Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ile, KUFUATILIA MGONJWA ALIONANA/ALIKUWA NA NANI kwa Wabunge haiwahusu? Hapo si Bunge zima linatakiwa karantini ya siku 14 linaihusu?Bunge limegeuka kuwa machinjioni. Hivi mpaka afe Ndugai ndo hawa wakawekwe karantini? Ulafi wa posho na kiburi cha kutaka kumaliza shughuli za per ratiba KUTAWAMALIZA wote
Huyu jamaa alikuwa vizuri sana,sijui magu aliwaza nini kumbadilishia wizaraMzee wangu umeondoka wakati bado uwepo wako unahitajika ingawaje mara ya mwisho kukutana na ww ni 2016 Ngong hotel Nairobi ulikuwa mtu wa mtu asiye na majivuno
Labda akang'olewe kwa greda arudishwe front line
Pole pole kisu kitafika kwenye mfupa. Rip Mzee Mahiga. Mungu awafariji familia na nduguMi natamani bunge na ikulu viiendelee kugongwa hivihivi labda wataaguswa kwa namna ya kipekee.
Kesho mwingine na mwingine japo si vizuri.
Ila Mungu anisamehe bure
Sent using Jamii Forums mobile app
over react mkuu...Atoke nje kuendelea na majukumu yake Kama kawaida. Akakague miradi ,ahudhuria mikutano yake ya mabaraza tuone Kama anaweza kufanya hivyo. Huwezi kuwaambia watu waendelee kujichanganya kuchapa kazi huku wewe umeji isolation. Huyu rais ni muuaji.
Mkuu acha uvivu,acha watu wachape kazi,serikali inataka revenueBunge lisitishwe
Hajielewi huyoKwahiyo kazi yake ni kuandika salamu za rambirambi!
Kilichobaki sasa ni kila mmoja kuchukua tahadhari binafsi ili kujikinga dhidi ya Covid-19 na siyo kutegemea serikali peke yake ikusaidie kuchukua tahadhari.
Hii ni vita halisi, na kila mmoja wakati huu anaishiriki.
Hii serikali imeshalemewa tayari, tahadhari walishindwa kuchukua tangu awali hivyo saiv watu wanapukutika tuu.