uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Hapo kwenye kuandaa Sasa ndio tupafanyie kazi hasa kwa kuangalia mitaala ya elimu tunazotoa katika nyanja zote na sio kusifia kuwa hatuendi sana nje wakati hata hapa ndani tulipo tumeanza kupoteza umiliki tunaogopa hadi MnyarwandaKwa kiswahili chetu hiki na teknolojia yetu hii ya "umbea na unafiki" mtanzania atavuna utajiri gani nchi za watu?
Nchi haina misingi ya kuandaa watu wake kupenya ktk soko la uchumi wa nje
Imagine kazi ya ndani ya nchi mtanzania hawezi compete na foreigner bila back up ya serikali inauma ila basi tu acha tuendelee kujisifia