GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Passport ni chanzo cha kipato. Kwa Serikali bunifu, ilipaswa kuwahamaisha raia wake kuwa na passport.Apewe passport ili iweje kwamba watoto wote wanasafiri?
Tumia akili
Kuwa na passport tayari tayari ni kuwa tayari kuidaka fursa itakayojitokeza.
Bahati zipo, lakini huwa zinatua mikononi mwa waliojiandaa!
Kuwa na passport mkononi ni kuandaa mazingira ya kukutana na fursa inayotembea.