TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Bunge limegeuka kuwa machinjioni. Hivi mpaka afe Ndugai ndo hawa wakawekwe karantini? Ulafi wa posho na kiburi cha kutaka kumaliza shughuli za per ratiba KUTAWAMALIZA wote
Hivi ile, KUFUATILIA MGONJWA ALIONANA/ALIKUWA NA NANI kwa Wabunge haiwahusu? Hapo si Bunge zima linatakiwa karantini ya siku 14 linaihusu?
 
Atoke nje kuendelea na majukumu yake Kama kawaida. Akakague miradi ,ahudhuria mikutano yake ya mabaraza tuone Kama anaweza kufanya hivyo. Huwezi kuwaambia watu waendelee kujichanganya kuchapa kazi huku wewe umeji isolation. Huyu rais ni muuaji.
over react mkuu...
 
Lock down... Lock down.... Lock down.

Tufanyeje muelewe....

Piga chini Bunge..
 

Tahadhari gani tunaweza kuchukua ambayo waziri au mbunge hawakuweza kuichukua?

Tusidanganyane.

Hii serikali tunapaswa kuilazimisha kufanya maamuzi sahihi. Ni hilo tu lililobakia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…