Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

Hahahahahaha nimeipenda
 
maisha hayana mwenywe unaweza ukawa na ela usiwe na afya nzuri ndomaana watto wa maskini darasani wako vizuri kichwani lakini jirani anasomesha mtto feza na kila siku 0 kama kawa..bahati kwenye maisha ipo...kuna wengne bahati ni sehemu ya maisha
Kwenye shule za masikini hakuna sifuri????? Acha kuwqchukia waliofanikiwa
 
Mwenye macho na aone, mwenye masikio na asikie. Ameni.
 
Kama kenya wangekuwa hawatoi taarifa wala usingeogopa mkuu.
 
Hata kama ipo haitudhuru tumeshaifanya mafua kamasi
 
Hao Kenya wanataka Corona relief funding, ile mijamaa ya Kenya ipo kibishara mno, ni minyang’au tu, siku ile Corona relief fund ikifutwa utashangaa na huo ugonjwa unaisha Kenya siku hiyo hiyo, AMINI HIVYO!!!!!
 
Swali ulilojibu sijakuuliza, na nililokuuliza hujalijibu.

Nimekuuliza hivi.

Wewe unakubali Tanzania hakuna mgonjwa wa Corona, hata mmoja?
Naamini yuko mmoja tu, wewe. Hiyo ni imani tu, Inaweza isiwe kweli pia. Hivyo based on that, sikubali kwamba hakuna mgonjwa hata mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…