TANZIA: Mama Mercy Mengi, ameaga dunia Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu

Dada haya maradhi ya kisasa ukiwa na hela unadumu hata miaka 50 ni umaskini tu unaoua mapema
Sijui una maana gani ulipotoa hii comment hapa lakini mimi nataka kusema hayo ''maradhi ya kisasa'' siku hizi siyo lazima uwe tajiri ili uishi. Kuna wengi nawafahamu (siyo matajiri) wanatumia dawa tangu miaka ya 2003-2005 na mpaka sasa wanaishi maisha ya kawaida kabisa. Ni kufuata masharti tu.
 
kwani wakristo wanaruhusiwa kuachana hadi mengi amuoe ntuyabaliwe? imekuaje hapo wajuzi mnieleweshe
 
RIP mama mercy mengi umetangulia mbele ya haki mwenyezi mungu akujalie pumziko la milele........Ameni
 
...Alimpa Zawadi gani huyo Housegirl??
 
Ndiyo maana mzee alijiwahi mapema dogodogo duu
 
Duh aisee wanawake bana
Ila leo katangulia yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…