Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Huwa tunaambiwa kipindi cha HAYATI MWALIMU walikuwa wanajaribu kufananisha serikali na mti uliokomaa ~ ikiwa na maana ya mizizi ndiyo MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA! Mashina ikiwa na maana ya OFISI, TAASISI na WIZARA ZA SERIKALI! Halafu matawi ikiwa na maana ya VYAMA VYA SIASA!


​
Hivyo ili kuwa na serikali imara inahitaji mizizi na mashina yaliyokamaa, ili serikali iweze kudumu katika ubora wake na matawi yaweze kumea vizuri kwa majira yake.

Siku zote matawi huwa yanastawi na kunyauka kulingana na nyakati na majira ya mwaka. Lakini mizizi na mashina huendelea kubaki hata baada ya majira yote ya mwaka kupita.


​
Hivyo serikali inahitaji mizizi iliyokamaa, ili kuweza kuwa na mashina yanayoshamiri na matawi yanayong'aa na kupendeza.


​
Shughuli ya umwagiliaji inatakiwa iwe endelevu ili kuweza kuwa na mti wenye mizizi iliyokamaa vizuri na kushika kwenye udongo. Tofauti na hapo, mti unaweza kuezuliwa pale endapo itatokea tufani kali.


​
Shughuli ya umwagiliaji inatakiwa iambatane na shughuli ya kufanya palizi kwa kutumia dhana za kilimo, ili kuondoa magugu yote yanayohatarisha ukuaji wa mimea.


​
Shughuli ya utunzaji miti inatakiwa isimamiwe na watu waliopewa majukumu ya utunzaji wa miti pamoja na mimea.


​
Kwahiyo mabadiliko ya ukuaji wa mti pamoja na mimea huwa inaanzia kwenye mizizi! The same applies to, mabadiliko ya kisiasa katika mataifa mbalimbali huwa yanaanzia kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA. Huko ndiyo inatakiwa sheria zifuatwe kuliko maelezo, halafu inafuata OFISI, TAASISI na WIZARA ZA SERIKALI.

Mabadiliko ya VYAMA VYA SIASA huwa inakuwa ni hatua ya mwisho, pale ambapo kila kitu ndani ya serikali kinakuwa kinaenda sawa kwa mujibu wa SHERIA ZA NCHI [DOMESTIC LAWS] pamoja na SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS]. Tofauti na hapo mabadiliko ya kisiasa yanaweza kusababisha sintofahamu kwa upande wa serikali na taifa kwa ujumla!
 
Kaunda ndo mpinzan halisi wa Kenyatta, lakin Nyerere alifanikiwa kuondolewa kwenye ulingo wa siasa za Tanzania na Kaunda..

Saivi kila sehem ambayo mtanzania yupo ujue na mzambia pia yupo. Walijitahid kuwekeza kila sehem ambayo mtanzania alifanikiwa kuwekeza..

Wakina Kaunda ndo wenye timu ya Hannover96 na wanamiliki timu nyingne Bundesliga. Huwa wanaihujumu timu ya schalke04 isifanikiwe na huwa wanatoa had dola laki 5 ili schalke04 isipande ligi kuu..

Zambia wana Roho za Kwanin, akifanikiwa mtu mwingine Roho inawauma! Lakin walishndwa kuishusha Atletico Madrid ya Nyerere..

Hao wengine waliokuwa wanatumika kumkosoa Nyerere, saivi hawana kitu na wamebakiza kuzunguka kwenye ofisi za kibalozi nje ya nchi.. πŸ™πŸ½
 
Hizo zawad za majengo ya serikali ilikuwa inawauma sanaaaaa. Pale Oysterbay ni kwa wazito, jirani anapoishi Pius Msekwa ni mtaa mmoja.. 🫈 Masaa yote ukipita unakuta nyumba imepigwa kufuri.. 🫈
 
Nyerere alikuwa kiongozi na alifanya juu chin ili Tanzania ifanikiwe, ila hawa wengne akili hamna ijapokuwa walikuwa ni matio Kipndi wanasoma shule.. πŸ˜‚
 
Hao wengine waliokuwa wanatumika kumkosoa Nyerere, saivi hawana kitu na wamebakiza kuzunguka kwenye ofisi za kibalozi nje ya nchi.. πŸ™πŸ½

​
Waambieni huku TANZANIA bei ya bidhaa imepanda. Ijapokuwa kila siku ni hatua, tunamshukuru MWENYEZI MUNGU.. ☺️


​
Yaani aliyekuwa anawadanganya hawa watu alikuwa anafanya makosa makubwa sana! Maisha na mtindo wa kimagharibi inahitaji wahusika kuwa FEDHA za kutosha.


​
WATAWALA ndiyo wanaweza kuishi maisha na mtindo wa kimagharibi kutokana na kuwa na FEDHA za kutosha, halafu umaarufu na kufahamika duniani inasaidia kutambulika kwa wazungu na milango ya fursa huwa inafunguka kwa namna hiyo.


​
Sasa wale wakuu wastaafu wa majeshi walikuwa wanatumiwa na mahasimu wa HAYATI MWALIMU na walikuwa wanafanya makosa makubwa kuishi maisha ya WATAWALA.

Kwani WATAWALA wengi kipindi kile cha miaka ya sitini [1960's] kuelekea sabini [1970's] walikuwa ni watoto wa machifu na walikuwa wametoka katika familia zenye uwezo wa kifedha.


​
Ila wale wakuu wastaafu wa majeshi walikuwa wametoka katika familia duni na walitakiwa kujijenga kiuchumi na kuachana kuishi maisha ya ushindani dhidi ya viongozi wengine wa kiserikali pamoja na HAYATI MWALIMU.



Sasa hivi wale vizazi vya wakuu wastaafu wa majeshi wapo na wengine wanaendelea na majukumu yao katika SERIKALI na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA. Sema ule utegemizi wa serikali umekuwa ni mkubwa sana, kiasi ambacho wakiachwa ili wasimame pekee yao hawawezi!

​

Idadi kubwa ya watoto wa wakuu wastaafu wa majeshi walienda ng'ambo ili kufanya kazi ya kukagua na kusimamia miradi ya serikali na waliendelea kufanya hivyo hadi UTAWALA WA AWAMU YA TATU [1995-2005] ulivyoingia madarakani.


​
Kwahiyo wameendelea kuishi kwa feva ya serikali tangu kipindi cha miaka ya sabini na tano [1975's] hadi leo. WANASIASA huwa hawapo huko..

​
Nyerere alikuwa kiongozi na alifanya juu chin ili Tanzania ifanikiwe, ila hawa wengne akili hamna ijapokuwa walikuwa ni matio Kipndi wanasoma shule.. πŸ˜‚
HAYATI MWALIMU alikuwa sahihi sana, sema wale mahasimu wake walifanikiwa kuondoa ule utawala wa kifamilia na kuweka utawala wa jamhuri kitu ambacho tumekuwa tukiendelea nacho hadi leo.


​
Sasa hivi idadi kubwa ya watoto wa wakuu wastaafu wa majeshi ya MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI wamekuwa wakiendelea kupata feva ya serikali wakiwa nje ya nchi.


​
AS MONACO ni timu inayomilikiwa na serikali, baadhi ya watoto wa wakuu wastaafu wa majeshi wameendelea kutumia gharama kubwa katika shule na vilabu vya michezo bila ya kuangalia na kuzingatia kipato wanachopata.
 
Basi! Wale wastaafu wa majesh walikuwa ni watu wa vijijn na hela zinaendelea kuwatoka had leo. Pogba ni mtoto wa wastaafu wa majesh ya Tanzania na wanatumia vitu vya serikal nje ya inchi lakin kuwakilisha taifa lao hawatak.. πŸ™πŸ½
 
Hao ndo walitaka tuwe kama wahutu
 
Hao ndo walitaka tuwe kama wahutu

​
Hata hapa, ukijaribu kuangalia katika ile mechi ya jana kati ya KAMERUNI na TANZANIA, kuna vizazi vya wakuu wa majeshi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.


​
Wale wakuu wastaafu wa MAJESHI YA MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI, walichopungukiwa ni FEDHA lakini walijaribu kujijenga kuwa ROYAL FAMILIES kwa kadri walivyoweza.


​
Wao walikuwa wanapingana na falsafa ya HAYATI MWALIMU, hata kwa upande wa mataifa ambayo HAYATI MWALIMU alisaidia kupatikana kwa uhuru, wao walikwenda kinyume nao na waliamua kwenda kuanzisha mahusiano mapya na mataifa ambayo hata uwakilishi wa kibalozi ilikuwa hakuna. Mfano ni KAMERUNI..


​
Kwahiyo hali halisi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ndiyo huwa ipo hivyo na wale waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, waliamua kujijenga kiuchumi.
 
Zaman tangu kpindi cha Nyerere, jesh la magereza lilikuwa linachukua cgp ambao walikuwa ni matio wa darasa la nne..

Walkuwa wakikosa matio wa darasa la nne, walkuwa wanachukua matio wa darasa la saba! Walkuwa hawachukui matio wa sekondari, sababu watawala walikuwa wanaogopa kukosolewa na kupinduliwa..

Jesh la magereza halijawah kupata cgp ambae alifanikiwa kuwa to wa form Four au form Six, mara nyingi walkuwa wanapendelea matio wa shule ya msingi..

Hata jesh la ulinzi hali ilikuwa ni hivyo hivyo, walikuwa wanaogopa kupinduliwa maana matio wa sekondari huwa ni zaidi ya maprofesa.. πŸ˜‚

Wakina Nyamka na Mwanguku wote walkuwa ni matio wa shule ya msingi na walkuwa hawajui vitu vizuri vya kisiasa na kiserikal..

Ndo maana walkuwa wanaamua maamuzi ya ajabu ajabu! Saivi hawana kitu na wana watoto zaidi 70..πŸ™πŸ½ Wanaish kwa kupiga madili ya serikali
 
Hata huyu ni kizazi cha wale waliokuwa ni miongoni mwa VIONGOZI NA WAKUU WA MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO na anacheza soka la kulipwa katika timu ya MAMELOD SUNDOWNS!
Ccm haipo hivyo! Hawa weng ni watoto wa magereza na zimamoto, ndo walitaka kufanya Tanzania kuwa kama kongo na ndo wamejificha kwenye baloz mbalimbali za Tanzania..

Wengine wameenea na wanaish had taifa la Andorra, hawana hela na wanaish kwa kubebwa na serikali kupitia taasisi za nje..

Kwahiyo Nyerere alikuwa sahihi na njia pekee ya kuleta maendeleo ni kurudia utawala wa Nyerere's administration.. πŸ™πŸ½
 
Huwa tunaambiwa "MWANAFUNZI BORA [TO's] wa darasa la nne ni sawasawa na muhitimu wa KIDATO CHA NNE aliyepata daraja la tatu au daraja la nne la ufaulu" na "MWANAFUNZI BORA [TO's] wa darasa la saba ni sawasawa na muhitimu wa KIDATO CHA SITA aliyepata daraja la tatu au daraja la nne la ufaulu".

Lakini MWANAFUNZI BORA [TO's] wa KIDATO CHA PILI au KIDATO CHA NNE au KIDATO CHA SITA ni zaidi ya profesa ambaye hakufanikiwa kuwa kuingia TANO BORA [TOP FIVE] katika elimu ya msingi au elimu ya sekondari.

​

Sasa sijajua ni kwanini kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA wanapendelea WANAFUNZI BORA [TO'S] wa shule ya msingi kuliko shule ya sekondari katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA?

​

MAJENERALI WA KIJESHI wengi ambao walifanikiwa kuingia TANO BORA [TOP FIVE] kwa upande wa SHULE YA SEKONDARI, huwa inawawia kuhamia katika mataifa ya RWANDA, BURUNDI, UGANDA, KENYA, MSUMBIJI, MALAWI pamoja na ZAMBIA ili kuwapisha wale MAJENERALI WA KIJESHI waliofanikiwa kuingia TANO BORA [TOP FIVE] kwa upande wa SHULE YA MSINGI.
 
Wale waliokuwa wakuu wastaafu wa majeshi walikuwa hawapo vizuri, maana baada ya kufanikiwa kuwavua HAYATI MWALIMU na SHEIKH KARUME vyama vya TANU na ASP walipewa Tsh. 200,000 kila mmoja na hiyo ilikuwa ni mwaka 1975.

Sasa badala ya kujijenga kiuchumi, wao wakaanza kushindana na WATAWALA katika ile namna ya kupeleka watoto wao ulaya.


Sasa hivi wale WATAWALA wanamiliki viwanda kama HYPER MERCADO | ROYAL inayopatikana nchini MSUMBIJI na wamejitahidi kuwekeza katika mataifa mbalimbali duniani. Lakini wale wengine hawana kitu..

Pia kuna baadhi ya MAWAZIRI wa miaka ya tisini [1990's] walifanikiwa kununua na kumiliki majengo kwa upande wa TAIFA LA MSUMBIJI, huko WATAWALA ni KISHAPU [BUBIKI actually].. πŸ™πŸ½
 
Wanapenda kuchukua wanafunzi Bora wa shule ya msingi sababu wanakuwa na uwezo mdogo wa kufanya maamuzi binafsi, hata arguments wanakuwa hawana maofisini
 
Nyerere alisalitiwa na watu wa kutoka kwao wa kijiji kimoja, hao wote wastaafu wa majesh walikuwa ni watu anaowaamin kupitiliza..

Baadae Nyerere's aligeukia kwa watu wa Kishapu, watawala wa Togo na Msumbij ndo akafanikiwa kupiga hatua za kmaendeleo..

Lakin wale wastaafu wa majesh walitumia hela zao vbaya, matokeo yake hela zimewaishia na saiv wamekua kama wahutu! Watoto wao wanakaguliwa mikund tu na wamekua kitu kimoja na wakosovo pamoja na wakongo..

Hata mwanguku kpindi anastaafu mwaka 1993 alikuwa na million 300 had 400, lakin hela zake zote ziliishia kwa wanawake na watoto pamoja na mashindano ya kupeleka watoto wao ulaya..
 
Wanapenda kuchukua wanafunzi Bora wa shule ya msingi sababu wanakuwa na uwezo mdogo wa kufanya maamuzi binafsi, hata arguments wanakuwa hawana maofisini
Ndiyo maana wenzenu walivyojua kusoma na kuandika, walianza kusoma "TUITION" wakiwa darasa la tatu hadi wanamaliza kidato cha sita!


​
Miaka ya zamani, mtihani wa taifa wa DARASA LA NNE [2000] kulikuwa hakuna somo la uraia, kulikuwa kuna somo la sayansi na somo la uraia walikuwa wanaanza kusoma wakiwa darasa la tano!

Kwahiyo wenzenu huwa wanapitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] na masomo walikuwa wanafaulu kwa kupata maksi za juu hadi kuta za NECTA zilikuwa zinatingishika! Masomo ya uraia walikuwa wanapata maswali yote, 100%..
 
Tunaambiwa baada ya mwaka 1975, TANZANIA ndiyo ilikuwa kama imefunguliwa ~ askari wengi pamoja na familia zao wa MAJESHI YA MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI walihama nchi na kuhamia ng'ambo.


​
Wote walikuwa wanaenda ng'ambo kufanya kazi katika kampuni zinazomilikiwa na serikali, ikiwa ni pamoja na kusimamia na kukagua miradi ya serikali inayotekelezwa na ofisi za kibalozi.


​
Mfano ni kiwanda cha kutengeneza bia za PRESTIGE, pale wafanyakazi weusi wote walikuwa ni askari wa majeshi ya MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI!


​
Kazi ya kujenga nchi waliachiwa JESHI LA ULINZI [JWTZ] pamoja na CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] baada ya kuzaliwa mwaka 1977.


​
Lakini wale wengine ilikuwa ni mguu pande! Mguu rejesha! Nyumazi geuka na kushoto tembea! WATANZANIA wengi waliondoka kwa staili hiyo..


​
Sasa hivi idadi kubwa ya diaspora wa kitanzania ni vizazi vya maaskari wa majeshi ya MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI walioanza kuondoka tangu mwaka 1975.


​
Hawa ndiyo wanaosimamia shughuli zote za kibalozi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA na wameenea sana, maana idadi yao inazidi kuwa kubwa kutokana na kuzaliana.

​

Kwahiyo habari za HAYATI MWALIMU na sera za ujamaa na kujitegemea ndiyo zilianza kufa baada ya mwaka 1975, hata ile ladha ya utanzania ilianza kupungua na kuiga utamaduni wa kimagharibi.
 

​
Sasa hivi ukiwa KAMERUNI, kuna idadi kubwa ya WATANZANIA ambao walianza kuhamia nchini humo tangu mwaka 1975 na ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA KAMERUNI inayoitwa COTON SPORTS.
 
Wale walkuwa ni matio wa shule za msingi na walkuwa hawaelew kitu! Nyamka walimkuta majaruban anaanda mashamba ya mpunga, wakamuita kituo cha Polis na kumpa cheo cha Sp..

Tayar alikuwa na mke na watoto! Baada ya hapo ndo akazan yupo mbingun na maisha ameyapatia, alipendwa sanaa na Nyerere..

Lakin baadae ndo aliongoza wenzie wa zimamoto na kumgeuka Nyerere kwa thaman ya shilingi laki mbili kila mmoja na aliwaweka rockup Waingereza waliokuwepo kpindi kile..

Wakahamia kwa Wakosovo, ndo wakaanza kuwadanganywa na kuwaambia mambo kinyume. Hii inchi ingekua imeshachafuka na kupoteza muelekeo kama sio uangaliz wa Kenya, Zambia, Malawi na Msumbij.

Wale wakuu wastaafu wa majesh walikuwa ni wajinga, sababu wangekaa vizuri na Nyerere wangeweza kufanya Tanu kuwa kama Kanu ya Kenya na maisha yangeendelea.
 
Sasa hivi ukiwa KAMERUNI, kuna idadi kubwa ya WATANZANIA ambao walianza kuhamia nchini humo tangu mwaka 1975 na ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA KAMERUNI inayoitwa COTON SPORTS.
Hivyo vyote ni vitu vya serikal na kila mtanzania ana haki navyo, wasidhani wapo pekee yao.. πŸ˜‚ Wakikosa nauli watapaa na Ungo.. πŸ™πŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…