Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Mambo yapo mengi sana! TANZANIA imepitia mambo mengi na vizazi vya wanasiasa wengi kipindi cha utawala wa HAYATI MWALIMU vilifanikiwa kusambaa ndani na nje ya nchi.Basi! It's over and topic is closed ๐
Gadafi hakuwah kuwa mkosovo, bali alikuwa ni mswideni na aliwekwa madarakani na kampuni ya kutengeneza magari ya Scania. Kwahiyo Scania ndo iliyokuwa inaendesha serikal ya Libya..FIELD MARSHALL huwa ni cheo cha juu kabisa kwa upande wa taaluma ya kijeshi na kielemu. Pia huwa kuna ukinzani mkubwa hadi kufikia cheo hicho na askari wengi huwa hawafiki tamati.
Askari wengi kutoka katika familia za kifalme au baada ya kufanikiwa kufanya mapinduzi ya kijeshi huwa wanajipachika kwa kufosi cheo cha FIELD MARSHALL.
Lakini FIELD MARSHALL ni cheo cha kijeshi ambacho kinatokana na ufaulu wa askari kipindi alipokuwa anasoma elimu ya msingi pamoja na elimu ya sekondari na kufanikiwa kuongoza kitaifa zaidi ya mara tatu [3].
Kwa upande wa mataifa ya MASHARIKI YA KATI, hicho ndicho kilichokuwa ni miongoni mwa kadhia iliyokuwa inasababisha mapigano ya kivita - maana kuna baadhi ya jamii zenye nguvu zilikuwa hazipo tayari kuona raia anakwea kileleni kutokana na sababu ya ufaulu wa mitihani ya darasani tu.
Yes! Taifa likifanikiwa kupata askari mwenye cheo cha FIELD MARSHALL ina maana mfumo wa elimu umekomaa bila ya kuzingatia vile vizingiti vya kijamii "social constraints" na kuaminisha jamii ya kimataifa kuwa kila raia atakayefanikiwa kufanya vizuri darasani katika mitihani ya taifa anakuwa na uwezo wa kufikia cheo hicho kikubwa cha kijeshi.
Kwahiyo TANZANIA imefanikiwa kufaulu katika suala hilo, ijapokuwa bado kuna ACADEMIC GENOCIDE [repression and falsification of pupils and students academic results] katika mitihani ya taifa kwa upande wa elimu ya msingi pamoja na elimu ya sekondari.
Basi! It's over and topic is closed.. ๐ Wale waliokuwa viongozi waandamizi wa serikali kpindi cha Nyerere waliona mengi na walishanyooka..Mambo yapo mengi sana! TANZANIA imepitia mambo mengi na vizazi vya wanasiasa wengi kipindi cha utawala wa HAYATI MWALIMU vilifanikiwa kusambaa ndani na nje ya nchi.
Wapo wakina TIARA CHESMER WILLIAMS ambao ni kizazi cha BIBI TITI MOHAMMED! Watoto na wajukuu wengi wanaishi nchini MAREKANI.
Wao walishaapa na kuweka yamini, kuwa ni lazima wafike kizazi cha tano! Pia wapo wengine ambao ni vizazi vya ABDULHAMAN MOHAMMED BABU, aliyewahi kuwa waziri kipindi cha HAYATI MWALIMU.
Wakina WIZ KHALIFA! Wao pia wana dhana inayotaka kufanana na vizazi vya wanasiasa wengi waliokuwepo kipindi cha HAYATI MWALIMU.
Lakini sasa hivi WATANZANIA wengi wamekwisha amka na wameshatambua kwa mapana na marefu mambo yaliyokuwa yanafanyika kwa wakati uliopita, wakati uliopo na kuweza kung'amua wakati ujao.
Pia kuna WATANZANIA wengine waliamua kutambulika serikalini kupitia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA na kutojihusisha na siasa, baada ya kufanikiwa kufanya vizuri kitaifa katika masomo ya SHULE YA MSINGI pamoja na SHULE YA SEKONDARI.
Sasa hivi askari ambaye ni FIELD MARSHALL anahudumu serikalini hadi miaka themanini [80] na anatambulika serikalini hadi kizazi cha tano [5], ambacho ni KILEMBWEKEZA!
Askari ambaye ni MILITARY GENERAL aliyewahi kwa MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] huwa anahudumu serikalini hadi miaka sabini na tano [75] na anatambulika serikalini hadi kizazi cha nne [4], ambacho ni KILEMBWE!
Askari ambaye MILITARY GENERAL aliyewahi kuingia TANO [5] BORA KITAIFA katika masomo ya SHULE YA MSINGI au SHULE YA SEKONDARI huwa anahudumu serikalini hadi miaka sabini [70] na anatambulika serikalini hadi kizazi cha nne [4], ambacho ni KILEMBWE!
Askari ambaye MILITARY CORNELL aliyewahi kuingia KUMI [10] BORA KITAIFA, iwe kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA, SE FAIRE VALOIR anahudumu serikalini hadi miaka sitini na tano [65] na anatambulika serikalini hadi kizazi cha tatu [3], ambacho ni KITUKUU na watumishi wengine wa serikali huwa wanahudumu serikalini hadi miaka sitini [60].
Kwahiyo sasa hivi, baada ya kufanikiwa kutambulika serikalini, kuna WATANZANIA wanajijenga kuanzia ngazi ya familia ili kuweza kusimama kiuchumi na kuachana kabisa na masuala ya siasa.
Gadafi hakuwah kuwa mkosovo, bali alikuwa ni mswideni na aliwekwa madarakani na kampuni ya kutengeneza magari ya Scania. Kwahiyo Scania ndo iliyokuwa inaendesha serikal ya Libya..
Hao watu weupe tabia yao huwa ni moja! Viongoz wa kijesh hasa majeneral huwa hawapaswi kujenga mahusiano ya karibu kama ndoa na jamii ya watu weupe. Labda itokee Jeneral awe ni mzungu au chotara kama Ibraa Ng'wani..
Kilichofanyika Libya kwa Gadafi kuwatumia wakosovo katika kutawala taifa la Libya, ndo kilichofanyika Kongo kwa Mobutu kuwatumia wajaluo katika kutawala taifa la Kongo na saivi wajaluo wameachwa pekee yao nchini Kongo wakiendelea kuteseka.. ๐
Basi! It's over and topic is closed.. ๐ Wale waliokuwa viongozi waandamizi wa serikali kpindi cha Nyerere waliona mengi na walishanyooka..
Saivi wametulia, wanazaa na kulea watoto wao! Shida ipo kwa watu wa Shinyanga vijijn, wanapenda mteremko halaf hawataki kuwa na majukumu. Hii tabia waliitoa kwa wakongo pamoja na wahutu..
Ile tabia ya umarioo waliitoa Kongo, wanaume wa Shinyanga vijijn huwa wanapenda mteremko na kulelewa na wanawake wenye hela. Kibosho na Moshi vijijn yote huwa ni Shinyanga vijijn na inaongoza kwa kutoa mamario mjini..
Ndo hao wanaozaa na kusambaza watoto wao kwa watu baki kabla ya umri! Shinyanga vijijn wangekuwa ni matajir sanaa, lakin ile tabia ya kuzaa na kusambaza watoto ndo inawarudisha nyuma had leo..
Baadae ile tabia ilihamia kwa watu wa Kishapu, hasa wenyeji wa Bubiki na wao walianza kuzaa na kusambaza watoto wao waliowazaa wenyewe na kufa kama Wakongo! Lakini wenyeji wa Utemini na Busia waliikataa na kupinga vikali hiyo tabia..
Wakina Judith na mumewe wanaruka na ungo kila kukicha! Leo wapo Sierra Leone, kesho wapo Naija na keshokutwa wapo Togo na walishatembelea miji mikuu yote ya Afrika Magharibi. Ila ukiwauliza watoto wao wapo wapi, hawana majibu ya uhakika na Judith alikuwa anasema Jeradi amemuacha kwa yule Mama Kalani wa mahakama na hawajawahi kutoa hata senti tano ya matunzo na Jeradi mwenyewe alishawasahau. Ni maisha ya ovyoo sanaa..
Saivi watu wa Kishapu, hasa wenyeji wa Bubiki wana hali mbaya kiuchumi na wanaish yale maisha ya majuto, manung'uniko, aibu na kutangatanga kutokana na kuondokewa na baadhi ya watoto wao na kwenda kuishi kwa familia za watu wengine! Hata serikal ya Sierra Leone waliyokuwa wakiilingia hapo zamani, ilishauzwa na Rais Magai na saivi Sierra Leone ipo chini ya Tanzania..
Kwahiyo yale maisha ya kuiga utamaduni wa jamii nyingine huwa sio mazuri, inafaa kuishi maisha ya mtanzania na Shinyanga vijijn iliyokuwa ikiongozwa na Nyerere ilishaenguliwa kwenye system na haitorudi tena! Wengine walihamia Senegal, saivi Tanzania ipo chini ya watanzania wote.. ๐
Ukiachana na nafasi za upendeleo ambazo FIELD MARSHALL huwa anapata kutoka serikalini kama kuuziwa vitu vya thamani, magari na nyumba za serikali, kitu kingine ambacho huwa hawasemi ~ FIELD MARSHALL huwa ana ofisi yake binafsi katika ofisi za ikulu.Ulishaona wapi Jeneral anakufa kwa Aids! Tena the coming is a Field Marshall, Jeneral wa nyota tano..
Huyo jamaa alikuwa ni Bedui hataree..
Hayo ndo huwa nawaambia kila cku tukiwa kijewen! Kwanza kabisa, Shinyanga vijijn hawajawai kuingia tano bora kitaifa kwenye masomo ya uraia iwe Maarifa ya Jamii au Civics au hata Ds..Sasa hivi WATANZANIA wengi wamekwisha amka na wameshatambua kwa mapana na marefu mambo yaliyokuwa yanafanyika kwa wakati uliopita!
Ikitokea raia amefanikiwa kutambulika serikalini au askari amefikia cheo cha kijeshi kitakachomuwezesha kutambulika serikalini, huwa kuna jina la kidiplomasia ambalo huwa wanatumia kwa raia pamoja na askari wanaotambulika serikalini.
Pia huwa ni ushauri nasaha kwa familia za raia na askari wanaotambulika, kuajiriwa katika kampuni za kibiashara zinazomilikiwa na serikali "Commercial Enterprises" ili kuongeza nafasi ya ajira kwa watu wengine kwa upande wa serikali za mitaa na tawala za mikoa "Local Government Authorities" pamoja na serikali kuu "Government".
Hata jamii ya diaspora ndiyo huwa inajengeka kwa mtindo huo! Kwahiyo sasa hivi WATANZANIA wengi ndiyo wanaishi kwa namna hiyo.
Hata OMANI inawezekana kwenda kuishi na kufanya kazi bila ya kuwa na bughuza yoyote, ikitokea mhusika amekubaliana na tamaduni za taifa husika.
Pia jamii inayotambulika serikalini ndiyo huwa mahususi kujishughulisha na siasa za kitaifa popote pale duniani.
Kalamu ya wino mwekundu inatumika kutolea hukumu na kiongoz wa mahakama kuu, kiongozi wa gereza na Field Marshall. Kalamu ya wino mweusi hutumika kutengua hukumu zote zilizoandikwa kwa wino mwekundu..Ukiachana na nafasi za upendeleo ambazo FIELD MARSHALL huwa anapata kutoka serikalini kama kuuziwa vitu vya thamani, magari na nyumba za serikali, kitu kingine ambacho huwa hawasemi ~ FIELD MARSHALL huwa ana ofisi yake binafsi katika ofisi za ikulu.
Pia FIELD MARSHALL huwa anapata nafasi ya UWAZIRI UKUU katika moja ya vizazi vyake, kuanzia WATOTO hadi KILEMBWEKEZA. Yaani kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], FIELD MARSHALL lazima atoe WAZIRI MKUU katika moja ya vizazi vyake.
Sasa hivi sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] zimeongeza ile idadi ya wanafunzi wenye sifa na vigezo vya kuweza kuongoza na kuwa askari wa JESHI LA MAGEREZA kutoka ile idadi ya wanafunzi watano [5] bora iliyokuwa awali hadi wanafunzi sita [6] bora.Hayo ndo huwa nawaambia kila cku tukiwa kijewen! Kwanza kabisa, Shinyanga vijijn hawajawai kuingia tano bora kitaifa kwenye masomo ya uraia iwe Maarifa ya Jamii au Civics au hata Ds..
Hawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI waliofanikiwa kubaki TANZANIA, serikali za mwanzo ziliwadekeza vibaya. Kwani wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI waliohamia KENYA wanafanya vizuri sana katika masomo ya SHULE YA MSINGI pamoja na SHULE YA SEKONDARI.Mtu wa kwanza kushika nafasi za juu kwenye masomo ya uraia kutoka Shinyanga vijijn alikuwa ni Bob Makan na alishika nafas ya nane..
Hivyo Shinyanga vijijn hawajawai kutoa rpo wa magereza tangu muunganiko wa Tanganyika na Zanzibaa! Shinyanga vijijn ni watu wanaopenda dezo, mteremko au kitonga na huwa ni wavivu hata darasani. Wapo kama wahutu..
Kitu cha pili, kabla ya serikal kuamua kununua vyama vya Tanu na Asp mwaka 1975, Ilifikia maamuzi ya kumuondoa Muingereza mwaka 1972 kwa kumlipa fidia ya bilioni saba za Kitanzania..
Kwahiyo Tanzania ni tajiri sanaa na kipindi cha miaka ya tisini ilifanikiwa kununua serikal ya Naija. Saivi ukiwa Naija, had mabalozi wa nyumba kumi ni Watanzania.. ๐
FIELD MARSHALLS huwa wanalipwa mishahara mikubwa kuliko RAIS WA NCHI na ikitokea taifa limefanikiwa kupata FIELD MARSHALL, huyo ndiyo anakuwa raia namba moja na raia namba mbili anakuwa RAIS WA NCHI.Kalamu ya wino mwekundu inatumika kutolea hukumu na kiongoz wa mahakama kuu, kiongozi wa gereza na Field Marshall. Kalamu ya wino mweusi hutumika kutengua hukumu zote zilizoandikwa kwa wino mwekundu..
Kalamu ya wino wa njano hutumika katika makubaliano yote ya kisheria na Kalamu ya wino mweusi hutumika kuvunja makubaliano yote ya kisheria..
Kalamu ya wino wa bluu hutumika darasani na ofisini! Lakin majesh ya ulinz huwa wanatumia karamu ya wino wa bluu katika kusaini makubaliano ya ajira. Hapa serikal ina sababu yake..
Kalamu ya kijani ina kaz yake! Inatumika na Rais, lakini Field Marshall ana uwezo wa kutumia Kalamu za wino wowote anapokua kwenye majukumu yake ya kikaz..
Kwahiyo Field Marshall ni mtu mkubwa na kisheria huwa anazaa na askari wa majesh yote akishafikisha cheo cha kuanzia Acp au Kanal.. ๐
Huwa ipo hivyo hata kwa upande wa majeneral wa kijesh, askari aliyeshika namba sita kitaifa anakuwa reserve na mda wowote anaweza kupanda cheo na kufikia level ya uJeneral endapo idadi ya majeneral itakuwa haba jeshini..Sasa hivi sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] zimeongeza ile idadi ya wanafunzi wenye sifa na vigezo vya kuweza kuongoza na kuwa askari wa JESHI LA MAGEREZA kutoka ile idadi ya wanafunzi watano [5] bora iliyokuwa awali hadi wanafunzi sita [6] bora.
Wameongeza hiyo idadi hadi kufikia sita [6] bora kutokana na sababu za kibinadamu na kijamii ~ kama vifo na magonjwa ambayo yatasababisha askari kushindwa kumudu majukumu yake akiwa mahala pakazi.
Kwahiyo sasa hivi askari magereza aliyefanikiwa kushika nafasi ya sita [6] kitaifa katika masomo ya uraia anakuwa na sifa ya kuwa askari magereza na kuongoza JESHI LA MAGEREZA. Hata ile orodha ya wanafunzi bora waliorisiti katika masomo ya uraia kama MAARIFA YA JAMII, CIVICS pamoja na DEVELOPMENT STUDIES inafanya kazi katika uongozi wa JESHI LA MAGEREZA.
Ali Hassan Joho amefanikiwa kupata mtoto mwenye sifa ya ujeneral, tena alishika nafas ya tatu kitaifa. Yale maisha ya kihutu yamewaponza sanaa watu wa Shinyanga vijijn na itaenda kuwaponza watu wa Kishapu, hasa Bubiki..Hawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI waliofanikiwa kubaki TANZANIA, serikali za mwanzo ziliwadekeza vibaya. Kwani wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI waliohamia KENYA wanafanya vizuri sana katika masomo ya SHULE YA MSINGI pamoja na SHULE YA SEKONDARI.
Sasa hivi hata mtoto wa RAILA ODINGA [the late] alifanikiwa kuingia tano [5] bora kitaifa katika masomo ya ujumla na miaka ijayo atafanikiwa kuja kuwa JENERALI WA JESHI LA ULINZI.
Wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI waliohamia KENYA walifanikiwa kubadilika na kuachana kabisa na falsafa za kihutu na sasa hivi wanaenda MALI.
Watanzania waliohamia mataifa ya Kusin walikuwa na akili nyingi, hata Lesotho ipo Tanzania na baada ya Nelson Mandela kufanikisha uhuru wa Afrika ya Kusin alitoa Lesotho kwa ajili ya taifa la Tanzania. Kwahiyo hata Lesotho ipo upande wa Tanzania kama ilivyo Malawi.. ๐TANZANIA inahudumia mataifa mengi, hata AFRIKA YA KUSINI ipo kwenye orodha na viongozi wake wa kitaifa wanahudumiwa na TANZANIA.
Pia kuna baadhi ya watanzania waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi na walifanikiwa kujijenga kiuchumi, maana TANZANIA inahudumia watu wengi.
Majeshin ndo shule inatumika zaid kuliko mahala popote..FIELD MARSHALLS huwa wanalipwa mishahara mikubwa kuliko RAIS WA NCHI na ikitokea taifa limefanikiwa kupata FIELD MARSHALL, huyo ndiyo anakuwa raia namba moja na raia namba mbili anakuwa RAIS WA NCHI.
FIELD MARSHALL huwa analipwa mishahara mingi, ikiwemo TUME YA MAADILI YA TAIFA kutokana na kufanikiwa kuongoza mara tatu kitaifa! Pesa ya matunzo tangia pale alipofanikiwa kuongoza kwa mara ya tatu mtawaliwo na mshahara wa pili unakuwa ni kutoka JESHI LA POLISI endapo atakapokuwa amefanikiwa kutimiza miaka thelathini na tano [35].
Pia mshahara wa tatu ni kutoka JESHI LA ULINZI [JWTZ] pale atakapokuwa ametimiza miaka arobaini [40] na kuweza kwenda mafunzo ya kijeshi na hii ni kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].
Mishahara yote huwa ina makato na mafao yake hadi mhusika atakapostaafu akiwa na miaka themanini [80]. Lakini pesa ya matunzo itaendelea hadi kizazi cha tatu, maana inakuwa ni pesa iliyotokana na ufaulu wa masomo ya SHULE YA MSINGI pamoja na SHULE YA SEKONDARI kutoka BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA].
Haya yote wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI wanayafahamu, lakini kwa kuendelea kuamini ile falsafa ya kihutu wamejikuta wanadidimia kila siku na pia ni jamii inayopenda starehe sana.
Shinyanga vijijn walihamia visiwan bila kufata utaratibu! Wamejaa sanaa kwenye visiwa vya Carucao, St Martin, Trinidad and Tobago na St Lucia lakin wengi wao hawana kaz za kueleweka sababu walihamia huko wakiwa hawatambulik na serikali..Zamani fursa zilikuwa nyingi na Shinyanga vijijn ndo walikuwa wananufaika na fursa zilizokuwa zinapatikana serikalin. Saivi wataisoma namba kwa kirumi..
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI, majukumu ya kifamilia huwa hawataki na walishauriwa na wazungu kama wameshindwa kufanya vizuri kitaifa katika masomo ya darasani basi wajikite kwenye michezo.
Hapo walidanganywa na walikuwa wanawatumia wakosovo kwenye kupata ushauri wa maswala ya kigeni. Badala ya kutulia na familia moja na kusomesha kwa bidii, wao walikuwa wanazaa na kusambaza watoto kabla ya umri tena kwa watu baki..
Nyamka alipewaga kiwanda cha Tanganyika Peckers, Old Shinyanga kwa bei ya bwelele, lakini walishindwa kukinunua na hela walikuwa nazo. Saivi hawana kitu baada ya kutumia pesa nyingi kwenye michezo na kupeleka watoto wao kwenda na kuish Ulaya.. ๐Huko walijikuta wametumia pesa nyingi, kupeleka watoto wao kwenye shule za michezo pamoja na ada za usajili walikuwa wanalipia wao wenyewe.
Shinyanga vijijn wanacheza michezo kwenye timu za taifa za Kameruni, sababu mke wa Rais Paul Biya ni mtu wa Shinyanga vijijn kutoka kijij cha Nindo. Kwahiyo shinyanga vijijn walifanya kuhamia na kuwekeza nchini Kameruni kutokana na sababu hiyo.. ๐FIELD MARSHALLS huwa wanalipwa mishahara mikubwa kuliko RAIS WA NCHI na ikitokea taifa limefanikiwa kupata FIELD MARSHALL, huyo ndiyo anakuwa raia namba moja na raia namba mbili anakuwa RAIS WA NCHI.
FIELD MARSHALL huwa analipwa mishahara mingi, ikiwemo TUME YA MAADILI YA TAIFA kutokana na kufanikiwa kuongoza mara tatu kitaifa! Pesa ya matunzo tangia pale alipofanikiwa kuongoza kwa mara ya tatu mtawaliwo na mshahara wa pili unakuwa ni kutoka JESHI LA POLISI endapo atakapokuwa amefanikiwa kutimiza miaka thelathini na tano [35].
Pia mshahara wa tatu ni kutoka JESHI LA ULINZI [JWTZ] pale atakapokuwa ametimiza miaka arobaini [40] na kuweza kwenda mafunzo ya kijeshi na hii ni kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].
Mishahara yote huwa ina makato na mafao yake hadi mhusika atakapostaafu akiwa na miaka themanini [80]. Lakini pesa ya matunzo itaendelea hadi kizazi cha tatu, maana inakuwa ni pesa iliyotokana na ufaulu wa masomo ya SHULE YA MSINGI pamoja na SHULE YA SEKONDARI kutoka BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA].
Haya yote wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI wanayafahamu, lakini kwa kuendelea kuamini ile falsafa ya kihutu wamejikuta wanadidimia kila siku na pia ni jamii inayopenda starehe sana.
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI, majukumu ya kifamilia huwa hawataki na walishauriwa na wazungu kama wameshindwa kufanya vizuri kitaifa katika masomo ya darasani basi wajikite kwenye michezo.
Huko walijikuta wametumia pesa nyingi, kupeleka watoto wao kwenye shule za michezo pamoja na ada za usajili walikuwa wanalipia wao wenyewe.
Kipindi kile Shinyanga Mjini kulikuwa kuna watu, saivi hamna kitu! Pale Town school kulikuwa kuna wakina Elnaike Elias, kila wiki lazima taarifa itoke ubalozi wa Libya na Swideni!
FIRST LADY wa TAIFA LA KAMERUNI ni mwenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].Shinyanga vijijn wanacheza michezo kwenye timu za taifa za Kameruni, sababu mke wa Rais Paul Biya ni mtu wa Shinyanga vijijn kutoka kijij cha Nindo. Kwahiyo shinyanga vijijn walifanya kuhamia na kuwekeza nchini Kameruni kutokana na sababu hiyo.. ๐
Huyo first lady yupo kama mhutu, Watoto wake wa kike walikuwa Shinyanga Mjini kipindi flan na walikuwa Kizumbi pale..FIRST LADY wa TAIFA LA KAMERUNI ni mwenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].
Very good! Kutambulika sio kazi ya haraka haraka ndani ya miezi tisa tu baada ya kujifungua inakua tayari mwanamke ametambulika? Inatakiwa kuzaa watoto kuanzia watatu..Unajua zile sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] walikuwa hawazifuati kabisa wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI.
Lakini raia wanaotambulika ndiyo wanatakiwa kuwa diaspora na kufanya kazi katika kampuni za kibiashara zinazomilikiwa na serikali.
Sasa TRINIDAD AND TOBAGO, CURAรAO, SAINT MARTIN na SAINT LUCIA ni visiwa vinavyomilikiwa na serikali na raia wanaopaswa kuishi na kufanya kazi kwa mujibu wa sheria ni raia wanaotambulika na serikali ya TANZANIA.
Ikitokea tofauti na hapo, basi inakuwa ni jukumu la raia husika na siyo serikali ya TANZANIA. Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI walikuwa wanafanya makosa ya kisheria.
Halafu kitu kingine, sasa hivi sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] wameziboresha ili kuweka kila kitu sawa kwa upande wa wanawake ambao siyo SE FAIRE VALOIR, wanatakiwa kuzaa na wanaume wanaotambulika serikalini angalau watoto watatu [3] ili na wao wapate fursa ya kutambulika serikalini ~ kwa nia ya kujenga familia na siyo kuzaa kiholela holela.
Saivi mtakuwa mnajua hata namna ya kujadili vizuri! Kambona na Nyerere wote walikuwa na makosa kwa upande wa kila mmoja, lakini taifa kama taifa likasimama katika muhimir wake. It's over and topic is closed.. ๐Kwani Tanzania ya Kambona ni ipi na ya Nyerere ni ipi