Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Yaani huo uwekezaji unaofanyika nje ya nchi na hao Simba na Serengeti unafaida Kwa Tanzania?na Pia serikali ya baadhi ya nchi kuwa Chini ya hao kama unavyosema unafaida Kwa Tanzania?au ni Kwa maslahi Yao Tu.
 
Yaani huo uwekezaji unaofanyika nje ya nchi na hao Simba na Serengeti unafaida Kwa Tanzania?na Pia serikali ya baadhi ya nchi kuwa Chini ya hao kama unavyosema unafaida Kwa Tanzania?au ni Kwa maslahi Yao Tu.
Ni kwa MASILAHI yao tu!
 
Yaani huo uwekezaji unaofanyika nje ya nchi na hao Simba na Serengeti unafaida Kwa Tanzania?na Pia serikali ya baadhi ya nchi kuwa Chini ya hao kama unavyosema unafaida Kwa Tanzania?au ni Kwa maslahi Yao Tu.


Jaribu kuangalia hiyo PICHA hapo juu. Hiyo ni PICHA ambayo inamuonesha HAYATI MWALIMU na MKEWE wakiwa wamekaa "LOW TABLE" na WAZUNGU wakiwa wamekaa "HIGH TABLE" kwenye moja ya MKUTANO WA TANU, mwaka 1958.


Hiyo PICHA hapo juu inamuonesha HAYATI MWALIMU mwenyewe akisaini MAKUBALIANO YA KUPATA UHURU kutoka kwa UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§, mwaka 1960.


Hiyo PICHA nyingine inaonesha HAYATI MWALIMU mwenyewe akiwa na BARAZA LA MAWAZIRI. Hii ikiwa ni baada ya kupata UHURU kutoka kwa UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§.

Kwahiyo HAYATI MWALIMU alianza kujijenga tangu siku nyingi sana, yaani tangu mwaka 1961 kupitia CHAMA CHA TANU.

CHAMA CHA TANU kilikuwa na WATU wengi na mchanganyiko kutoka kila tabaka, kila kabila na hata rangi.

Kwa kipindi hicho JAMII YA SERENGETI yaani CHUI walikuwa bado hawajakuwa na NGUVU na wala walikuwa hawana MAKUCHA. Lakini kwa kadri siku zinavyozidi kwenda, JAMII YA SERENGETI yaani CHUI kupitia kwa HAYATI MWALIMU mwenyewe ilianza kujijenga taratibu.

Hadi kufikia mwaka 1977, CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ kilipatikana baada ya MUUNGANO WA VYAMA VYA TANU NA AFRO SHIRAZI.

JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ilikuwa na NGUVU sana na waliondoa yale makando kando yote yaliyokuwa kwenye CHAMA CHA TANU na baadhi ya HISTORIA za WATU wengine zilifutwa kwa makusudi kabisa na kumtanganza rasmi HAYATI MWALIMU kuwa ni MUASISI WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ.

JAMII YA SERENGETI yaani CHUI kupitia kwa HAYATI MWALIMU mwenyewe walihodhi na kushikilia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ mpaka leo.

Hali hii inataka kufanana na JAMII YA WAKIKUYU kutoka KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ, kipindi ambapo JOMO KENYATTA aliyekuwa MWENYEKITI WA CHAMA CHA KANU akikabidhiwa NCHI kutoka kwa UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§.


JAMII YA WAKIKUYU na wenyewe wamejijenga hivyo hivyo kama ilivyo kwa JAMII YA SERENGETI yaani CHUI. Hawa WAKIKUYU ndio DEEP STATE OF THE GOVERNMENT kwa upande wa SERIKALI YA KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ.

Lakini baada ya kifo cha HAYATI JOMO KENYATTA, CHAMA CHA KANU kiliongozwa na aliyekuwa MAKAMU WA RAIS WA SERIKALI YA WATU WA KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ kwa wakati huo, HAYATI DANIEL ARAP MOI.


HAYATI MOI aliongoza NCHI YA KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ kwa kipindi kirefu sana, hadi pale vuguvugu la mabadiliko ya kisiasa lilipotokea na kusababisha anguko la CHAMA CHA KANU. Lakini SERIKALI YA WATU WA KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ iliendelea kubaki kwa WAKIKUYU ambao ndio waliomuweka madarakani, RAIS MSTAAFU MWAI KIBAKI.


Baada ya RAIS MSTAAFU MWAI KIBAKI, alikuja RAIS UHURU KENYATTA ambaye ndiye MTOTO WA RAIS WA KWANZA WA SERIKALI YA WATU WA KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ.


Kwahiyo kwa kipindi chote hicho, SERIKALI YA WATU WA KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ imeongozwa na JAMII MBILI kwa kupitia VYAMA VYA KISIASA tofauti tofauti. JAMII hizo ni WAKALENJINI na WAKIKUYU ambao ndio wanaunda ile JAMII YA MLIMA KENYA.


JAMII YA MLIMA KENYA ndio inayotawala NCHI YA KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ kwa kutumia VYAMA VYA KISIASA tofauti tofauti.

Sasa hali hii ni tofauti kabisa kwa upande wa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ! Kwa upande wa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ, JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ndio wameshikilia SIASA ZA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ na wamejijenga kweli kweli - iwe ni KIUCHUMI na hata KISIASA.

Jamii nyingine ambazo zinafuata nyayo za JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ni JAMII YA WATU WA PWANI na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Hii JAMII YA WATU WA PWANI inajijenga kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ na wamefanikiwa pakubwa sana kwa sababu ndio JAMII iliyotoa VIONGOZI wengi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ.

Na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU walijijenga, wamejijenga na wanaendelea kujijenga kupitia BIASHARA na wamiliki VYAMA VYA KISIASA ambavyo vipo "ACTIVE" na vinashiriki CHAGUZI mbali mbali.

Lakini yote kwa yote, JAMII yenye NGUVU YA KISIASA NA KIUCHUMI ni JAMII YA SERENGETI yaani CHUI. Hao ndio INJINI YA SIASA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI na TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwa ujumla.
 
Kwa hiyo kitu gani kifanyile ili hii nguvu ya uchumi ya hao Simba na Serengeti itumike Kwa manufaa ya Tanzania?au Kwanini hao wasiunganishwe pamoja kujengaTanzania kiuchumi zaidi?
 

Ila bro kwa porojo hujachacha. Fahamu kuwa CCM sio chama cha kizazi hiki, CCM ni chama outdated yaani Simba.
 
Tunahitaji ushahidi wa Serengenti kuwa ndiyo inashikilia nchi. Maneno matupu bila ushahidi usiotiliwa shaka ni uonevu.
 
Kwa hiyo kitu gani kifanyile ili hii nguvu ya uchumi ya hao Simba na Serengeti itumike Kwa manufaa ya Tanzania?
Yaani ni KITU ambacho hakitawezekana kabisa kabisa!!! Kwa sababu hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU walishakula YAAMINI ya kutojiunga na CHAMA CHA MAPINDUZI, ijapokuwa kuna JITIHADA za kutaka kuwarudisha kwenye CHAMA TAWALA.

Lakini hao MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU hawawezi kula MATAPISHI yao, kwa sababu walisha kula YAAMINI ya kutojiunga na CHAMA CHA MAPINDUZI kutokana na MAMBO waliyoyashuhudia wao.

Hivi unafahamu kuwa baada ya BIBI TITI MOHAMED kutoka GEREZANI, mwaka 1990/91 - ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU ndio waliompeleka BIBI TITI MOHAMED kwenda kuishi AFRIKA YA KUSINI πŸ‡ΏπŸ‡¦.


Yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU waliamua kumsaidia BIBI TITI MOHAMED kwenda kuishi JOHANNESBURG, AFRIKA YA KUSINI πŸ‡ΏπŸ‡¦ mpaka pale UMAUTI ulivyomkuta mwaka 2000.

Au kwa lugha nyepesi tunaweza kusema hivi - wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wakiongozwa na MISTER ABILITY waliamua kuchukua JUKUMU la kumsaidia na kumlea BIBI TITI MOHAMED mpaka pale UMAUTI ulivyomkuta mwaka 2000.

Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁waliguswa sana na MASWAHIBU yaliyomkuta BIBI TITI MOHAMED na WASHITAKIWA wengine wa KESI ZA UHAINI.

BIBI TITI MOHAMED na familia yake yote walifanyika kuwa ni sehemu ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁 tangu mwaka 1992 na wanapata matuzo yote kama FEDHA ZA KUJIKIMU, MATIBABU pamoja na ELIMU.

Sasa kutokana na UDHARIMU uliokuwa unafanyika kwa kipindi hicho, wale MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU walikula YAAMINI ya kutojiunga na CHAMA CHA MAPINDUZI, wao na vizazi vyao.

Tunaweza kusema hivi - MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU ndio WAPINZANI HALISI, wengine ni WAGANGA NJAA tu.
au Kwanini hao wasiunganishwe pamoja kujengaTanzania kiuchumi zaidi?
Hawawezi!! Kwa sababu kuna baadhi ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁 waliopitisha maadhimio hayo tayari walishafariki. Kwahiyo itabaki kama ilivyo.
 
Ila bro kwa porojo hujachacha. Fahamu kuwa CCM sio chama cha kizazi hiki, CCM ni chama outdated yaani Simba.
Ni kweli CHAMA CHA MAPINDUZI sio CHAMA cha kizazi hiki, lakini hauwezi ukabeza uwepo wake. CHAMA CHA MAPINDUZI ni CHAMA DUME na bado kina NGUVU YA KUSHINDA CHAGUZI mbali mbali.
 
Tunahitaji ushahidi wa Serengenti kuwa ndiyo inashikilia nchi. Maneno matupu bila ushahidi usiotiliwa shaka ni uonevu.
Huwa iko hivi - USHAHIDI wa SERENGETI yaani CHUI kushikilia NCHI unaweza kuuona kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ.

JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ndio wenye CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ kupitia kwa HAYATI MWALIMU mwenyewe.

Na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ ndio CHAMA chenye DOLA YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.

Yaani CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ ni CHAMA DOLA au kwa lugha nyingine tunaweza kusema ni CHAMA TAWALA.

Kwahiyo DOLA YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ambayo ndio SERIKALI inaongozwa na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ.
 
Asante. Charles mandela.unasikika vzr kabsa.ila uwekezaj mkubwa wa chui na simba nimeona umeegemea sana kwenye transport na sanaa na michezo uwekezaj mwingine ujaulezea kiivo.
 
Ni kweli CHAMA CHA MAPINDUZI sio CHAMA cha kizazi hiki, lakini hauwezi ukabeza uwepo wake. CHAMA CHA MAPINDUZI ni CHAMA DUME na bado kina NGUVU YA KUSHINDA CHAGUZI mbali mbali.

Ni kweli inaweza kushinda chaguzi mbalimbali ila ni kwa kutegemea ubovu wa katiba hii. Kwenye uchaguzi halali haina uwezo tena wa kushinda zaidi ya 50%, na haitakaa iweze tena kushinda zaidi ya hapo. Huo udume wake sio wa CCM kama chama cha siasa, bali nguvu za dola zilizo ndani cheo cha mwenyekiti wao yaani urais.

Hii kulazimisha kukaa madarakani kwa shuruti ndio inachangia sasa watu wengi kuendelea kupuuza box la kura. Na inavyoendelea hivi box la kura litaendelea kupuuzwa hadi kwenda kwenye hatua ya machafuko. Hivyo hao sijui Mwasita au simba 🦁, waambie hayo matambiko na ushirikina wao dhidi ya nchi hii utaipeleka pabaya, kwani hiki chama chao kimefikia mwisho.
 
Nyerere alikuwa haambuliki, akiamini anajua saaana kuliko yeyote, ujamaa na kujitegemea usingeipeleka Tanzania popote, labda ingekuwa mchanganyiko na ubepari
 
Asante. Charles mandela.unasikika vzr kabsa.ila uwekezaj mkubwa wa chui na simba nimeona umeegemea sana kwenye transport na sanaa na michezo uwekezaj mwingine ujaulezea kiivo.
Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI wamewekeza kila SEKTA, sema SEKTA YA USAFIRISHAJI na SEKTA YA MICHEZO haina madhara ndio maana iko wazi.

Lakini hawa MWASHITA yaani SIMBA na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI, hasa JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ndio hatari zaidi kwa sababu wamefika kila sehemu na wanamiliki MITAJI mikubwa.

MAMBO mengine ni SIRI YA WATAWALA na sio vizuri kujadili kila kitu kwenye MITANDAO YA KIJAMII.
 
Ndio πŸ™πŸ½
Hii kulazimisha kukaa madarakani kwa shuruti ndio inachangia sasa watu wengi kuendelea kupuuza box la kura. Na inavyoendelea hivi box la kura litaendelea kupuuzwa hadi kwenda kwenye hatua ya machafuko.
Huko ndipo tunapoelekea! Kwa sababu sasa hivi kuna mwamko mkubwa sana wa WATANZANIA kuhusu MAMBO YA KISIASA.
Hivyo hao sijui Mwasita au simba 🦁, waambie hayo matambiko na ushirikina wao dhidi ya nchi hii utaipeleka pabaya, kwani hiki chama chao kimefikia mwisho.
Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ni tofauti kabisa na SUKUMA GANG! SUKUMA GANG ni KIKUNDI CHA WATU walio ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI, lakini MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU.
 
Asante. Charles mandela.unasikika vzr kabsa.ila uwekezaj mkubwa wa chui na simba nimeona umeegemea sana kwenye transport na sanaa na michezo uwekezaj mwingine ujaulezea kiivo.
Hivi unafahamu kuwa hao MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wamiliki halali wa HOSPITALI YA REGENCY iliyopo UPANGA, DAR ES SALAAM.
 
Hivi unafahamu kuwa hao MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] ndio wamiliki halali wa HOSPITALI YA REGENCY iliyopo UPANGA, DAR ES SALAAM.
Mkuu nimefuatilia yote uliyoyasema humu, ila Nina swali kwako kati ya hao Simba na chui nani yupo juu zaidi ya mwenzake? Pili unasema ili tutoke tulipo lazima tuitoe CCM ambayo ni chui ambayo ni Dola na ambayo Simba anaungana nao hao chui kwenye kuimiliki CCM. Swali kwako wewe umejitanabaisha kama mmja wa Simba ila je utakubali mtoke ili mambo yaende?
 
Mkuu nimefuatilia yote uliyoyasema humu, ila Nina swali kwako kati ya hao Simba na chui nani yupo juu zaidi ya mwenzake?
Aah! JAMII YA SERENGETI yaani CHUI wapo mbali sana na wanazidi kwenda mbali zaidi! Kwa sababu wanamiliki MITAJI MIKUBWA YA KIBIASHARA.

Hii JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanajaribu jaribu tu! Na kuna baadhi ya WATU walishatabiri mwisho wao na baadhi ya NYIMBO zilitungwa kabisa za kuwaimba hii JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 iliyokuwa inaongozwa na MISTER ABILITY.


Hii NYIMBO iliimbwa na LES WANYIKA na ilikuwa inakwenda kwa JINA LA KASUKU. Hii NYIMBO ilikuwa inamlenga MISTER ABILITY.

Lakini wafanyakazi wengi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU walikuwa wamesoma UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na walikuwa na EXPOSURE YA MAISHA. Kwahiyo walikuwa ni WATU WAJANJA sana.

Kwahiyo mpaka kufikia hapa leo ni MIPANGO ya MWENYEZI MUNGU! Kwa sababu wengi walidhani kuwa hii JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 watakuwa WAMEFILISIKA kufikia miaka 2020.

Lakini ni jambo la kumshukuru MWENYEZI MUNGU kuwa wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU bado wapo na wanaendelea kujijenga KIUCHUMI.
Pili unasema ili tutoke tulipo lazima tuitoe CCM ambayo ni chui ambayo ni Dola na ambayo Simba anaungana nao hao chui kwenye kuimiliki CCM.
Soma vizuri tena! Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU waligoma kujiunga na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ kutokana na UDHARIMU uliokuwa unafanyika kwa kipindi hicho.

Lakini hao MWASHITA yaani SIMBA 🦁 waliamua kusimamia MASILAHI ya TAIFA na sio MASILAHI ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ.
Swali kwako wewe umejitanabaisha kama mmja wa Simba ila je utakubali mtoke ili mambo yaende?
Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 hawana MASILAHI na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ, ijapokuwa kuna JITIHADA za kutaka kuwarudisha kwenye CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ.

Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wakirudi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ wanaweza kuua kabisa UPINZANI kwa sababu hata wao wanamiliki VYAMA VYA KISIASA na vipo ACTIVE na vinashiriki CHAGUZI mbali mbali.

Sasa ikitokea hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wakirudi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ, vile VYAMA VYA KISIASA vinaweza kufa kwa sababu kunakuwa hamna maana ya VYAMA hivyo kuendelea kuwepo.
 
Kuna mahali uliandika kuwa waliingia makubaliano wasijihusishe na siasa Kwa miaka 30, na option ya pili ikawa huo muda ukiisha wakakubaliana kugawana CCM nusu Kwa nusu, ndio maana nikakuuliza je wakigawana nusu Kwa nusu CCM huoni kuwa lengo lao la kuwatoa chui na CCM litakuwa limeishia hapo hata kama wanamiliki vyama vya siasa.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…