TANZIA: Mama Mercy Mengi, ameaga dunia Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu

Stress za mzee many mama kupitia kipindi kigumu sana.. Bu the way tuwekee picha yake
 
Apumzike mama,ana mtoto mwingine zaidi ya mapacha?
 
MSHANA JR UKOWAPI
EMBUTUHAKIKISHIE AWAJAMTANGULIZA MBELE ZA HAKI..
RIP MAMA MENGI
 
Sijui nitumie maneno gani kiufupi sana.. Ila, nataka kusema hivi.. Kxma ina nguvu kubwa sana sanaaa hasa mwanaume akishazama penzini..!!πŸ’‹πŸ’žπŸ’—πŸ’πŸ˜πŸ˜˜
 
Hii habar nimeikuta Fb


[emoji837]kutoka Afrika ya Kusini: Mtalaka wa Mfanyabiashara Mashuhuri na Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Dkt Reginald Mengi ambaye ndiye aliyekuwa Mke wake wa kwanza, Mercy Mengi amefariki dunia usiku wa November 1,2018 katika hospitali ya Mediclinic Morningside Afrika Kusini ...MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI.. WOTE TUSEME #AMEN/RIP
 
RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…