hivi huwaga mnafundishwa ujinga nini huko kwenye vyama vyenu...kwani google iliwekwa kupima uwezo wenu wa kufikiri????Tanzania Ranked 10th On the List of Growing Tourism MarketsUjinga huu. Soko la hoteli Tanzania limeanza kuyumba kabla ya Corona. `Lilianza kuyumba kutokana na madiliko ya sera za serikali yetu
Sasa hautaki upite kwenye madaraja ukiwa unaelekea kwenu Moshi wakati wa Christmas?Hizo hela anaenda kujengea madaraja siyo kununua barakoa.
Cool bahati, siku njemaKwahiyo umesoma USA? shame on you na elimu yako ya makaratasi ambayo haikupi uwezo wa kuchanganua
SawaCool bahati, siku njema
Ukiwa punguani utashadadia ulicho andika, lakini ukiwa mwerevu utaandika kama mtu uliye mwerevu na hii ipo kwenye Bibilia na sina uhakika kwenye Quran tukufu??Haya sasa, mlituaminisha kwamba hii nchi ni tajiri hivi huwa mnadanganya kwa maslahi ya nani..
Kwa hiyo sababu wewe ni chizi ndo unaamini uongo!Ukiwa punguani utashadadia ulicho andika, lakini ukiwa mwerevu utaandika kama mtu uliye mwerevu na hii ipo kwenye Bibilia na sina uhakika kwenye Quran tukufu??
Watoto au wenye akili za kitoto at their best, keep it UpIf mistaken kuna Bank ilitaka kukopesh Tz pesa kwa ajili ya covid19 JPM kasema izo pesa zipelekwe kwe madeni tunayodaiwa kwa vile Tz hakuna corona... Sasa hii vipiiiiiiiiii
Na kutoamini kitu kwa ushabiki ni sehemu ya upunguaniKwa hiyo sababu wewe ni chizi ndo unaamini uongo!
Mapambano dhidi ya athari zilizotokana na Corona virus,kama kusinyaa uchumi. Maana mpaka sasa biashara kama utalii imesinyaa.Lord have Mercy on us! Corona ipi? Si mlishasema hamna corona?
Kwa hiyo hakuna effect ya corona??? Tz , grow upUjinga huu. Soko la hoteli Tanzania limeanza kuyumba kabla ya Corona. `Lilianza kuyumba kutokana na madiliko ya sera za serikali yetu
Do u know the loss caused by corona ktk uchumi wa Tz, au ndio hivyo kuendeleza itikadi za "kitoto"Hivi huwa unaandika kwa mihemko au ni akili za 'kushikiwa'
Corona ipi inayosemwa Tz ya kukopea fedha zote hizo?
Zinapelekwa wapi na kupambana ktk maeneo gani?
Ni vyema uwe unawaza kdg kabla ya kuandika
Lakini sisi ni dona kantre. Dona katre wenzetu kama Ujerumani sijasikia wanakopa ku mitigate athari za covid. Inamaana hata NCCR Mageuzi hawajui kama sisi ni dona kantre?Mapambano dhidi ya athari zilizotokana na Corona virus,kama kusinyaa uchumi. Maana mpaka sasa biashara kama utalii imesinyaa.
Mbona NCCR Mageuzi waelewa.?
Fuatilia vyombo vya habari,Eu imesaidia nchi zote za ulaya.Lakini sisi ni dona kantre. Dona katre wenzetu kama Ujerumani sijasikia wanakopa ku mitigate athari za covid
Ukiongelea EU unaongelea Germany ambayo ni dona kantre mwenzetu. Nani kamsaidia Germany? Au nani kamsaidia dona kantre mwenzetu Japan au USA?Fuatilia vyombo vya habari,Eu imesaidia nchi zote za ulaya.
Eu kupitia European Development Bank wametoa pesa nyingi kwa nchi za ulayaUkiongelea EU unaongelea Germany ambayo ni dona kantre mwenzetu. Nani kamsaidia Germany? Au nani kamsaidia dona kantre mwenzetu Japan au USA?
Acha ubishi. Dona katre haisaidiwi kwa kimkopo cha bil 100.Eu kupitia European Development wametoa pesa nyingi kwa nchi za ulaya
Tatizo ni chama unachoshabikia, ungekuwa NCCR Mageuzi ungekuwa muelewa.
Lini ni donor Country? Au umekariri upuuzi. Hii ni nchi tajiri kwa rasilimali kama madini nk.Acha ubishi. Dona katre haisaidiwi kwa kimkopo cha bil 100.
Kwa hiyo hii ni nchi masikini?Lini ni donor Country? Au umekariri upuuzi. Hii ni nchi tajiri kwa rasilimali kama madini nk.