Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
Basi sie watenda maovu tumrejee Mungu 🙌Pirapanda likilia,hakutawasaidia watendao maovu kwa lolote ambao ndio wengi wetu.
Usiombe hilo, kwa sasa ,jielekeze kwenye toba na njia ya ukweli ya kumjua na kumuabudu Mungu wa kweli na wa pekee ilivyo sahihi .
wewe ni miongoni mwa hao mabinti!!!!au muhanga wa mafundisho yake.Mimi siwezi kutumia Google kunitafsiria, nikisema Whorehouse najua na ndivyo lilivyokuwa kanisa lake, na yeye aliliita Warehouse kwa sababu alikuwa anawatumia wale mabinti kama vifaa vya kujikimu, hivyo majina yote mawili yanastahili hapo.
Kiama Kikikaribia ,basi watu wote wema wataanza kupukutika kwa spidi kubwa na hatimae watabaki watu waovu watupu.
Hapo wataanza kufanyiana mambo ya kifedhuli ikiwemo kuuwana ovyo, uasherati,wizi na dhulma,na uwongo kuwa ndio nyimbo ya taifa,mapato ya haramu ,na ulaji wa Riba wazi wazi.
Hapo Kiama kitawakuta watu wa aina hiyo wakiwa kwenye Uovu wao huo na starehe zao hizo chafu na wingi wa kulewa.
Majumba ya dini yatageuzwa Madanguro ya Mabintiwarembo na vijana watanashati wakiimba na kucheka huku wakiwa wingi wa matamanio na uzinzi ,usanii wa Maneno, huku watu hao wakimkebehi Mungu kwa kuwa ni waovu.
Miziki na madisko na Nyimbo za kila aina zitaimbwa humo wakiiminisha kuwa eti ndio sala sahihi kwa staili za Mipigo ya kidunia. Sio tena vile vinanda na vinubi.
Hapo Kiama kitawahalallikia watu wa aina hizo.
Alikuwa Arusha akanyeshewa na mvua akapigwa na baridi ndio akapata homa ya mapafu kama taarifa inavyosema.Daa hii homa ya mapafu mbona tishio.
Watu wote ni maarufu ndiyo, isipokuwa mimi.Huko Dar es Salaam kila mtu ni maarufu?
Apumzike anapostahili.
“Yeye alikuwa anaumwa Sukari ilipanda, ikaanza homa ya mapafu kwasababu alikuwa Arusha akapigwa na mvua kukawa na baridi kali hiyo hali ikamsumbua na kupelekea kufariki “-Mchungaji Samweli, Msaidizi wa Kanisa
kwani lazima ucoment wewe fenesi..Mbona unauliza kishabiki,umeshaambiwa alikuwa na Kisukari na kilipanda au hujaridhika na maelezo unataka udanganywe......!