Tanzania yakopa zaidi ya bilioni 110 kupambana na athari za COVID-19

Ni pesa kwa ajili ya kupambana na madhara ya kiuchumi ysliyoachwa na korona mbona uelew wenu mdogo
Mbona madhara ya kiuchumi ya covid ni kidogo sana nchini? Na hii ni dona kantre! Imekuaje tena mnakopa? Je covid ingewapiga kama Brazil mngefanyaje? Mngeuza nchi kabisa au?
 
Benki ya maendeleo ya Afrika imepitisha mkopo wa dola za kimarekani milioni 50.7 sawa na zaidi ya bilioni 117 za kitanzania kugharamia mapambano dhidi ya Covid...
Ohohooo, mwizi wetu Jiwe ameanza kuiba tena. Si alituaminisha kuwa yeye ni Mkuu wa Malaika wa Mbinguni na kwamba sala zake zimefukuza Corona Tanzania. Sasa huu mkopo wa hela ndefu ni kwa Corona ipi?

Na kwanini ukope wakati umetuambia pia kuwa Tanzania ni nchi tajiri inayopaswa kuwa donor country. Mzee Baba hueleweki. Ya mdomoni mwako ni tofauti na matendo yako. Tumeliwa. Watanzania tuna JAMBO LETU tarehe 28 Oktoba 2020.
 
Benki ya maendeleo ya Afrika imepitisha mkopo wa dola za kimarekani milioni 50.7 sawa na zaidi ya bilioni 117 za kitanzania kugharamia mapambano dhidi ya Covid...
Dhana ya mkopo huu ni kukabiliana na athari za Corona na kuweka mazingira ya watoa huduma na vituo vya afya kuwa tayari kukabiliana na Corona endapo itajitokeza tusiwe watu wa kulalamika.
 
Juhudi za nini, kwani kuna Corona tena?
Umeambiwa effects za covid na ujue Tz sio kisiwa tuna biashara ya utalii imekuwa affected, Usafiri, mahoteli etc na trading partners wetu bado wana corona
 
Wamekuja kukopa Tz
tumeanza kauli hii 5 years ago wakati USA wamekuwa huko for over 100 years , sasa sisi tulioanza juzi tutakuwa sawa na aliyekuwa huko majuzi ile
 
Confessions of an Economic Hit Man by John Perkins

Ukitaka kuelewa hii mikopo inavyotuumiza sisi waafrika nenda kasome hiko kitabu
 
Kasome historia, sipo hapo kujibu maswali ya shule ya msingi , kama hukupitia shauri yako au nenda kisomo cha watu wazima
Kwahiyo umesoma USA? shame on you na elimu yako ya makaratasi ambayo haikupi uwezo wa kuchanganua
 
Semeni hivyo hivyo hela zinaenda kuwalipa wasanii na kujiendeleza zake kwao Chato na akiingia madarakani tena tutanyonywa zaidi ya nyuma. Mlizoea kusema vyuma vimekaza naona safari hii sijui mtasema vipi.
mtoto wa kiume ukizoea kulalama kila wakati unaweza enda mombasa tu uolewe...mbona maisha yanaenda tu
 
If mistaken kuna Bank ilitaka kukopesh Tz pesa kwa ajili ya covid19 JPM kasema izo pesa zipelekwe kwe madeni tunayodaiwa kwa vile Tz hakuna corona... Sasa hii vipiiiiiiiiii
 
Hongera Magufuli. Hakika wameanza kuelewa juhudi zako.
Hivi huwa unaandika kwa mihemko au ni akili za 'kushikiwa'
Corona ipi inayosemwa Tz ya kukopea fedha zote hizo?
Zinapelekwa wapi na kupambana ktk maeneo gani?
Ni vyema uwe unawaza kdg kabla ya kuandika
 
mtoto wa kiume ukizoea kulalama kila wakati unaweza enda mombasa tu uolewe...mbona maisha yanaenda tu
Ungekuwa umejaaliwa akili japo za kuku wa kienyeji usingeandika huu uharo!
tatizo hakuna 'mahusiano mazuri' kati ya akili yako na vidole
 
Ujinga huu. Soko la hoteli Tanzania limeanza kuyumba kabla ya Corona. `Lilianza kuyumba kutokana na madiliko ya sera za serikali yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…