TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

To be precise it was a Whorehouse Christian Center, kanisa lilijaa vimwana sampuli ya wanavyuo! Historia yake aliyowahi kusema yeye binafsi kwa mdomo wake eti aliwahi kuuza maji mitaani kwa kusukuma mkokoteni huko Mtonimtongani Temeke Dar Es Salaam.
 
As you close your eyes in may all your pain and troubles be lost forever R I P
 
WAREHOUSE ni jengo la
kuhifadhi vifaa
au vitu kwa
matumizi ya
baadae.
SILO ghala la kuhifadhi
chakula.
 
R.I.P
Si kila kifo ni Corona
Korona takatifu
Kama jehanam ilivyo takatifu
Watu hawajui kwanini jehanam ni takatifu pia yaitaji akili kutambua

Send by APOLO 1
 
Huku ni kanisa Sasa usikariri
Mimi ninatafsiri toka kiingereza kwenda kiswahili.
SILO ni ghala la kuhifadhi chakula.
Ninakubaliana nawe mlilitumia neno hilo kwa maana ya chakula chenu kondoo wa bwana mliokuwa mkiwatafuna, wale mabinti, Jina sahihi lingekuwa WHOREHOUSE.
 
Mimi ninatafsiri toka kiingereza kwenda kiswahili.
SILO ni ghala la kuhifadhi chakula.
Ninakubaliana nawe mlilitumia neno hilo kwa maana ya chakula chenu kondoo wa bwana mliokuwa mkiwatafuna, wale mabinti, Jina sahihi lingekuwa WHOREHOUSE.
sawa🙌
 
Mara ya mwisho kumsikiliza alisema kama uchumba haujafikisha mwaka basi ni batili mnadanganyana.
Alikua ni mwal wa ujasiriamali pia.
 
Mungu amlaze mahala pema peponi.
Mchungaji huyu ali-inspire wengi na uhakika kuwa wale walioguswa naye wakati wa uhai wake thawabu zao zitaendelea kumnufaisha hata huko aendako.
RIP Malimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…