Jaribu kuangalia hiyo PICHA hapo juu. Hiyo ni PICHA ambayo inamuonesha HAYATI MWALIMU na MKEWE wakiwa wamekaa "LOW TABLE" na WAZUNGU wakiwa wamekaa "HIGH TABLE" kwenye moja ya MKUTANO WA TANU, mwaka 1958.
Hiyo PICHA hapo juu inamuonesha HAYATI MWALIMU mwenyewe akisaini MAKUBALIANO YA KUPATA UHURU kutoka kwa UINGEREZA [emoji636], mwaka 1960.
Hiyo PICHA nyingine inaonesha HAYATI MWALIMU mwenyewe akiwa na BARAZA LA MAWAZIRI. Hii ikiwa ni baada ya kupata UHURU kutoka kwa UINGEREZA [emoji636].
Kwahiyo HAYATI MWALIMU alianza kujijenga tangu siku nyingi sana, yaani tangu mwaka 1961 kupitia CHAMA CHA TANU.
CHAMA CHA TANU kilikuwa na WATU wengi na mchanganyiko kutoka kila tabaka, kila kabila na hata rangi.
Kwa kipindi hicho JAMII YA SERENGETI yaani CHUI walikuwa bado hawajakuwa na NGUVU na wala walikuwa hawana MAKUCHA. Lakini kwa kadri siku zinavyozidi kwenda, JAMII YA SERENGETI yaani CHUI kupitia kwa HAYATI MWALIMU mwenyewe ilianza kujijenga taratibu.
Hadi kufikia mwaka 1977, CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] kilipatikana baada ya MUUNGANO WA VYAMA VYA TANU NA AFRO SHIRAZI.
JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ilikuwa na NGUVU sana na waliondoa yale makando kando yote yaliyokuwa kwenye CHAMA CHA TANU na baadhi ya HISTORIA za WATU wengine zilifutwa kwa makusudi kabisa na kumtanganza rasmi HAYATI MWALIMU kuwa ni MUASISI WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537].
JAMII YA SERENGETI yaani CHUI kupitia kwa HAYATI MWALIMU mwenyewe walihodhi na kushikilia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] mpaka leo.
Hali hii inataka kufanana na JAMII YA WAKIKUYU kutoka KENYA [emoji1139], kipindi ambapo JOMO KENYATTA aliyekuwa MWENYEKITI WA CHAMA CHA KANU akikabidhiwa NCHI kutoka kwa UINGEREZA [emoji636].
JAMII YA WAKIKUYU na wenyewe wamejijenga hivyo hivyo kama ilivyo kwa JAMII YA SERENGETI yaani CHUI. Hawa WAKIKUYU ndio DEEP STATE OF THE GOVERNMENT kwa upande wa SERIKALI YA KENYA [emoji1139].
Lakini baada ya kifo cha HAYATI JOMO KENYATTA, CHAMA CHA KANU kiliongozwa na aliyekuwa MAKAMU WA RAIS WA SERIKALI YA WATU WA KENYA [emoji1139] kwa wakati huo, HAYATI DANIEL ARAP MOI.
HAYATI MOI aliongoza NCHI YA KENYA [emoji1139] kwa kipindi kirefu sana, hadi pale vuguvugu la mabadiliko ya kisiasa lilipotokea na kusababisha anguko la CHAMA CHA KANU. Lakini SERIKALI YA WATU WA KENYA [emoji1139] iliendelea kubaki kwa WAKIKUYU ambao ndio waliomuweka madarakani, RAIS MSTAAFU MWAI KIBAKI.
Baada ya RAIS MSTAAFU MWAI KIBAKI, alikuja RAIS UHURU KENYATTA ambaye ndiye MTOTO WA RAIS WA KWANZA WA SERIKALI YA WATU WA KENYA [emoji1139].
Kwahiyo kwa kipindi chote hicho, SERIKALI YA WATU WA KENYA [emoji1139] imeongozwa na JAMII MBILI kwa kupitia VYAMA VYA KISIASA tofauti tofauti. JAMII hizo ni WAKALENJINI na WAKIKUYU ambao ndio wanaunda ile JAMII YA MLIMA KENYA.
JAMII YA MLIMA KENYA ndio inayotawala NCHI YA KENYA [emoji1139] kwa kutumia VYAMA VYA KISIASA tofauti tofauti.
Sasa hali hii ni tofauti kabisa kwa upande wa TANZANIA [emoji1241]! Kwa upande wa TANZANIA [emoji1241], JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ndio wameshikilia SIASA ZA TANZANIA [emoji1241] kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] na wamejijenga kweli kweli - iwe ni KIUCHUMI na hata KISIASA.
Jamii nyingine ambazo zinafuata nyayo za JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ni JAMII YA WATU WA PWANI na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA [emoji881].
Hii JAMII YA WATU WA PWANI inajijenga kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] na wamefanikiwa pakubwa sana kwa sababu ndio JAMII iliyotoa VIONGOZI wengi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537].
Na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU walijijenga, wamejijenga na wanaendelea kujijenga kupitia BIASHARA na wamiliki VYAMA VYA KISIASA ambavyo vipo "ACTIVE" na vinashiriki CHAGUZI mbali mbali.
Lakini yote kwa yote, JAMII yenye NGUVU YA KISIASA NA KIUCHUMI ni JAMII YA SERENGETI yaani CHUI. Hao ndio INJINI YA SIASA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI na TANZANIA [emoji1241] kwa ujumla.