Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Kwa Makwaia lazima dada zao wazalishwe kwanza na watoto wawaite Anko wakina Henry ndo mambo mengine yaelendelee.. 😂

Hayo maisha sio mazur, ni bora kutulia na kutafuta maisha mazur kwa njia ya halal bila udhalilishaji wa namna hiyo..

Mwanaume unaenda kwa mashemej ili wakubebe! Ila ndo duniani huwa wanafanya hivyo hasa Ulaya na Marekani.. 🙏🏽
 
Watu wa nindo hawatulii sehem moja, kila cku wanahama hama lakin wenzao wa Kishapu kila cku wanamek hapa hapa Bongo na mambo yanaenda.. Wamekuwa watu wakuhama mataifa, hata kutulia sehem moja hakuna!
 
Huyo tangu walivyomaliza form cix alionekana ataenda kuwa cgf wa magereza, sema lazima aanzie Polisi na baadae Jwtz ndo awe cgf wa Magereza.. Hiyo ni ikulu inafanya kumpitisha sehem mbalimbali zenye misukosuko
Na chuo alimaliza wapi?
 

​
UCHIFU WA BUSIA ni mkubwa na walifanikiwa kuzaa na kila tabaka la rangi, hivyo kuna wazungu, wahindi na wachina. Tunaambiwa timu ya PSG, wanaocheza wote hapo ni MAKWAIA.

​

Pia tunaambiwa wakina JOSHUA NKOMO na wenzie kabla ya kwenda kutafuta maisha nchini ZIMBABWE, alikuwa ni miongoni mwa wafanyakazi wa kwanza wa mgodi wa mwadui.

​

Kwahiyo hao UCHIFU WA BUSIA walianza kujijenga kiuchumi na kisiasa tangu siku nyingi na sasa hivi wanamiliki vitu vingi sana na ndiyo WATAWALA WA TOGO na GABONI.
 
Pia kuna baadhi ya wakuu wastaafu wa majeshi waliotofautiana na HAYATI MWALIMU kipindi cha miaka ya sabini [1970's] ambao wanashikwa mkono na UCHIFU WA BUSIA.


​
Pia kuna wengine walishindwa kushikwa mkono na UCHIFU WA BUSIA kutokana na mashirti kuwa magumu, miongoni mwao ni yule aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa JESHI LA ZIMAMOTO ambaye katika kizazi chake ndiyo alipatikana msanii maarufu kutoka JAMAIKA anayeitwa SEAN KINGSTON.

Hawa walishindwa kufuata masharti ya UCHIFU WA BUSIA na masharti yalikuwa ni magumu kwao, hivyo waliamua kupambana hadi leo na mtoto wao ambaye ndiye SEAN KINGSTON alikuja na nyimbo iliyokuwa inaitwa "TAKE YOU THERE".

​

Ijapokuwa walikuwa wanakutana na dhihaka na kejeli ya kimaisha, kwamba ili wafanikiwe kuwa na uchumi wa kifedha inabidi wacheze BINGO au LOTTERY. Lakini hadi leo wanaendelea kupambana..

​

SEAN KINGSTON, mzee wao alikuwa ni MWANAFUNZI BORA [TO's] wa darasa la nne kutoka katika shule ya AZIMIO inayopatikana pale WILAYA YA SHINYANGA MJINI na muda mwingi walikuwa wanasisitizwa kurudi TANZANIA au kuhamia IVORY COAST kwa aliyewahi kuwa rais wa nchi hiyo, HOUPHOUÉT BOIGNY.

Sasa ukitaka kuona tofauti kati ya wanafunzi bora wa SHULE ZA MSINGI pamoja na SHULE ZA SEKONDARI, jaribu kuangalia wanafunzi bora ambao walifikia vyeo vya ujenarali.
 
Watu wa nindo hawatulii sehem moja, kila cku wanahama hama lakin wenzao wa Kishapu kila cku wanamek hapa hapa Bongo na mambo yanaenda.. Wamekuwa watu wakuhama mataifa, hata kutulia sehem moja hakuna!

​
Sasa hawa wenzenu wanajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA wakiwa tayari wana ufahamu wa kile kilichokuwa kinafanyika miaka iliyopita na wanaishi kwa tahadhari.


​
Faragha ipo juu ili kuepusha fedhea! Maana usipokaa vizuri, historia inaweza kujirudia na mambo yakawa mabaya zaidi.. 😂


​
Nidhamu ya hali ya juu ilmradi siku ziende, You Know! Ukizingatia tayari pakuanzia palishapatikana, basi kunakuwa hakuna shida bila ya kusahau ile kadhia ya WAKOSOVO na WAKONGOMANI!


WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa hawaruhusiwi kuwa na mafungamano na WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS] ili kuzuia "MENTAL DISTORTION" na kusambaa kwa zile tabia zenye ukakasi.. 🙏🏽
 
Watu wa nindo hawatulii sehem moja, kila cku wanahama hama lakin wenzao wa Kishapu kila cku wanamek hapa hapa Bongo na mambo yanaenda.. Wamekuwa watu wakuhama mataifa, hata kutulia sehem moja hakuna!

​
Wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] huwa wanafanya shughuli za serikali, popote palipo na fursa za kiserikali utawakuta! Wamekuwa wakiendelea kufanya hivyo tangu kipindi cha HAYATI MWALIMU hadi leo.


​
Shule yao ilikuwa ni AZIMIO, hata aliyewahi kuwa WAZIRI MKUU WA KENYA - RAILA ODINGA [the late] pamoja na baba yake walisoma hapo na walikuwa wanatembea kwa mguu kutoka NINDO hadi shuleni.

​

Wanawake wao walikuwa wanatembea kwa mguu hadi KISHAPU kwa ajili ya kutafuta amani kwenye mahusiano ya kimapenzi na imeendelea kuwa ni desturi hadi leo.

​

Lakini wanaume wao huwa hawana akili tangu zamani, hata kipindi walipokuwa wakiongoza katika MTIHANI WA TAIFA wa DARASA LA NNE au DARASA LA SABA walikuwa wanapewa majibu ya mitihani.

​

Nafasi ya juu kwa upande wa mitihani ya taifa ya sekondari [KIDATO CHA PILI, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA] waliyowahi kushika ilikuwa ni nafasi ya nne [4].

​

Kwahiyo wanawake wao huwa wapo "CLASSIC" na huwa wanajiachia wakikutana na wanaume wa KISHAPU [BUBIKI actually] wenye uwezo wa kifedha na huwa wanawatafuta wenyewe.
 
Saivi wakina Makwaia wamekaa kimya, bado wengine.. 😂
 
Tatzo ni elimu! Wale wastaafu wa majesh walikuwa wameishia primary school na walichagua visiwa vya Karibian kwenda kupumzika baada ya kustaafu kazi zao. Serikal huko imewekeza sanaa.. 🙏🏽
 
Hayo ndo tulkuwa tunaambiwa sis! To wa form cix 2010 alishatusua maana zawad alizopata hata rais wa inchi hajawahi kupata zawad za namna hiyo. Kumilik nyumba mitaa ya Obeyi tayari umeshatusua.. 😂
 
Wanawake wao ni wakalee! Ukikaa vibaya unaweza kudhan ni mademu wa SierraLeone au Watus kwa jins walivyowatam.. 🙏🏽
 
Stop this Nonsense
 
Kama.huu uongo wako ungekuwa ni kweli Tanzania isingekuwa nchi ya ovyo hivi.unapata nini kwa uongo wako.huu?wewe kila timu kubwa ulaya unasema inamilikiwa na waTanzania.
 
Hizi kamba hizi unapata nini kudanganya?wew sio ulaya au afrika kila kitu ni cha Watanzania
 
Haya na sie wanymwezi tunamiliki nini
Sasa ikitokea kama serikali inataka kufanya mabadiliko ya kisiasa katika ule mchakato wa uchaguzi kupitia sanduku la kura!


​
Kwanza, inatakiwa kufanyika "NATIONAL AUDITING" ili kubaini kila kitu kinachomilikiwa na serikali hadi vijiko, inatakiwa kubaini vipo vingapi vinavyomilikiwa na serikali ili pale inapofanyika mabadiliko ya kisiasa isipatikane vitu vya serikali vingine vimesalia kwa raia na kufanyika kuwa ni vitu vinavyomilikiwa na watu binafsi.


​
Masuala mengine yanayofuata, huwa ni kuhakikisha kuwa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA yanafuata sheria kama inavyotakiwa kwa mujibu wa sheria za nchi pamoja na sheria za kimataifa.

​

MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ndiyo huwa yanaongoza serikali kwa kusimamia na kuratibu shughuli zote za wizara, ikiwa ni pamoja na kuteua KATIBU MKUU WA WIZARA lakini WAZIRI na NAIBU WAZIRI pekee yao katika wizara ndiyo huwa chaguo la RAIS WA NCHI.

Majeshi yote ikiwa inajumuisha JESHI LA ULINZI [JWTZ], MAGEREZA, POLISI, ZIMAMOTO, UHAMIAJI na UHIFADHI wana wizara zao ambazo huwa wanasimamia na kuratibu shughuli zote na majeshi yanaongoza kuwa na wizara nyingi huwa ni MAJESHI YA MAGEREZA na POLISI.


​
Hivyo ni muhimu kufuata sheria kuanzia kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA na askari wote wa MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI, ZIMAMOTO, UHAMIAJI na UHIFADHI wanatakiwa kutoka JESHI LA ULINZI [JWTZ] ili kuleta umoja, ufanisi na upatikanaji wa taarifa sahihi mahala pakazi ~ kasoro wale WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] wanaojiunga na JESHI LA POLISI wakiwa wamefikisha miaka thelathini na tano [35].


​
Ikifanyika hivyo mabadiliko ya kisiasa inakuwa ni kugusa tu, wala haitatokea shida yoyote na shughuli za kiserikali zitaendelea kama kawaida.


​
Kwahiyo huu utaratibu huwa unafanyika katika mataifa yote yanayojaribu kufuata mfumo wa kubadilishana vyama vya siasa katika ile namna ya kuongoza serikali ya kitaifa kwa njia ya kidemokrasia.
 
Haya nipe kamba kuhusu watu wa Manyara 😂😂wanamiliki nini au hawana lolote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…