sawa sawa sasa mlitaka walopoke bila takwimu,moyoni si ajabu wanasema shauri yao!Ripoti iliyotolewa na Kituo cha Bara la Ulaya cha Kuzuia na Kudhibiti magonjwa (ECDC) na baadaye ripoti hiyo kuchambuliwa na kusomwa na kituo kikubwa cha habari cha nchini Ujerumani cha Deutsche Welle (DW) imeitaja Tanzania kuwa nchi pekee duniani ambayo haijaripoti maambukizi yoyote ya mgonjwa wa Corona kwa wiki nne (4) zilizopita huku ikiwa salama na ugonjwa huo hatari duniani kwa sasa kwa takribani wiki 46.
Ripoti hiyo iliyotolewa na kituo hicho chenye makao makuu yake jijini Solna nchini Sweden, inaeleza kwamba wakati dunia nzima ikiwa kwenye giza totoro na isijue la kufanya kwa kuendelea kuripoti maambukizi ya Corona kila kukicha, Tanzania iko salama kabisa na balaa hilo na watu wakiendelea na shughuli zao za kila siku bila ya vizuizi wala masharti yoyote ya Corona.
CHANZO: CRI Swahili
Kwa vurugu za huu ugonjwa sio lazima kupima ndio ujue ugonjwa upo. Kama ungekuwepo vifo pia vingetupa majibu.Kama hupimi utajuaje ugonjwa haupo? Ni kisa cha mbuni kufukia kichwa ardhini akidhani adui hamuoni.
Safi sana, katika hili mimi ni shaidi namba moja. Kuna kipindi tulimpeleka bodaboda mwenzetu pale Muhimbili yani fresh tu kuanzia Madokta na Manesi tunapiga stori hakuna cha social distance,barakoa wala cha sanitizer afu ilikuwa night piga stori mpaka asubuhi. Afu ukija huku mitandaoni unakutana Corona (Covid-19) inashangaza sana.Mkuu unakumbuka hospitali wahudumu walikuwa wanaogopa wagonjwa kipindi kile cha mwanzoni mwanzoni? Muhimbili pale ulikuwa hupiti bila barakoa na lazima upigwe sanitizer wakati wa kuingia na kutoka,ila sasa hakuna hayo mambo unaingia na kutoka kama kawaida uvae barakoa usivae hakuna mwenye kukuuliza.
Ukiangalia Rais na viongozi wote wa serikali hawaoneshi kutambua kuwa kuna uwepo wa corona Tz na hivyo wanatakiwa kuzingatia tahadhali zote za kujikinga.
Mkipata matokeo ndio Corona itakuwa haui.Mbona hamuhitaji matokeo ya Magonjwa ambayo hatari yanawapoteza watu kila siku,sijasikia mkihitaji data za Malaria,HIV,Homa Ini nk,why Corona?Acheni ujinga nyie mnaowaza bila akili! COVID ipo na inaua sana tu. Tatizo sisi Tz. hatutangazi matokeo ya upimaji kama nchi nyingine zinavyofanya!
Unampimaje mtu ambaye haumwi wala kuonyesha dalili au unapima sababu ulaya wanapima?Kama hupimi utajuaje ugonjwa haupo? Ni kisa cha mbuni kufukia kichwa ardhini akidhani adui hamuoni.
Kwa nn watu mnawapaisha sana waisraeli kuliko kujithamini ninyi wenyewe.Nmecheka snaa
Kwa uzushi mliokuwa mnatunga kuleta taharuki ilifikia hatua tunahtaj kiongoz mkuu atoe kaul aidha ya kutuzdshia hofu au kutuondolea hofuMataga watasema kazi yake Magufuli[emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi sijamtupia lawama yeyote bali nimekueleza tu kuwa hao masokwe huwa wanatoka kwenye jamii yetu hawatoki misituni,mara nyingi unakuta watu wanalalamika kwamba sisi tuna viongozi masokwe ila wanasahau kuwa wao nao ni masokwe na ndio maana hutoa viongozi masokwe wa kuwaongoza wao masokwe wenzao.Sasa unaleta blame kwa jamii of which 99% of it has never met these motherfuckers in real life?
Laumu jamii yake,familia yake,shule alizopitia,na watu wanaomzunguka....Asilimia 99% ya watu milioni 60 has never met these gorillas..halafu upo hapa unalaumu wananchi milioni 60?
Are you crazy?
Tunarudi pale pale,matendo ya mtu mmoja binafsi yake akifanya concequences zake ni zake yeye kama yeye,usipakaze na kulaumu jamii insteady ambayo haijamtuma categorically!
Hii tabia mbovu ya masokwe kama wewe kufanya matendo mabovu na kumsingizia shetani au wanadamu wengine ambao hawahusiki na hivo vitendo ulivyofanya ni tabia proper kabisa ya usokwe!
Yaani unakwepa responsibiliy ya matendo yako binafsi uliyoyafanya kwa utashi wako mwenyewe unawatupia watu milioni 60???
Vitendo vya mavi ufanye wewe,lawama na makosa tupate sie?Tulikutuma?Lini?
Ukisema hivyo utajibiwa kuwa huu ugonjwa wanaoupata na kupona ni wengi sana kuliko wanaokufa,lakini hapohapo unaambiwa ni ugonjwa hatari duniani na kuna wakati huko kwa wazungu tulikuwa walizidiwa na maiti hadi waka wanaziweka sehemu zisizo maalumu kuwekea maiti.Kwa vurugu za huu ugonjwa sio lazima kupima ndio ujue ugonjwa upo. Kama ungekuwepo vifo pia vingetupa majibu.
Ndio hapo mkuu hata mie nashangaa kwa sababu hizo hospitali ndio zingekuwa na uhalisia wa hiyo corona,ila kama unavyoona hali iko hivyo ila huku mitandaoni ndio unakuta watu wanasema kuna vifo vingi vya corona sasa sijui wanavipata wapi.Safi sana, katika hili mimi ni shaidi namba moja. Kuna kipindi tulimpeleka bodaboda mwenzetu pale Muhimbili yani fresh tu kuanzia Madokta na Manesi tunapiga stori hakuna cha social distance,barakoa wala cha sanitizer afu ilikuwa night piga stori mpaka asubuhi. Afu ukija huku mitandaoni unakutana Corona (Covid-19) inashangaza sana.
Kuamini katika Mungu. Hakuna amtumainie Mungu akaanguka. Wao si walitanguliza akili zao mbele badala ya Mungu...
Isiyokuwa na Corona au haijaripoti Corona?
Haya ni mambo mawili tofauti.
Kuna mtu yuko hospitali alikuwa anapewa oxygen namfuatilia kama wamemtoa kwenye oxygen.
Thibitisha Mungu yupo, halafu elezea kwa nini hamalizi Corona na magonjwa yote watu waishi kwa amani bila magonjwa.
Ndio aliyeizuia?
Unaweza kuwa uko sahihi kabisa. Wanaweza kuwa ni nusu binadamu, nusu Mlaika.Labda ndo nchi pekee ambayo bado wananchi wake hawajawa binadamu kamili!!
Sasa kama hupimi watu Corona utajuaje huyu anahitaji oxygen kwa sababu ya Corina au la?Lakini mkuu hizo oxgen si zilikuwa zinatumika kabla hata ya corona?
Tunajikubalisha tu kwa lazima kwamba Tanzania hakuna Corona."Marehemu alikuwa akiugua na maradhi mengine"
Kauli tata sana hii ilikuwa ikitumika kwenye kutangaza vifo vya waliyokufa kwa corona.
Akili ni nini?We hujawahi kuwa na akili hata siku moja.
Tangu umkatae mungu na mungu kakukataa, umebaki kumbwela tu.