Na wewe hiyo corona itakuua lini??And who believe that nonsense?
Atleast not me!
Mnajificha kwenye "family privacy" kutudanganya?
Afterall who cares?Kafa kwa corona,thats me!
Wewe endelea na "taarifa rasmi za familia" type bullshit....of which you are entitled to!
I agreeNdio mantiki ya hoja yangu. Ingekuwa ugonjwa uko widespread, lazima tungekua tunalia kila siku kwamba tumepoteza majirani, workmates, schoolmates na makaburi ya jumuiya (mass graves) kama Brazil, Mexico na Italy yangekuwepo kila mtaa. Naona kutokuwa na lockdown na kusisitiza kupiga nyungu kumesaidia kutosambaza ugonjwa zaidi. Lakini pia HOFU iliua sana watu
Kenya wamelob hadi CDC huko ilimradi tufanane.
John N. Nkengasong - Cameroonian virologistHuyo Nkengasong ni mkenya vile vile.
Na hiki nciho kinachowasumbua mpaka sasa, kwamba walichukua pesa za WHO, na sharti lake lazima uoneshe takwimu za gonjwa hili. Hii inaawathiri kwa sababu tawimu lzima zitolewe. By the way, haku asolution ya aina moja ya kupambana na ugonjwa kama WHO wnavyotuaminisha. Kila mmoja atumie mbinu anazoona zinamfaa. Maana waliruhusu marekani watumie dozi za malaria kutibu COVID 19 lakini hazijawasaidia lolote, ugonjwa ndio kwanza unasambaa zaidi.Shida ni kwamba walizichukua noti za mabeberu ili kuratibu janga hilo, hivyo wanatafuta mbinu za kuonesha wamezifanzia kazi.
Wenzetu jirani wameanza kuumbuana katika ufisadi wa noti hizo hizo.
Kwa maana fupi ni kuwa janga ni Fursa.
Kwani corona inaua kwa muda gani toka mtu anapokua kapata maambukizi au inasubiri ituue kwa pamoja
Mimi kufa na korona kuna uhusiano gani na wewe?Na wewe hiyo corona itakuua lini??
Lengo janga liondolewe kisayansi sio kiimani na kutotoa data, jumuia ya kimataifa inalengo la kuliondoa sio kuishi nalo hiyo ndio tofauti yetu, takwimu za wazi zitolewe hata kama zitaonyesha zero, mashaka ni lazima kwa jinsi tunavyoshughulika nalo!Wapewe taarifa au lipoti ipi wakati kila siku mheshimiwa rais wetu anasema hakuna korona,sasa wao wanataka waambiwe kuwa kunawagonjwa Millioni sita ndo wajue hiyo ndo taarifa sahihi.
Kule wanakotoa taarifa sahihi kuna jipya gani ? Kuna kitu gani kimebadilika?
Huu ni upuuzi watuache
Tena anaota ndoto za mchanaKuiondoa Corona barani Africa?! Anaota huyo, USA,UK,China wameshindwa kuiondoa Corona itakuwa bara hili lenye huduma za afya za kuungaunga?!
Theories hizi,hakuna mwenye evidence!Na hiki nciho kinachowasumbua mpaka sasa, kwamba walichukua pesa za WHO, na sharti lake lazima uoneshe takwimu za gonjwa hili. Hii inaawathiri kwa sababu tawimu lzima zitolewe. By the way, haku asolution ya aina moja ya kupambana na ugonjwa kama WHO wnavyotuaminisha. Kila mmoja atumie mbinu anazoona zinamfaa. Maana waliruhusu marekani watumie dozi za malaria kutibu COVID 19 lakini hazijawasaidia lolote, ugonjwa ndio kwanza unasambaa zaidi.
Kama unaamini mwanasiasa haogopi CORONA wala kufa ili aonekani kwenye TV. Pia viongozi wote mpaka JK ambaye ni mstaafu aliongea na Mkapa huku akijua ana Corona ila akafanya hivyo kwa ajili ya siasa wewe ni MPUMBAVU na huna akili. Sikujui Ila nakutukana ili uwe unatumia akili. WAPUMBAVU kama nyie ni wa kuelezwa ukweli tu. Hakuna namna nyingine.Nafikiri huwajui wanasiasa wewe.
Shetani wao anawadanganyaHivi kwa nini hawataki kuamini kwamba Mungu katuepusha na pepo hilo walolitengeneza wenyewe?
Uganda , Rwanda na Kenya hawa wote wamepewa hela kasoro Tanzania tuTheories hizi,hakuna mwenye evidence!
Yaani kama vipimo vinaonesha "negative" wao wanaandika ni "positive" kwavile walipewa hela?
Where is the evidence for this?
South Africa nao "walikula" hela?
Uganda nao "walikula" hela na Rwanda pia?
Acheni majibu mepesi hivi....
Hapa internationa community will come back to us heavy....na we are responsible for our own actions....
Nchi zilizopokea pesa na misaada mingine ya corona ndio idadi ya vifo na maambukizi kwa wananchi wake inazidi kupata. Hii ina tafsiri kubwa sanaUganda , Rwanda na Kenya hawa wote wamepewa hela kasoro Tanzania tu
Wakati mwingine yule ni wakumhurumia tu vitu vingine, naye anasikia hana uhakika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwanini asinyamaze akafanya yafiti kwanza!KTN walimuuliza Lissu swali kuhusu corona. Lissu naye alivyo kuwa mnafiki akajibu tunasikia corona iko lakini vyombo vya habari havitangazi maana vimenyimwa uhuru na sheria.
Ukijaribu kufikiri haya mahojiano inabidi ubakie kucheka tu. Huyo Lissu mwenyewe tangu mapokezi yake airport mpaka katika kikao cha mkutano ya kupitisha wagombea cdm na act hakuonesha dalili zozote za kuwa na hofu ya corona.
Lakini anaitangazia dunia Tanzania corona iko ila vyombo vya habari havitangazi.
Wewe kama hauna kitu unapambana kwa kadili ya uwezo wako, sasa wanalazimisha, kama Mungu katuepushia mbali kwanini tusimshukuru badala ya kumchokonoa?Nchi zilizopokea pesa na misaada mingine ya corona ndio idadi ya vifo na maambukizi kwa wananchi wake inazidi kupata. Hii ina tafsiri kubwa sana