Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Wanafungua nchi ili wageni waingie, si sisi tutoke. Shida yote ipo idara ya uhamiaji. Inaendeshwa kizee sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kiswahili chetu hiki na teknolojia yetu hii ya "umbea na unafiki" mtanzania atavuna utajiri gani nchi za watu?Uingereza walijenga nchi Yao kwa kutoka na kwenda kuvuta utajiri wa nchi zingine
Wahindi wametoka na kwenda kuvuna utajri nchi zingine same kwa wachina Wakenya we unaongea masuala ya kifua mbele wakati kupata passport unahisi ni mwenye bahati kupata viza unaona kabisa umewin maisha maana usumbufu wake ni WA hali ya juu sana.
Uswahili, umbea, unafiki na uzandiki unatufanya tusitoke hata nje. Na tukitoka hatutoboi.Ni umasikini na ushamba wetu ndiyo unaotusumbua
Sawa. Kila la kheriNakukatalia,waache ujinga kubana passport watu tuzurure duniani
World Bank wametoa report inayoitwa 'Ratio of persons living abroad to origin country population' ambapo kwenye report hiyo Tanzania inapungufu ya asilimia moja ya raia wake wanaishi nje ya nchi.
View attachment 2667693
Asilimia hizo ni chache kuliko mataifa yote ya nchi za Africa.
Mind you, Tanzania ni nchi pekee yenye wazungumzaji wengi wa Kiswahili.
Je, huu uthibitisho kwamba Kiswahili hakivuki maji? Au ni kwamba watanzania wengi wana mapenzi na nchi yao?
World Bank wametoa report inayoitwa 'Ratio of persons living abroad to origin country population' ambapo kwenye report hiyo Tanzania inapungufu ya asilimia moja ya raia wake wanaishi nje ya nchi.
View attachment 2667693
Asilimia hizo ni chache kuliko mataifa yote ya nchi za Africa.
Mind you, Tanzania ni nchi pekee yenye wazungumzaji wengi wa Kiswahili.
Je, huu uthibitisho kwamba Kiswahili hakivuki maji? Au ni kwamba watanzania wengi wana mapenzi na nchi yao?
Wanakimbia CCM na mateso yakeNa nchi zinazoongoza ni zile zenye machafuko......
Middle east na ukanda wa Red sea, ndio zinaongoza hapo.
Unataka watanzania waondoke wanakimbia nini?
Umekazwa ujamaa na uswahili wa kina Nyerere saa ngapi utapata exposure ya kwenda Nje? Ndio maana Nchi Ina washamba na mbumbumbu wengi.World Bank wametoa report inayoitwa 'Ratio of persons living abroad to origin country population' ambapo kwenye report hiyo Tanzania inapungufu ya asilimia moja ya raia wake wanaishi nje ya nchi.
View attachment 2667693
Asilimia hizo ni chache kuliko mataifa yote ya nchi za Africa.
Mind you, Tanzania ni nchi pekee yenye wazungumzaji wengi wa Kiswahili.
Je, huu uthibitisho kwamba Kiswahili hakivuki maji? Au ni kwamba watanzania wengi wana mapenzi na nchi yao?
Sio roho mbaya ni madhara ya mfumo wa KijamaaRoho mbaya ya utawala ndo kisa.
Passport tu kuipata mpaka uulizwe tupe letter mfano ya chuo unachoenda. Na chuo unachoomba hawakupi letter wanataka uwape passport number ili waandike letter. Sasa wangapi watatoka?
Chuo wanakuomba maombi yako ili wayafikirie wanataka barua ya TCU kwamba una qualify kusoma hicho ulichoomba, unakimbia TCU kuwaomba barua, wao TCU wanakwambia ili wakuandikie wanataka admission letter ya hicho chuo.
Ujinga mwingine wa kiwango Cha Ujamaa Sugu 😂😂Watanzania tunapaswa kutembea kifua mbele kwa takwimu hizo. Hii inaonesha kuwa nchi yetu ni nzuri ndiyo maana kila mtu qnatamani kubakia hapa hapa nchini.
Diaspora kuwa wengi Ina maana nchi haikaliki, haivutii, haina potential kwa watu wake.
Ndio maana nyie Wanyonge na walima mahindi mnalazimisha Watoto wenu wasome Kiswahili harafu Watoto wao wanawasomesha Shule za Kingereza za ndani au Nje ya Nchi 😁😁Kiswahili ni janga Kiswahili ni umaskini.Kukumbatia Kiswahili ni kujichelewesha tu bila sababu ya msingi,hicho Kiswahili utakiongea wapi? Watu wanaogopa kwenda kutafuta fursa nje ya nchi kwa sababu ya lugha huo ndio ukweli.Hata hao tunaosema diaspora wengi wao ni watanzania wenye asili ya Asia,hatuwaoni wenzetu Wakenya,Waganda, Wanigeria nk.Sisi tumekalia eti kiswahili kiswahili. Viongozi wenyewe wanapeleka watoto wao kwenye shule nzuri zinazofundisha kwa kiingereza.Binafsi lugha ya Kiswahili siipendi kabisa,ni umaskini.
Kusafirisha unapanua wigo wa fursa za biashara, connection na Ajira pia exposure ya kujifunza wenzenu wanachofanya na kuja kujifanya vyema zaidi kwako.Watanzania si wajinga, lakini kusafiri kutachangamsha zaidi akili waliyojaliwa na Mungu.
Kumbuka, hata harakati za Waafrika kudai uhuru ziliongezeka zaidi baada ya vita vya dunia. Nini kilichangia kuwa hivyo? Ni Waafrika waliorejea kutoka vitani.
Kutembea na kujumuika na watu wa maeneo mengine huweza kubadilisha mitazamo ya watu katika mambo mbali mbali. Wewe unafikiri ni kwa nini Korea, nchi inayosadikika kuwa ndiyo inayoongoza sasa duniani kwa udikteta inajitahidi sana kuwafungia raia wake ndani ya Korea?
Hata miji yenye maendeleo sana, kumechagizwa na mwingiliano wa watu kutoka maeneo mbali mbali.
humu wanasema mutu akiongea madini apewe mauwa yake.mm nasema upewe maua mukuu umetema manyongo makari ya ukweri.Kiswahili ni janga Kiswahili ni umaskini.Kukumbatia Kiswahili ni kujichelewesha tu bila sababu ya msingi,hicho Kiswahili utakiongea wapi? Watu wanaogopa kwenda kutafuta fursa nje ya nchi kwa sababu ya lugha huo ndio ukweli.Hata hao tunaosema diaspora wengi wao ni watanzania wenye asili ya Asia,hatuwaoni wenzetu Wakenya,Waganda, Wanigeria nk.Sisi tumekalia eti kiswahili kiswahili. Viongozi wenyewe wanapeleka watoto wao kwenye shule nzuri zinazofundisha kwa kiingereza.Binafsi lugha ya Kiswahili siipendi kabisa,ni umaskini.
Shida umeshikiwa akili. Unadhani ukienda nje ndiyo utatoboa. Nonsense!Ujinga mwingine wa kiwango Cha Ujamaa Sugu 😂😂
Kwa hili nchi ni mseto wa choroko na wali unaosababisha haya. Kuanzia ujamaa ulitufanya kuwa mazezeta, roho mbaya, fitna na majungu na mauchawi, waliotoboa kubania wenzao, elimu mbovu, lugha shida. Hayo tu mkulugenzi.World Bank wametoa report inayoitwa 'Ratio of persons living abroad to origin country population' ambapo kwenye report hiyo Tanzania inapungufu ya asilimia moja ya raia wake wanaishi nje ya nchi.
View attachment 2667693
Asilimia hizo ni chache kuliko mataifa yote ya nchi za Africa.
Mind you, Tanzania ni nchi pekee yenye wazungumzaji wengi wa Kiswahili.
Je, huu uthibitisho kwamba Kiswahili hakivuki maji? Au ni kwamba watanzania wengi wana mapenzi na nchi yao?
Kwa mwaka jana tu wametoa PP 136000Hati ya kusafiria tu kizungumkuti kuipata licha ya kwamba ni chanzo kizuri kabisa cha mapato kwa serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani (uhamiaji) Serikali imewekeza pesa nyingi sana kwenye mfumo mpya wa hati za kusafiria lakini tunaambiwa utoaji wake ni chini ya hati laki mbili (200,000) toka wameanza tena kwa tabu sana hapo
Wewe umetoboa?Shida umeshikiwa akili. Unadhani ukienda nje ndiyo utatoboa. Nonsense!
Unaondoka Tanzania ili uende wapi?
Tanzania imejaa neema tupu hii.
1. Ni nchi ya pili kwa vivutio vya utalii duniani baada ya Brazil.
2. Ni nchi ya pili kwa wingi wa madini Afrika.
3. Ni nchi yenye ardhi kubwa yenye rutuba ya kutosha.
4. Nchi yenye amani mpk ikabatizwa kuwa kisiwa cha amani.
Unataka ukabebe maboksi nje? Hizo akili ama matope?