Hapo kwenye kuandaa Sasa ndio tupafanyie kazi hasa kwa kuangalia mitaala ya elimu tunazotoa katika nyanja zote na sio kusifia kuwa hatuendi sana nje wakati hata hapa ndani tulipo tumeanza kupoteza umiliki tunaogopa hadi MnyarwandaKwa kiswahili chetu hiki na teknolojia yetu hii ya "umbea na unafiki" mtanzania atavuna utajiri gani nchi za watu?
Nchi haina misingi ya kuandaa watu wake kupenya ktk soko la uchumi wa nje
Mm nawazidi diaspora wengi tu ambao wananyanyasika huko Ulaya kwa kubeba maboksi na kuosha/kuchamba wazeeWewe umetoboa?
View attachment 2669235
Unawazidi sababu hao diaspora bongo walikuwa mateja ama walizamia meli ama walikimbia vita ya pemba hawana elimu wakati wewe ukute una degree unajilinganisha nao.Mm nawazidi diaspora wengi tu ambao wananyanyasika huko Ulaya kwa kubeba maboksi na kuosha/kuchamba wazee
World Bank wametoa report inayoitwa 'Ratio of persons living abroad to origin country population' ambapo kwenye report hiyo Tanzania inapungufu ya asilimia moja ya raia wake wanaishi nje ya nchi.
View attachment 2667693
Asilimia hizo ni chache kuliko mataifa yote ya nchi za Africa.
Mind you, Tanzania ni nchi pekee yenye wazungumzaji wengi wa Kiswahili.
Je, huu uthibitisho kwamba Kiswahili hakivuki maji? Au ni kwamba watanzania wengi wana mapenzi na nchi yao?
No kweli nchi yetu nzuri, hivi mfano nchi za Marekani, Ujerumani, England nazo zina Diaspola wengi kuizidi Tanzania?Watanzania tunapaswa kutembea kifua mbele kwa takwimu hizo. Hii inaonesha kuwa nchi yetu ni nzuri ndiyo maana kila mtu qnatamani kubakia hapa hapa nchini.
Diaspora kuwa wengi Ina maana nchi haikaliki, haivutii, haina potential kwa watu wake.
Ukijibiwa unitag. Yaani mleta mada anataka tuone fahari watanzania kuikimbia nchi yao na kwenda kuishi nchi nyingine???!No kweli nchi yetu nzuri, hivi mfano nchi za Marekani, Ujerumani, England nazo zina Diaspola wengi kuizidi Tanzania?
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Nchi yetu ni tajiri hakuna sababu yoyote ya kukimbia nchi, wazungu wanaipenda sana Tanzania na Africa kwa ujumla.Ukijibiwa unitag. Yaani mleta mada anataka tuone fahari watanzania kuikimbia nchi yao na kwenda kuishi nchi nyingine???!
Nchi yetu ni tajiri hakuna sababu yoyote ya kukimbia nchi, wazungu wanaipenda sana Tanzania na Africa kwa ujumla.Ukijibiwa unitag. Yaani mleta mada anataka tuone fahari watanzania kuikimbia nchi yao na kwenda kuishi nchi nyingine???!
Ni ujinga mkubwa,mfano Mzazi ana watoto lakini watoto wanatoroka kwao na kwenda kuishi kwa majiea, halafu mzazi anajisifu na kulaumu watoto wa wengi kwanini hawaendi kuishi kwa watu.Ukijibiwa unitag. Yaani mleta mada anataka tuone fahari watanzania kuikimbia nchi yao na kwenda kuishi nchi nyingine???!
Tanzania kutokuwa na diaspora wengi siyo sifa. Na Somalia kuwa na diaspora wengi siyo sifa. Tanzania ina wachache kwa sababu ya uelewa wa watu uko chini. Somalia wako wengi kwa sababu ya machafuko.Watz wengi kwa akili zetu fupi tunafikiri kuwa na diaspora wengi ndio mafanikio.
Ni kweli kuna changamoto katika taratibu za kutoka nje. Pia kuna shida na tabu nyingi ndani ya nchi hii, zikichangiwa zaidi na mfumo wetu wa kiutawala.
But all in all, we should thank God a thousand times for the way we are. Ukitaka kuelewa kidogo tu Tz tulivyo safi vuka border hapo Sirari uone maisha yalivyo tofauti kule utakakoingia, hata salamu utatamani uinunue.
Kuna watu humu juzikati nimeshangaa kuona wakiwasifia Somalia kwa kuwa na diaspora wengi, huku wakiwish nasi tuwe kama Somalia! Wonderful!
Upo sahihi.Tanzania kutokuwa na diaspora wengi siyo sifa. Na Somalia kuwa na diaspora wengi siyo sifa. Tanzania ina wachache kwa sababu ya uelewa wa watu uko chini. Somalia wako wengi kwa sababu ya machafuko.
Wsethiopia wasomali hawajui hata English mbona wajaa ulaya na USAUkweli ni kuwa watz wengi hawaongei kiingereza fasaha sababu ya kusoma kwa Kiswahili. Nje kuna fursa nyingi tunazikosa na lugha inayotumika zaidi duniani ni English. Watawala wengi Wana roho mbaya hawataki watz kwenda kunufaika nje! Nchi inakosa remittance na kubaki maskini.
Solution ni kubadili lugha ya kufundishia kutoka Kiswahili kuwa English.
Watz wanapenda kwenda nje hasa vijana wasio na ajira ila Njia zote zimefungwa!
Kuwa na diaspora wengi ni jambo zuri sana. Hata Shabaan Robert na waandishi wengi waliotukuka wameelezea kwa kirefu faida za kusafiri na kuishi nchi za wengine. Hivyo basi conclusion yako haijaangalia nje ya box. Fikiria hivi: Nchi A ina raia milioni 60. Mwaka huu wa 2023 kati ya hao raia milioni 60 kuna diaspora milioni 10. Baada ya miaka 5 wale diaspora milioni 10 wanarudi nchini kwao, na wengine milioni 10 wanaenda nje (wanabadilishana). Na nchi B ina raia milioni 60 na kati yake ina diaspora milioni 1. Baada ya miaka 5 wale diaspora wanarudi kwao na wengine milioni 1 wanaenda nje. Huoni kuwa ile yenye diaspora wengi ndiyo itafaidi? Kwa kifupi ni kuwa diaspora inaleta package ya faida kutoka sehemu mbalimbali za dunia.Ni ujinga mkubwa,mfano Mzazi ana watoto lakini watoto wanatoroka kwao na kwenda kuishi kwa majiea, halafu mzazi anajisifu na kulaumu watoto wa wengi kwanini hawaendi kuishi kwa watu.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Umejibu kiusahihi lakini sijui kama wengine watakuelewa!Tanzania kutokuwa na diaspora wengi siyo sifa. Na Somalia kuwa na diaspora wengi siyo sifa. Tanzania ina wachache kwa sababu ya uelewa wa watu uko chini. Somalia wako wengi kwa sababu ya machafuko.
Enzi ya Nyerere kwenda nje ya nchi ilikuwa lazima upeleke bank clearance, income tax clearance na ukiwa mfanyakazi wa serikali inaongezeka state house clearance.Sio roho mbaya ni madhara ya mfumo wa Kijamaa
Hapo sasaWsethiopia wasomali hawajui hata English mbona wajaa ulaya na USA
Huko tena, bila hata kusoma [emoji16][emoji16] wanaangusha signatory.Shangaa serikali Yako.
Inatia ugumu upatikanaji wa passport ila kwenye mikataba fasta inatia Saini bila hata kufikiria.
Passport tu yaweza ongeza Pato kwa serikali just imagine raia milioni 15 waziombe na kupewa so Hela ndefu hio.
Waethiopia wasomali hawajui hata English mbona wamejaa ulaya na USA kujua English sio kigezo cha kwenda majuu
Cost sio issue sababu analipa anayeomba passportNi kweli kabisa serikali waliangalie hili suala... japo inaweza kuwa na cost implication ila basi wasiweke mazingira magumu ya kupata passport
Uongo tena wa hali ya juuSi kweli
Passipoti haitegemei barua ya chuo. Nawaelewa Watanzania wengi ambao wamepata pasi bila hata ya ushahidi wa kusafiri
Weka hapa fomu ya maombi ili kuthibitisha