
 
Huyo binti ni kizazi cha Kwame Nkurumah, hata Ghana walikuja Tanzania kujifunza namna ya kuendesha mfumo wa elimu kipindi cha Nyerere. Lakin saivi Tanzania wanatafuta nan wa kumpa lawama baada ya mambo kuwa magumu kwa upande wao.. πŸ™
 
Wenzenu walikimbilia kukaguliwa mikund, lakini saivi wote wamerudi majumbani kwao na wengine ni mama lishe.. πŸ˜‚
 
Huyo binti ni kizazi cha Kwame Nkurumah, hata Ghana walikuja Tanzania kujifunza namna ya kuendesha mfumo wa elimu kipindi cha Nyerere. Lakin saivi Tanzania wanatafuta nan wa kumpa lawama baada ya mambo kuwa magumu kwa upande wao.. πŸ™
Ngoja waingie wanaume.. πŸ™πŸ½
 
Ndo huwa ipo hivyo na cku za mbeleni majeshi yote yataongozwa na matio, had jesh la uhifadhi na wanyamapori
​

Wale watu wa mwanzo walikuwa wakosea sana! Kwa sababu hauwezi kuruhusu watu wengine walioshindwa kuishi pamoja kwa kuvumiliana huko makwao kuja kuishi TANZANIA, halafu utegemee matokeo chanya.

Hata MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA yote yakiongozwa na WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's], bila ya kuzingatia athari za kijamii ni kazi bure!

​

Hauwezi ukaandaa WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] katika jamii ambayo imejumuisha "MALICIOUS ACTIVITIES" pamoja na "MALIWARES" ~ hauwezi kupata matokeo yaliyokusudiwa.

​

Kwahiyo ni vyema kuondoa "MALICIOUS ACTIVITIES" pamoja na "MALIWARES" zote ili kupata matokeo mazuri.
 
Wenzenu walikuwa wanaangalia hela tu! Gadafi aliweka hela Tanzania, ndo hzo wanazitolea macho.. πŸ™πŸ½

Lakini wakina sie tunakula hela za wakongo tu, hao wazungu ni maji marefu 🀣
 
Unajua rais wa kwanza ndo huwa mwenye nchi! Rais wa kwanza ndo huwa mwenye matamanio ya kuleta maendeleo ya kweli..

Marais wanaofuata wasipokuwa kama rais wa kwanza ndo unaona nchi inaanza kuporomoka.. πŸ™πŸ½

Kipindi cha Nyerere, Tanzania ilishawah kushika namba tano kiuchumi kwa upande wa afrika.. πŸ˜‚

Baada ya hapo haijawahi kuingia kumi Bora had leo, jesh likiongoza nchi kunakuwa na faida na hasara zake.. πŸ™πŸ½
 
Huyo binti ni kizazi cha Kwame Nkurumah, hata Ghana walikuja Tanzania kujifunza namna ya kuendesha mfumo wa elimu kipindi cha Nyerere. Lakin saivi Tanzania wanatafuta nan wa kumpa lawama baada ya mambo kuwa magumu kwa upande wao.. πŸ™

​
Hiyo huwa wanaita ni "BLAMING GAME" na inafanyika mara nyingi pale mambo yanapokwenda ndivyo sivyo.!

​

Huwa wanatafuta mahala pakujificha au kujisitiri kwa kuona aibu na WAKONGOMANI ndiyo huwa tabia yao, nchi wanaharibu wenyewe halafu wanasingizia WAZUNGU! TANZANIA haiwezi kufika huko..
 
Kajamaa kanajua had kanakera!! Wenzio wanasema mlikuwa mnaficha materials ya kujisomea, ukija kuangalia matokeo unaona Buthelezi anaongoza.... πŸ˜‚
Zamani mtandao ulikuwa una nguvu hadi mashuleni! Sijui sasa hivi hali ikoje, lakini ulikuwa unakuta mwanafunzi anaingia KUMI [10] BORA darasani, lakini hana uwezo unaostahili.


​
Hata nafasi walizokuwa wanachaguliwa kujiunga na KIDATO CHA KWANZA zilikuwa zimejaa upendeleo!


​
Sasa wenzenu waliamua kujichimbia kwa kusoma na walifanikiwa kuingia TANO [5] BORA KITAIFA wote wawili kwa upande wa DARASA LA SABA [2003].


​
Hata mtihani wa taifa wa KIDATO CHA PILI, wenzenu walifanikiwa kuingia TANO [5] BORA KITAIFA [2005] na kuwa na sifa ya kuwa JENERALI WA JESHI LA ULINZI na lazima kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.


​
Hata mtihani wa taifa wa kidato cha nne, wenzenu walifanikiwa kuingia TANO [5] BORA KITAIFA ~ sema kuna wanafunzi wengine walikuwa tayari wameshalizika baada ya kufanikiwa kuingia TANO [5] BORA KITAIFA kwa upande wa KIDATO CHA PILI.


​
Wenzenu waliendelea hivyo hivyo hata mtihani wa kidato cha sita na walifanikiwa kuingia TANO [5] BORA KITAIFA.

​

Sasa hivi kuna wanafunzi ambao ni KAPTENI WA JESHI LA ULINZI, wengine ni SP WA POLISI na MAGEREZA! Lakini kwa wale wanafunzi waliofanikiwa kuwa WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa wanajiunga na jeshi wakiwa na cheo cha SP na 2010 alipatikana mwanafunzi mwenye cheo cha ACP WA POLISI kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA].

​

Kwahiyo wenzenu ndiyo huwa wanafanya hivyo, sema huu utaratibu ulikuwa unatamburika kwa watu wachache na watu wengi walikuwa hawaufahamu.
 
Huo mtandao ulikuwaga unaanzia juu. Lakin necta ya darasa la saba mwaka 2003 ndo ilikuwaga necta..

Wanafunzi walikuwa wanapishana maksi moja moja kwenye kila somo na somo la kingereza ndo lililoamua mwanafunzi bora..

Waalim had wanaingia kusahisha mtihani wa mwisho, bado To hajapatikana..

Saivi hivi vitu havipo! Wanafunzi wafaulu kwa maksi za kawaida tu πŸ™πŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…