Sasa hivi hali imebadilika ndani ya VYOMBO VYA DOLA, watu wenye mapenzi mema ya nchi wameshaanza kuona ukweli na hali ya kitaifa kwa ujumla.
Na sasa hivi ndani ya VYOMBO VYA DOLA kuna vuguvugu la mabadiliko - aidha tuwe na mfumo wa kisiasa kama CHINA π¨π³ au tuwe na mfumo wa kisiasa kama MAREKANI πΊπΈ.
Wakichagua mfumo wa kisiasa kama CHINA π¨π³ - CCM itaendelea kupeta na SERENGETI yaani CHUI ndio watakaoendelea kunufaika zaidi na zaidi na kuna jamii nyingine zitaendelea kuwa masikini na duni sana.
Wakichagua mfumo wa kisiasa kama MAREKANI πΊπΈ - kwa sasa hivi hakuna chama cha kisiasa chenye uwezo na hali ya kuiondoa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βοΈ madarakani. Chama cha kisiasa chenye nafuu ni CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ, vyama vingine ni SACCOS tu!
Sasa kwanini iwe CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ na sio vyama vingine kama NCCR - MAGEUZI au TLP au UDP au CHAUMA au CHADEMA au JAHAZI - ASILIA au ACT - WAZALENDO?
Majibu yake ni haya - SIASA ni huduma za kijamii na mahusiano ya watu, sio kupiga porojo tu! Na watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ ndio wamiliki halali wa hospitali ya REGENCY iliyopo DAR ES SALAAM. Hii ni sekta ya AFYA.
Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ ndio wamiliki halali wa timu za mpira wa miguu za SIMBA SC ya DAR ES SALAAM, COASTAL UNION FC ya TANGA, MTIBWA SUGAR FC ya MOROGORO, BIASHARA UNITED MARA ya MARA na KAGERA SUGAR FC ya KAGERA. Hii ni sekta ya MICHEZO na BURUDANI.
Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ ndio wamiliki halali wa viwanda vya SAYONA INDUSTRIES, AZANIA GROUP, KIOO INDUSTRY, MMM STEEL, TANGA FRESH, TANGA PHARMACEUTICAL & PLASTIC LTD na kwa kumalizia hivi ni viwanda kwa uchache tu, vipo viwanda vingine vingi ambavyo vinatoa ajira kwa watanzania. Hii ni sekta ya VIWANDA na BIASHARA.
Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ ndio wamiliki halali wa kampuni ya MWANANCHI COMMUNICATIONS LTD na vituo vya redio kama KISS FM na WASAFI MEDIA. Hii ni sekta ya HABARI.
Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ ndio wamiliki halali wa HOTELI za KEMPINSKI na SEACLIFF pamoja na hoteli nyingine nyingi za kitalii. Hii ni sekta ya UTALII.
Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ ndio wamiliki halali wa kampuni ya mawasiliano ya TIGO TANZANIA πΉπΏ. Hii ni sekta ya MAWASILIANO na UCHUKUZI.
Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ ndio wamiliki halali wa shule za KEMEBOS ya KAGERA, UJENZI ya IRINGA, ANDERLEK RIDGES ya SHINYANGA na ST MATHEWS ya DAR ES SALAAM. Hii ni sekta ya ELIMU.
Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ ndio wamiliki halali wa chuo kikuu cha ECKERNFORD TANGA UNIVERSITY. Hii ni sekta ya ELIMU YA JUU.
Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ ndio wamiliki halali wa benki za AKIBA COMMERCIAL BANK [ ACB ], DIAMOND TRUST BANK [ DTB ] na AZANIA BANK. Hii ni sekta ya FEDHA.
Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ ndio wamewekeza nchi jirani za AFRIKA YA MASHARIKI na KUSINI ili kudumisha UJIRANI MWEMA.
Sasa, hivi VYAMA VINGINE VYA KISIASA vina miliki nini ambavyo ni MSAADA KWA JAMII? Jibu ni hakuna! Hata dispensari hawana!!
Wengine walianza kutumia hadi timu ya SIMBA SC π¦ kwenye kampeni zao za kisiasa, wakati hiyo timu ni ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ wala sio timu ya CHADEMA βοΈ wala ACT - WAZALENDO ποΈ.
Hivi VYAMA VINGINE VYA KISIASA vinamiliki nini zaidi ya kukusanya ruzuku na kupiga porojo? Jibu ni hakuna! Hata kiwanda cha maji ya kunywa hawana!!
Sasa hiyo DOLA YA TANZANIA πΉπΏ wataipata vipi? Jibu ni hakuna! Wanapoteza muda tu au ni sehemu ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βοΈ kupoteza malengo ya mabadiliko.
Kwa sababu kwa upande SERIKALI yoyote ile, kipindi cha UCHAGUZI MKUU huwa tunasema SERIKALI inakuwa ni AUTO - PILOTED GOVERNANCE, kunakuwa hakuna mamlaka kamili ya SERIKALI na BUNGE tayari linakuwa limeshavunjwa. Na baada ya MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU kutangazwa, CHAMA CHA SIASA kilichoshinda UCHAGUZI MKUU kinalazimika kuendesha SERIKALI KUU kwa fedha za chama mpaka pale bajeti ya SERIKALI KUU itakapopangwa na kuanza kutumika rasmi.
Sasa swali lingine linakuja - tofauti na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βοΈ kuna chama gani kingine cha kisiasa ambacho kinaweza kuhudumia matumizi ya SERIKALI kwa kipindi cha miezi saba [ 7 ]? Yaani kuanzia mwezi NOVEMBA pale ambapo matokeo ya UCHAGUZI MKUU yanapotangazwa hadi mwezi JULAI pale ambapo bajeti ya SERIKALI KUU inapokuwa inajadiliwa na kuanza kutumika?
Ni chama gani cha kisiasa ambacho kinaweza kuhudumia matumizi ya SERIKALI kwa kipindi cha miezi saba [ 7 ]? Jibu ni hakuna! Labda CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ, vingine sidhani! Kwa sababu ukiondoa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βοΈ na CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ hakuna chama kingine cha kisiasa chenye vitu [ ASSETS ] vyenye thamani ya kuanzia shilingi trilioni moja za kitanzania [ 1,000,000,000,000 ].
Na kwanini CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ kilipoteza mvuto au umaarufu wa kisiasa kwa miaka kumi [ 10 ] iliyopita? Jibu ni hili - hawa wamiliki halali wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ waliamua kushindana na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βοΈ kuwekeza nje ya nchi na wakajisahau kwa upande wa nyumbani, ndio ikawa chanzo cha kuporomoka. Lakini CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ bado kipo na kina nguvu kwenye baadhi ya maeneo ya TANZANIA πΉπΏ, ndio maana kina wabunge wa kuchaguliwa wengi ukiondoa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βοΈ. CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ kina wabunge watatu [ 3 ], ACT - WAZALENDO ποΈ kina wabunge watatu [ 3 ] na wengine wana mbunge mmoja [ 1 ] tu ππ.
Na kwa upande wa VYOMBO VYA DOLA hasa POLISI, JWTZ, TISS na NSA na wao walikuwa miongoni mwa wale waliotaka kutumia vitu vya MWASHITA yaani SIMBA π¦ kwa shughuli zao wanazozifahamu wenyewe, lakini MWASHITA yaani SIMBA π¦ wakagoma kutumika.
Kwahiyo CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βοΈ kitaendelea kupeta na kuwepo madarakani kwa kipindi cha muda mrefu kutokana na sababu tajwa hapo juu.
Na kitu kingine ambacho nilikuwa nimesahau kuwaeleza ni kuwa - TISS wanataka tuwe na mfumo wa kisiasa kama MAREKANI πΊπΈ lakini waliambiwa wasimamie uchaguzi mdogo hata wa majimbo ya MUHAMBWE na BUHIGWE wakashindwa! Kwa sababu wao hata kibanda cha TIGO PESA hawana!!
Sasa hizo pesa za kusimamia uchaguzi mdogo watatoa wapi? Jibu hata wao hawafahamu ππ
Wao [ TISS ] wanategemea pesa kutoka SERIKALI KUU kufanya shughuli zao, ambayo hiyo SERIKALI KUU inaongozwa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βοΈ. Kwahiyo [ TISS ] hawawezi kufanya maamuzi yoyote pasipo ruksa ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βοΈ.
Na wao walipewa ushauri mzuri tu - kuwa waende kufanya makubaliano ya kusimamia makumpuni ya kibiashara ya MWASHITA yaani SIMBA ili waweze kupata FEDHA ya kujiendesha wenyewe lakini MWASHITA yaani SIMBA wakawa wamegoma kwa sababu na wao yaani MWASHITA yaani SIMBA wana malengo yao.
Kwa hali hiyo, CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βοΈ kitaendelea kupeta na kuwepo madarakani kwa kipindi cha muda mrefu sana. Na hiyo ndio SIASA YA TANZANIA πΉπΏ na madhaifu yake.