Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki kimaza kina kisirani sana. Halafu kidini. Siku nyingine usipoteze bando lako na kuvichosha vidole vyako kukijibu.Unatetea nini mjinga wewe? mkataba ulisainiwa kwenye utawala upi? udini unakutesa sn
Hii ninpicha ya kitakachokuja baada ya kulazimishes mkataba wa BandariKituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID) kimeiamuru Tanzania kulipa dola milioni 109.5 (zaidi ya bilioni 260 za Tanzania) kwa kampuni za uchimbaji madini zilizosajiliwa Uingereza, Ntaka Nickel Holdings Ltd na Nachingwea UK Ltd, kufuatia uamuzi wa mwaka 2018 kufuta Leseni yao ya Kuhifadhi madini ya Nikeli.
Kampuni hizo zilifanikiwa kuishitaki Tanzania katika mahakama ya Benki ya Dunia kwa kukiuka majukumu yake chini ya Mkataba wa Uwekezaji wa Nchi Baina ya Uingereza na Tanzania (BIT) na sheria za kimataifa kwa kunyang'anya leseni hiyo.
Tanzania pia imetakiwa kulipa dola milioni 3.859 za gharama za kisheria kwa wadai, pamoja na ada na gharama za mahakama ya ICSID.
Kampuni ya Indiana Resources Ltd iliyoorodheshwa kutoka Australia, ambayo ndiyo wanahisa wengi wa mradi wa nikeli wa Ntaka, iliwahi kutishia kukamata ndege zinazoendeshwa na Kampuni ya Air Tanzania (ATCL). Indiana inasema sasa itachukua hatua haraka kutekeleza tuzo ya mahakama
Kampuni za EcoDevelopment na EcoEnergy za Uswidi mwaka jana zilishinda uamuzi wa $165m dhidi ya Tanzania kwenye ICSID kufuatia uamuzi wa serikali ya Magufuli kuwanyang'anya wawekezaji hao ardhi ya Bagamoyo, kinyume na Mkataba wa Uwekezaji wa Nchi Baina ya Sweden na Tanzania (BIT)
Kampuni hizo zilikamata ndege ya Airbus inayomilikiwa na Wakala wa Serikali wa Ndege za Serikali (TGFA) inayoendeshwa na ATCL ili kutekeleza hukumu ya ICSID.
Ndege hiyo yenye namba za usajili 5H-TCH hivi karibuni ilirejea Tanzania baada ya serikali kumaliza kesi hiyo.
View attachment 2691787
Pia soma: Maamuzi ya Magufuli yaigharimu Tanzania zaidi ya Bilioni 266
Serikali kushindwa kwenye kesi hizi inaonesha kuna makusudi iliyo nyuma ya paziaKwa kuwa kiboko yao alishakufa, serikali itashindwa kesi zote na kulipa fidia, kama ilivyokuwa kabla ya Magufuli kupanda jukwaa.
Yeye atakuwa anakula kwa mlija na familia yake sie wajukuu wetu wanatesekaMaza hata hana habari
Watamwajibisha nani wakati wote wapo kwenye sinia la pilau!Hawa waliotuingiza Chaka mpaka kuishia kupata hasara kama hizi wawajibishwe.
Labda watawapa Serengeti, Ruaha, Mikumi, au Kilimanjaro, Gesi au madini mengine kama Fidia.DP world kikiumana huko mbele ya safari, watakamata ndege hazitatosha kulipa...unaweza ukazuka msako wa kukamata DIASPORA wakatumikishwe kazi uarabuni hadi deni liishe...
Kweli kuna Sababu, silaha, madawa, wanyama, madini yatapishwa na wao wanavyojikisia. Sio tu Tanzania itaathiri nchi zote jirani.Hili balaa moja tu la bandari la shangazi yako linayazidi yote ya mwendazake.
Kushinda ni lazima washinde kesi maana mikataba waliingia wao na nilazima wawasaidie kushinda kesiWe subiri tu...
Hata Lissu kasema huu mkataba ni lazima uvunjwe hata tulipe pesa kiasi gani ni sawa tu...
Magufuli ndiyo alitumia maguvu kuvunja mamikataba haya ya hovyo lakini kimsingi alikuwa sahihi. Sema
sasa hakuna uzalendo na tumerudi kule kule. Hawa hawa wanaotushinda mahakamani wanaweza kurudi na wakasaini tena mikataba kama ile ile aliyoivunja Magufuli...Hovyo tu!
View attachment 2691843
Duh!Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID) kimeiamuru Tanzania kulipa dola milioni 109.5 (zaidi ya bilioni 260 za Tanzania) kwa kampuni za uchimbaji madini zilizosajiliwa Uingereza, Ntaka Nickel Holdings Ltd na Nachingwea UK Ltd, kufuatia uamuzi wa mwaka 2018 kufuta Leseni yao ya Kuhifadhi madini ya Nikeli.
Kampuni hizo zilifanikiwa kuishitaki Tanzania katika mahakama ya Benki ya Dunia kwa kukiuka majukumu yake chini ya Mkataba wa Uwekezaji wa Nchi Baina ya Uingereza na Tanzania (BIT) na sheria za kimataifa kwa kunyang'anya leseni hiyo.
Tanzania pia imetakiwa kulipa dola milioni 3.859 za gharama za kisheria kwa wadai, pamoja na ada na gharama za mahakama ya ICSID.
Kampuni ya Indiana Resources Ltd iliyoorodheshwa kutoka Australia, ambayo ndiyo wanahisa wengi wa mradi wa nikeli wa Ntaka, iliwahi kutishia kukamata ndege zinazoendeshwa na Kampuni ya Air Tanzania (ATCL). Indiana inasema sasa itachukua hatua haraka kutekeleza tuzo ya mahakama
Kampuni za EcoDevelopment na EcoEnergy za Uswidi mwaka jana zilishinda uamuzi wa $165m dhidi ya Tanzania kwenye ICSID kufuatia uamuzi wa serikali ya Magufuli kuwanyang'anya wawekezaji hao ardhi ya Bagamoyo, kinyume na Mkataba wa Uwekezaji wa Nchi Baina ya Sweden na Tanzania (BIT)
Kampuni hizo zilikamata ndege ya Airbus inayomilikiwa na Wakala wa Serikali wa Ndege za Serikali (TGFA) inayoendeshwa na ATCL ili kutekeleza hukumu ya ICSID.
Ndege hiyo yenye namba za usajili 5H-TCH hivi karibuni ilirejea Tanzania baada ya serikali kumaliza kesi hiyo.
View attachment 2691787
Pia soma: Maamuzi ya Magufuli yaigharimu Tanzania zaidi ya Bilioni 266
Ha ha ha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwahiyo wapo empty, sasa wataishije jamani!Wana ccm wote wanaishi bila UBONGO na ndio maana miaka yote ya utawala wao ni hasara kwa nchi!!!
Siyo mawakili tu hata viongozi wetu wengi husika kimsingi wanabariki hii mikataba. Wako kwa maslahi binafsi.Una uhakika mawakili wetu walikua upande wetu?
Tukisema nchi isiingie kwenye mikataba mibovu watanzania wachache kama nyie msiojitambua hamuelewi.kwenye utawala wa Kikwete na huu kuna mikataba mibovu mingi sana.jitambueniMwendazake alitufanyia mabalaa yya ajabu. Na bado wengine.
Kuwa na akili ni yeye aliyeingia huo mkataba mbovu?Na kweli tutamkumbuka kwa upuuzi mwingi
Magufuli alifuta mkataba mbovu.msiwe vilaza kwa kusapoti mikataba ya ovyo.Hamna lolote pombe alikuwa bomu.
Sasa huo unaousema wewe mbovu qatu wanajichotea mi dollars bila kufanya kazi.Magufuli alifuta mkataba mbovu.msiwe vilaza kwa kusapoti mikataba ya ovyo.
Kufuta ni kitu kimoja ila namna unavyofuta ndio kitu kingine. Unaweza tafuta kipengeke kilichovunjwa ukaenda ICSID huko ukadai mkataba uvunjwe. Ila sio unaamka tu asubuhi unaenda kunyang'anya leseni hata kama una haki ila mchakato uliotumika utaku-cost.Magufuli alifuta mkataba mbovu.msiwe vilaza kwa kusapoti mikataba ya ovyo.