Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
VIONGOZI WA KIJESHI huwa wana matunzo yao, tofauti na askari wengine. Tena ikitokea utaratibu umefuatwa, huwa kuna fomu za kujaza kwa upande wa wanawake wanaotaka au wangependa kuzaa na kuolewa na kiongozi wa kijeshi.Ilishawahi kutokea hii, askari alilipwa mishahara ya miaka miwili kabla ya kuripot katika kituo cha kazi! Hawa vijana wa dotcom hawayajui hayo mambo! Ukiona mwanafunzi aliyeingia top five anapitishwa kwenye misukosuko, ujue anaepushwa na jambo baya..
Hiyo spirit huwa inatumika pia kwa majeneral wa kijesh, ukiona Jeneral anapitishwa kwenye misukosuko ujue anaepushwa na jambo baya au tukio la kuhatarisha usalama wake..
Kwahiyo majeneral pamoja na wanafunzi walioingia top five wote huwa wanashauriwa kuwa calm au wapole katika kipindi chote cha misukosuko.. 🙏
Jenaral kufa na magonjwa ya zinaa, ni sawa na inzi kufia kwenye kidonda. Huwa ni uzembe na mara chache hutokea.. 😂VIONGOZI WA KIJESHI huwa wana matunzo yao, tofauti na askari wengine. Tena ikitokea utaratibu umefuatwa, huwa kuna fomu za kujaza kwa upande wa wanawake wanaotaka au wangependa kuzaa na kuolewa na kiongozi wa kijeshi.
Kisheria, askari kuanzia cheo cha ACP pamoja na KANALI wanaruhusiwa kuoa wanawake watatu [3] ambao watakuwa wanatambulika na serikali hadi wajukuu. Askari kuanzia cheo cha JENERALI wanaruhusiwa kuoa wanawake watano [5] ambao watakuwa wanatambulika na serikali hadi vilembwe.
Kwahiyo katika kipindi hiki cha dunia iliyotawaliwa na utandawazi, watu wenye faida ni askari wa majeshi kwa sababu hata ikitokea askari anamiliki biashara au kampuni ya kibiashara anakuwa na uwezo wa kutambulisha biashara au kampuni yake ya kibiashara jeshini ili kupata usimamizi wa kijeshi.
Akili za MTU mweusi hiziJenaral kufa na magonjwa ya zinaa, ni sawa na inzi kufia kwenye kidonda. Huwa ni uzembe na mara chache hutokea.. 😂
Ulishaona wapi Jeneral anakufa kwa Aids! Tena the coming is a Field Marshall, Jeneral wa nyota tano..Akili za MTU mweusi hizi
huwa wanawapiga picha wakiwa mlangon na mabeg yao ya nguo! Ni Unyanyasaj na Ukatili wa hali ya juuuYale yalikuwa siyo maisha mazuri na hayapaswi kuigwa! Kipindi hicho wakati ukifika wa kumuondoa mtoto, wanampiga picha akiwa ameshikilia begi lake la nguo..😭
Ilikuwa ni simanzi na unyanyasaji kwa mtoto, kwa sababu unakuta mtoto anaondolewa nyumbani alipozaliwa kwa wazazi wake akiwa na umri wa kuanzia miaka mitatu hadi miaka mitano..
Sema watoto huwa hawawezi kueleza hisia zao! Lakini huwa ni simanzi na anapohamia kwa watu wengine ambao hajawazoea, hata matunzo na malezi hawezi kupata kama angelikuwa na wazazi wake..
Hili suala huwa lipo chini ya USTAWI WA JAMII na USTAWI WA JAMII ipo chini ya JESHI LA POLISI! Baadae mtoto akishafanikiwa kimaisha, wazazi ndiyo huwa wanajitokeza na kuonesha picha za mtoto akiwa katika umri mdogo. Hii tabia wanayo wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI pamoja na wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU, waliitoa kwa WAHUTU pamoja na WAKONGOMANI.
Kitu kingine ambacho huwa hawasemi mara nyingi, askari yoyote anayetambulika na serikali huwa anashauriwa kuorodhesha wenza wake wote aliofanikiwa kuzaa nao kwa kujaza fomu za uzazi na malezi zinazopatikana majeshini.Wale wanaotambulika serikalini huwa hawana mda wa kugawa watoto, kwanza huwa wanazaa watoto wengi kutokana na fursa za kiserikali kuwa nyingi kwa upande wao..
Zile awamu tatu za mwanzo zilikuwa zinakosea sanaa kuteua askari wasiokuwa na vigezo! Askari mwenye cheo cha kopolo au inspekta unapompa nafasi ya cgp wa magereza unakua unammaliza..
Au unapompa askari mwenye nyota mbili au nyota tatu, cheo cha igp wa polisi au cgf wa Zimamoto au dgi wa tisi unakua unammaliza! Ndo hao watoto wao tunaowaona wakifanya kazi za ajabu ajabu, unakuta mtoto wa igp mstaafu anaosha masufuria ya hotelini.. 😂
Wengine wanagonga gia za bodaboda kama hawana akili nzuri na huwa wanaenda mnadani kwa kuuza nguo, ng'ombe na mbuzi au wengine wanakua maporini wakichoma mkaa.. 😂
Hao ndo wanaotaka kukichafua! Lakini wale askari wanaotambulika serikalini, Watoto wao wapo Burkina Faso wanacheza mpira kwenye timu ya taifa.. 🙏
Haiti watainunua, sema mzigo unakuja kwenye kulea viongoz wa kitaifa na kijeshi! Ipo siku Tanzania itakwama na kushindwa gharama za kulea viongoz wa kitaifa..
Wale watu walikuwa ni wajinga, kwa sababu mtoto anakuwa anapitia roho ya kukataliwa tangu akiwa kwa wazazi wake na anapopelekwa kwenda kuishi katika familia ya watu baki anakuwa kama ametupwa na kutelekezwa! Hata kipaji na kipawa chake atashindwa kuonesha kutokana na kukosa ushirikiano wa kifamilia na wachache ambao huwa wanafanikiwa katika masuala mazima ya maisha.huwa wanawapiga picha wakiwa mlangon na mabeg yao ya nguo! Ni Unyanyasaj na Ukatili wa hali ya juuu
Haya yote huwa wanafundishwa! Waache wajifanye vichwa ngumu, tena gereza kwa kuwasaidia ndo lilikuwa linachukua hata watu ambao hawajamaliza standard seven..Kitu kingine ambacho huwa hawasemi mara nyingi, askari yoyote anayetambulika na serikali huwa anashauriwa kuorodhesha wenza wake wote aliofanikiwa kuzaa nao kwa kujaza fomu za uzazi na malezi zinazopatikana majeshini.
Hii inasaidia na inatoa fursa kwa mzazi mwenza kuweza kutambulika serikalini na kupata wasaa wa kuajiriwa katika kampuni za kibiashara zinazomilikiwa na serikali, WAINGEREZA huwa wanasema ni "COMMERCIAL ENTERPRISES" pasipo hata kuwa SE FAIRE VALOIR na WASWAHILI huwa wanasema "ukikaa karibu na ua waridi, lazima unukie"..
Fomu zenyewe zilikuwa zinauzwa Tsh. 5000 pesa taslimu kwa miaka ya nyuma na huwa zinajazwa na mzazi mwenza kwa kuweka pasipoti na sahihi. Halafu hizo fomu za uzazi na malezi zinaorodheshwa kwenye faili la askari anayetambulika serikalini. Hata ikitokea askari ana wazazi wenza zaidi ya mia tatu [300], hakuna shida..
Nissan ilinunuliwa kpindi cha Mwinyi! Kampuni zote zinazoshabihana na Nissan zipo chin ya TanzaniaHii kampuni ya kutengeneza magari aina ya NISSAN inamilikiwa na serikali, sema fedha nyingi zinaishia kwenye kufanya "OCCUPATION AND ACQUISITION POLITICS" kwa kuhodhi mataifa machanga.
Huyo binti ni kizazi cha Kaunda! Trey songs ni mtoto wa Kaunda, Fabulous ni mtoto wa Michael Sata na Lloyd Banks ni mtoto wa Nelson Mandela..Wale watu walikuwa ni wajinga, kwa sababu mtoto anakuwa anapitia roho ya kukataliwa tangu akiwa kwa wazazi wake na anapopelekwa kwenda kuishi katika familia ya watu baki anakuwa kama ametupwa na kutelekezwa! Hata kipaji na kipawa chake atashindwa kuonesha kutokana na kukosa ushirikiano wa kifamilia na wachache ambao huwa wanafanikiwa katika masuala mazima ya maisha.
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI huwa hawana huo ujinga, ni STRAIGHT FORWARDED SOCIETY.
Wamefanikiwa kupiga hatua za kimaendeleo na kiuchumi, hawana muda wa kukwepa au kukimbia majukumu! Wao huwa wazaa na kulea watoto wao.
Shida ipo kwa wale wenyeji wengine wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pamoja na KISHAPU [BUBIKI actually].
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI ndiyo watawala wa MATAIFA YA ZAMBIA pamoja na MALAWI ~ ndiyo wamiliki wa visiwa vya JAMHURI YA DOMINIKI huko KARIBIANI..
Ukiachana na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI, wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU watakaofuata katika kuitawala TANZANIA watakuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI.
Wale watu walikuwa ni wajinga sanaaa! Yule Mama Kalani wa mahakama aliahidiwa atapewa malori matano kama atampokea Jeradi na kumlea vizur..Akili za MTU mweusi hizi
Sasa hayo mambo mengine ni masuala binafsi! Lakini tunaambiwa PELE alikuwa ni miongoni mwa raia wa kwanza wa ZAMBIA waliohamia BRAZILI kwenda kufungua ubalozi wa ZAMBIA nchini BRAZILI, akitokea SHINYANGA MJINI.Huyo binti ni kizazi cha Kaunda! Trey songs ni mtoto wa Kaunda, Fabulous ni mtoto wa Michael Sata na Lloyd Banks ni mtoto wa Nelson Mandela..
Abed Pele alizaliwa Shinyanga Mjini kabla ya kuhamia Brazili na watoto wake wanaishi Ghana na visiwa vya Dominikani! Nyumba aliyozaliwa Pele ipo hapo hapo Shinyanga Mjini maeneo ya majengo..
Shinyanga vijijn ndo wakaja na Roger Milla wa Kameruni, lakini Shinyanga Mjini ndo waliotangulia kucheza soka la kitabuni na soka la kulipwa..
Familia ndo msingi na kipimo cha utu! Shinyanga Mjini huwa tunazaa na kulea watoto bila shida, hakuna kukimbia majukumu..
Shinyanga vijijn hawawezi kulea watoto waliowazaa wenyewe! Hiyo kasumba ilihamia had Kishapu, tena wao walikuwa wanakufa kabisa kumbe wanahamia Sierra Leone..
Kulikuwa kuna wakina Luxury hapo Shinyanga Mjini na alikuwa ana hela sanaa, baadae alikufa na wakazika lakini yupo Sierra Leone! Jamaa aliacha mke na watoto wazuri wakihangaika, ndo mwenye luxury hotel had leo..
Hiyo staili ya kufa na kutokea sehem nyingine sio nzuri! Maana Familia, Watoto na Wajukuu hawawezi kuvumilia tena kuishi na mzuka ndani ya nyumba..
Kishapu walikuwa vizuri sanaa, sema waliharibu wao wenyewe baada ya kujifananisha na wakongo na future za watoto wao waliziharibu wao wenyewe sababu Kishapu wana akili za darasani na wana bahati ya kuwa na hela..
Shinyanga Mjini wamepiga hatua kubwa sanaa, sababu huwa hawaachi watoto wao na huwa ni watu wasiri sanaa, hawataki mtu mwingine kufahamu mambo yao na Zambia ndo huwa ipo hivyo.. 🙏
Kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, huwa ni lazima kwa askari kuanzia cheo cha chini kabisa kufahamu maneno ya kihistoria kama COLONIAL GOVERNMENTS, SELF GOVERNMENT, AFRICANIZATION, MISSIONARY EDUCATION, TRAINED PERSONNEL pamoja na EDUCATIONAL POLICIES.Haha kwa hizi comments uzi umeanza upyaaa
Mimi hayo huwa nawafundisha had namna ya kuchagua mke! Maana saivi unaweza kujikuta unanyatia mzuka au mwitunga! Unakuta demu ni mkalee, kumbe alishawahi kufa na kuzikwa huko Mombasa. Kwahiyo sisi kama Walimu huwa kuna namna ya kuwaangalia hao viumbe.. 🙏Kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, huwa ni lazima kwa askari kuanzia cheo cha chini kabisa kufahamu maneno ya kihistoria kama COLONIAL GOVERNMENTS, SELF GOVERNMENT, AFRICANIZATION, MISSIONARY EDUCATION, TRAINED PERSONNEL pamoja na EDUCATIONAL POLICIES.
Baadhi ya maneno ya kihistoria yanajumuisha somo la historia kwa upande wa elimu ya msingi pamoja na elimu ya sekondari hadi kufikia KIDATO CHA NNE.
Baada ya hapo, askari kulingana na cheo chake ndiyo watafanikiwa kufahamu sera za elimu kwa upande wa BARA LA AFRIKA kupitia WATAWALA WA KIINGEREZA, KIBELGIJI na KIFARANSA. Kulikuwa kuna vitu kama "British and Belgian systems - solid basis of primary education" na "Narrower French system of producing educated elite".
Hao watu wana nguvu kubwa sanaa kwa upande wa Tanzania na ndo watanzania wenyewe hao! Hata Malawi walishaikabizi kwa Tanzania kutokea Zambia na ipo chini ya jesh la magereza.. 🙏Sasa hayo mambo mengine ni masuala binafsi! Lakini tunaambiwa PELE alikuwa ni miongoni mwa raia wa kwanza wa ZAMBIA waliohamia BRAZILI kwenda kufungua ubalozi wa ZAMBIA nchini BRAZILI, akitokea SHINYANGA MJINI.
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI ndiyo watawala wa TAIFA LA BOTSWANA na walipitia ZAMBIA.
Tunaambiwa aliyekuwa RAIS WA KWANZA WA ZAMBIA, KENNETH KAUNDA [the late] aliitawala BOTSWANA kupitia IAN KHARMA [the late] na baada ya RAIS WA KWANZA WA BOTSWANA waliofuata baada ya hapo, wote walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI wakitokea ZAMBIA.
Ukiwa maktaba ya taifa pale BOTSWANA, wao wanaita ni "SHADES OF TOWN" ikiwa na maana ya marais wote wa BOTSWANA ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI kasoro aliyewahi kuwa RAIS WA KWANZA, IAN KHARMA.
Kwahiyo wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI ni watu wanaoheshimika na wana mchango mkubwa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA. Hawa ndiyo "FINAL SAY" kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
Kitu ninachokipenda kutoka kwa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI ni nyimbo za TONY NYADUNDO akiwa anawasifia RAILA ODINGA na BARACK OBAMA.. 😄huwa wanawapiga picha wakiwa mlangon na mabeg yao ya nguo! Ni Unyanyasaj na Ukatili wa hali ya juuu
Haha kwa hizi comments uzi umeanza upyaaa